Naomba ushauri, naenda UK

Naomba ushauri, naenda UK

ukifika kwenye ndege muulize kondkta kituo unachoshukia alafu kuwa makini wanafanyaga uhuni wa kugonganisha siti kwa abilia wawili au zaidi,
umesema hujui kiinglish kule ulaya asubuhi wanasalimiana f*ck you na wewe unajibu you too.
mengine utajiongeza ukifika usisahau kumsalimia sir alex!
 
Ule uwanja ni mkubwa aisee geti laweza kuwa mbaali ukiwaonesha tuketi unaelekezwa vzr tu au eatakupakiza kwenye vigari vyao vya mle mle. Ila nakumbuka mie nilikuwa black peke yangu walinikagua sana. Lkn ni poa sana ukiea angani unafaidi view nzuuri ya maua. Usiku kuns baridi sana kwenye ndg. Usinywe bia nyingi utalewa kwa sababu hewa ni nyepesi sana. Vyakula ni vzt tu ningekushauri ule matunda zaidi maana klm wanagawa chakula mara 2 au 3. Sasa ukila kila kijacho na ni mara ya kwanza itakula kwako. All the best
 
- Kwa usalama zaidi uliza askari waliopo airport.

- usikubali kumpa mtu tiketi au passport yako (isipokuwa maofisa wa uhamiaji waliopo)

- ukiingia kwenye ndege omba ubadilishane siti na abiria aliyekaa na dereva.

- KLM wana makande halafu kwa kuwa inatokea huku kwetu utakuwa hostess wanaojua kimatumbi. Hata kama hakuna mbongo wakenya kibao wapo huko kwenye mandege hayo.

- socialize na hostess mmoja mkiwa kwa ndege uhakikishe anakupa theory ya kutosha kuhusu hilo liuwanja....linatisha sana...kubwa na so busy. Akutafsirie tiketi yako...utasubiri muda gani...nk nk.. ask as much.

- sijui utakuwepo wakati tutakuja kucheza na nyie huko....chelsea lazima tuwatungueeeeee.

- Slim5 mmatumbi Mourinho atawafundisha mpira hiyo siku.
 
Last edited by a moderator:
Chicken, Rice, Beef(Kama hai-sound poa sema cow meat, Goat Meat, Sheep Meet nk), Fish,Chips, Burger, Pizza, Wine, Lemon Juice, Coffee, Tea, Soda, Bila kusahau maneno kama Fried, Roasted, grilled , Hayo yangu machache kwa Upande wa Misosi. Na Usisahau kubeba Dictionary.
 
Kupotea huwezi, kuna signs kibao za kuelekeza, labda usijue kusoma ndo utapotea. Jua gate lako utalolitumia kuunganisha flight yako kwenda Manchester toka Amsterdam. Ila ni vizuri utumie akili zako na za kuambiwa, mapolisi wa ulaya hata Amsterdam pale uwanjani wako poa sana, waulize na broken english yako, watakuelewa tu, waoneshe ticket yako, na ukifika tu asubuhi hiyo hiyo fasta tafuta gate lako, yaani gate la ndege za kwenda Manchester ndo upumzike, yanakuwaga mbali, unaweza sema nitalitafuta baadae mida ya kuondoka ikisogea ukaachwa na ndege.
Alafu connection na huu mchakato wote wa kubadilisha ndege na kupanda ndege ya kwenda Manchester utafanyika ndani kwa ndani, hamna kutoka nje kabisa ya uwanja mpaka unayaona magari barabarani kama pale kwetu. Hautoki nje, boarding pass ya Manu utaipata humo humo transit, wapo watu wengi tu walio transit.
Onyo: Usipokee mzigo wa mtu kumshikia. Unaweza ukajikuta una smuggle mzigo wa watu, ukikamatwa imekula kwako.
 
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

Mkuu uwe huru kabisa kuunga unga lugha za watu hizo hata wao hawajui kiswahili. Alafu ukitaka kuuliza vizuri waulize wenye uniform ndo watakuwa wa msaada zaidi.

Menu kwenye Ndege ni moja so kama siku hiyo wana serve chichen, beaf na kitu kingine abiria wote wanachagua kati ya hizo.
Usiogope wachina wanafikaje bongo wkt wao nao lugha ndo kabisaa.

Mimi nilishawahi kupotea kwenye Ndege long time but kosa lilikuwa la airline lakini pia ni kawaida kwa binadamu kukosea.

Wish you a safe flight.
 
Marubani wapo makini hivyo wanapita sehemu salama uwezekano wa kutunguliwa ni mdogo sana

Mara tuu ukishuka kwenye ndege Amsterdam usipoteze muda elekea sehemu zenye mishale inayoonesha 'transit passengers'. Soma namba ya geti la Manchester kwenye runinga (tv monitors) zilizopo uwanjani, tafuta hilo geti mpaka ulipate. Kwenye boarding pass ya Amsterdam- Manchester utakayopewa Dar itakuwa na namba ya geti lakini mara nyingi hubadilika. Amsterdam ni uwanja mkubwa hivyo geti liweza kuwa mbali ni vema ukalipata kwanza kama utakuwa na muda wa kutosha utapumzika huko huko kwenye geti lako.

Kweye chakula usijali we piga tuu, ila kama ni mla mboga mboga 'vegetarian' waambie tuu 'no meat, me jah person'
 
lugha usihofu utatumia ishara kama bubu, msosi we ukiulizwa upewe nini sema "bring me everything" nakazia hapo ni EVERYthing.

ila kumbuka kama una begi usiweke kufuri,ukiweka litakatwa tu maana hamna namna
 
Kwanza hongera kwa kusafisha nyota yako. Ondia woga magaidi gia ya wamarikani kupata mafuta so hawana shida na klm. Kama wewe ni mpenzi wa wine utaburudika dana ukiwa na klm. Kuhusu kubadili ndege angalia gate number zipo A -Z na namba ya ndege kwenye ticket yako then ukishamalizana na immigration dept utaona direction signs hasa arrows fuata hizo hadi gate number unayotakiwa. It's very simple huhitaji hata kumuuliza mtu ukiwa airport. Misosi ya klm ni mizuri na mara nyingi wana aina mbili so utachagua moja. Enjoy your trip

Asante mkuu wangu
 
Kariiiiiiiiiiiiiiiiiibu ulaya, usisahau jacket maana winter imeshafumuka huku sasa utaganda.
 
Marubani wapo makini hivyo wanapita sehemu salama uwezekano wa kutunguliwa ni mdogo sana

Mara tuu ukishuka kwenye ndege Amsterdam usipoteze muda elekea sehemu zenye mishale inayoonesha 'transit passengers'. Soma namba ya geti la Manchester kwenye runinga (tv monitors) zilizopo uwanjani, tafuta hilo geti mpaka ulipate. Kwenye boarding pass ya Amsterdam- Manchester utakayopewa Dar itakuwa na namba ya geti lakini mara nyingi hubadilika. Amsterdam ni uwanja mkubwa hivyo geti liweza kuwa mbali ni vema ukalipata kwanza kama utakuwa na muda wa kutosha utapumzika huko huko kwenye geti lako.

Kweye chakula usijali we piga tuu, ila kama ni mla mboga mboga 'vegetarian' waambie tuu 'no meat, me jah person'

Asante mkuu ila hiyo "jah person"imenivunja mbavu.sasa Larkin nitaenda ulaya kweli na mbavu zinauma?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uwe huru kabisa kuunga unga lugha za watu hizo hata wao hawajui kiswahili. Alafu ukitaka kuuliza vizuri waulize wenye uniform ndo watakuwa wa msaada zaidi.

Menu kwenye Ndege ni moja so kama siku hiyo wana serve chichen, beaf na kitu kingine abiria wote wanachagua kati ya hizo.
Usiogope wachina wanafikaje bongo wkt wao nao lugha ndo kabisaa.

Mimi nilishawahi kupotea kwenye Ndege long time but kosa lilikuwa la airline lakini pia ni kawaida kwa binadamu kukosea.

Wish you a safe flight.

Asante mkuu wangu
 
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

Ha ha......usiogope mwaya.......unaondokea uwanja upi......?.....coz kama ni KIA sometimes hawakuandikii gate no.......cha muhimu jua ni flight no ngapi unaconnect kutoka AMsterdam-Manchester......utaona flight yako kwenye ma screen mule.........na nadhani muda wa kuconnect hapo sio mrefu sana.......so usizubae zubae.........na wakati unacross bahari kuingia UK.....usiache kupiga picha yale ma windmill kule baharini ututumie........
othewise liKLM ni litamu balaa.........no turbulance za kiduanzi.........enjoy.......
 
Kupotea huwezi, kuna signs kibao za kuelekeza, labda usijue kusoma ndo utapotea. Jua gate lako utalolitumia kuunganisha flight yako kwenda Manchester toka Amsterdam. Ila ni vizuri utumie akili zako na za kuambiwa, mapolisi wa ulaya hata Amsterdam pale uwanjani wako poa sana, waulize na broken english yako, watakuelewa tu, waoneshe ticket yako, na ukifika tu asubuhi hiyo hiyo fasta tafuta gate lako, yaani gate la ndege za kwenda Manchester ndo upumzike, yanakuwaga mbali, unaweza sema nitalitafuta baadae mida ya kuondoka ikisogea ukaachwa na ndege.
Onyo: Usipokee mzigo wa mtu kumshikia. Unaweza ukajikuta una smuggle mzigo wa watu, ukikamatwa imekula kwako.

Asante kwa kunipa ujasiri mkuu@barafuyamoto
 
Kuna uwezekano pia kuna abiria mwingine mwenye route kama yako. Ukisha check in hapa JKNIA jaribu kuulizia. Utafika tu tena salama salmin. Watu wanaenda China na Kichinq hawakijui....
 
Ha ha......usiogope mwaya.......unaondokea uwanja upi......?.....coz kama ni KIA sometimes hawakuandikii gate no.......cha muhimu jua ni flight no ngapi unaconnect kutoka AMsterdam-Manchester......utaona flight yako kwenye ma screen mule.........na nadhani muda wa kuconnect hapo sio mrefu sana.......so usizubae zubae.........na wakati unacross bahari kuingia UK.....usiache kupiga picha yale ma windmill kule baharini ututumie........
othewise liKLM ni litamu balaa.........no turbulance za kiduanzi.........enjoy.......

Mkuu Preta nitaondokea KIA(jro) ila kwenye uchaguzi wa kumchagua lema tutakua pamoja.asante sana Preta unaepigishaga chafya ile Subaru ya blue
 
Last edited by a moderator:
Dah mnanitamanisha sana nimezoea local flight yani lazima na mimi nije nipaone amsterdam GOD help me to accomplish this dream
 
- Kwa usalama zaidi uliza askari waliopo airport.

- usikubali kumpa mtu tiketi au passport yako (isipokuwa maofisa wa uhamiaji waliopo)

- ukiingia kwenye ndege omba ubadilishane siti na abiria aliyekaa na dereva.

- KLM wana makande halafu kwa kuwa inatokea huku kwetu utakuwa hostess wanaojua kimatumbi. Hata kama hakuna mbongo wakenya kibao wapo huko kwenye mandege hayo.

- socialize na hostess mmoja mkiwa kwa ndege uhakikishe anakupa theory ya kutosha kuhusu hilo liuwanja....linatisha sana...kubwa na so busy. Akutafsirie tiketi yako...utasubiri muda gani...nk nk.. ask as much.

- sijui utakuwepo wakati tutakuja kucheza na nyie huko....chelsea lazima tuwatungueeeeee.

- Slim5 mmatumbi Mourinho atawafundisha mpira hiyo siku.

Hahahahaaaaa Asante pia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom