Naomba ushauri, naenda UK

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika
 
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

Nenda Tanga WATAKUKODISHA Zile NDEGE Zao Special.
 
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

  • Kuna uwezekano mdog sana wa kutunguliwa.
  • Kariri namba ya safari yako, flight number, ukifika Amstedarm angalia kwenye monitors. Boarding pass yako imeandikwa flight number, seat number na hata gate utakayopandia.
  • Utaulizwa kama unataka msosi upi. Kwa kawaida hakuna vyakula tofauti sana.
 
Asante mkuu
 
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

Usifakamie chakula usichokijua.
Usile chakula utakachopewa na jirani yako.
Tafuta cha kukuweka busy kama novel, movies, music. Ukikaa idle sana utaboreka na kuiona safari ni ndefu sana.
Jaribu kutengeneza marafiki wapya, it's fun sometimes.

Ukifika Manchester msalimie Van Gaal. Mwambie aache undezi wa kumpanga Rooney kila mechi.
 
Kwenye uwanja wa ndege kuna watu kibao wa kuwauliza. Wale wanaoendelea na safari watakuwa na mlango wao wa kuingilia. Onesha ticket yako watakuonesha. Ule uwanja wa Schpol ni mkubwa sana. We sema tu Manchester. Watakuelekeza mahali pa kwenda.
 
Usifakamie chakula usichokijua.
Usile chakula utakachopewa na jirani yako.
Tafuta cha kukuweka busy kama novel, movies, music. Ukikaa idle sana utaboreka.

Ukifika Manchester msalimie Van Gaal. Mwambie aache undezi wa kumpanga Rooney kila mechi.
Bavaria umenivunja mbavu...mimi nina hasira na wenga acha tu.kumpanga Campbell wakati hawezi?na kama nitakutana na FA nataka niwaulize,morinyo Ni mzungu au Ni mswahili?anamdomo anamzidi khadija kopa na mashauzi
 
Last edited by a moderator:
Kwenye uwanja wa ndege kuna watu kibao wa kuwauliza. Wale wanaoendelea na safari watakuwa na mlango wao wa kuingilia. Onesha ticket yako watakuonesha. Ule uwanja wa Schpol ni mkubwa sana. We sema tu Manchester. Watakuelekeza mahali pa kwenda.

Daaah haya bhana mi nikifika uholanzi neno langu Ni Manchester tu
 
Bavaria umenivunja mbavu...mimi nina hasira na wenga acha tu.kumpanga Campbell wakati hawezi?na kama nitakutana na FA nataka niwaulize,morinyo Ni mzungu au Ni mswahili?anamdomo anamzidi khadija kopa na mashauzi

Nakutakia safari njema kaka.

Safisha macho, uone jinsi wazungu walivyo serious sisi tupo busy na CCM yetu.
 
Last edited by a moderator:
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

Kwanza hongera kwa kusafisha nyota yako. Ondia woga magaidi gia ya wamarikani kupata mafuta so hawana shida na klm. Kama wewe ni mpenzi wa wine utaburudika dana ukiwa na klm. Kuhusu kubadili ndege angalia gate number zipo A -Z na namba ya ndege kwenye ticket yako then ukishamalizana na immigration dept utaona direction signs hasa arrows fuata hizo hadi gate number unayotakiwa. It's very simple huhitaji hata kumuuliza mtu ukiwa airport. Misosi ya klm ni mizuri na mara nyingi wana aina mbili so utachagua moja. Enjoy your trip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom