Naomba ushauri, naenda UK

Naomba ushauri, naenda UK

Usifakamie chakula usichokijua.
Usile chakula utakachopewa na jirani yako.
Tafuta cha kukuweka busy kama novel, movies, music. Ukikaa idle sana utaboreka na kuiona safari ni ndefu sana.
Jaribu kutengeneza marafiki wapya, it's fun sometimes.

Ukifika Manchester msalimie Van Gaal. Mwambie aache undezi wa kumpanga Rooney kila mechi.

Mi nafikiri amshauri amuuze kabisa huyo captain.
 
Hivi possible reasons za Mtu kwenda UK ni zipi nauliza sababu ambazo naweza kueleza naenda kufanya nini mpaka waniruhusu kuingia kwenye nchi yao! naomba kuwasilisha.

shule
matibabu
utalii
kuhamia kabisa
kufanya kazi
kuambatana/kumfuta mke/mume/baba/mama[kwa watoto]

Ukiwa na vielelezo au viambatanishi sahihi kwa hizo sababu unaingia bila tatizo.
 
Umenikumbusha safari yangu ya kwanza miaka zaid ya 20 iliyopita. Niliambiwa nikariri kwamba KLM wanavaa nguo za blue na popote nikiwa na shida niwaulize. Bahati nzuri kizungu chao hakina tofauti sana na chetu....

Ilinisaidia sana na inaweza kumsaidia yeyote pia!
 
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika
Mimi nilipanda na wachina na warusi hawajui hata water ila walikula na kunywa. Usijali KLM kuna wahudumu wakenya wengi tuu.
 
Umenikumbusha safari yangu ya kwanza miaka zaid ya 20 iliyopita. Niliambiwa nikariri kwamba KLM wanavaa nguo za blue na popote nikiwa na shida niwaulize. Bahati nzuri kizungu chao hakina tofauti sana na chetu....

Ilinisaidia sana na inaweza kumsaidia yeyote pia!

Asante sana mkuu wangu.
 
Wala usipate pressure ndugu,ulaya karibu yote mitaa imeanishwa vizuri sana kuanzia airport mpaka mitaani,kupotea sio rahisi kabisa.
Kitu kingine unaweza kuji familialize na unakokwenda kwa ku google,utapata mengi tu yatakayokusaidia.

Asante sana
 
Mkuu jiandae kuvutwa na wazee wa schpol pale Amsterdam..wakiona mtu anatangatanga..na ninauhakika utababaika maana ule uwanja si mchezo..hisia zao watajua umebeba mzigo..unga..ila usibabaike wakishamaliza na kukuona uko ok..yaani huna hatia watakupeleka wenyewe kwenye ndege yako wala usiwe na wasiwasi mkuu..safari njema..na karibu kwa magloble troters!
 
Haya bwana kwa hiyo nitoe wenge
 
Kumbe hiindo njia nzuri zaidi basi...
 
✔kuagiza mwambie muhudumu,can I have a menu please? akileta agiza unachokijua rice chicken,rice peas,chicken chips.

✔Kwenye maungano omba msaada kwa wenyeji Anza Hivi,Hi I'm new at this place can you direct me where is my flight? please see my ticket.

Nimeipenda hii Mkuu safi
 
Schophil {Amsterdam} sio airport complicated sana wewe angalia boarding pass yako inakwambia utaunganisha na ndege gani .so ukishuka na sehemu ya kukagulia kuna ratiba ya ndge juu screen yenye maandishi yanayobadirika kuonyesha jina la ndege na muda wa kutua na kuondoka hapo unaweza pia kuomba msaada kwa kuonyesha ticket yako au passing board yako utaelekezwa lango namba ngapi then utasonga mpaka hilo lango utakuta checking in nyingine utakabidhi tena utakuwa umemaliza
Kuna airport nyingine kama seattle, ya seattle,dulles ya new York hizi ziko very complicated kwa mgeni
 
Hii inatia moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom