Naomba ushauri, naenda UK

Naomba ushauri, naenda UK

Unapofunga mkanda,safety belt,ukimuona katika abiria mtu yeyote aliyebishana na Putin,shuka. Unfasten the safety halafu toka ndani ya ndege.Lakini uliza how to survive., how to save money,how to stay alive,how to stay unsullied.
 
Tulia na wala usipanic ukikuta uwanja wa ndege mkubwa kama jiji la Dar-unaweza 1 hour after check out ukafikiri umeshafika mjini kumbe bado uko airport
 
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika

Utaonyesha tiketi mkuu wasaidizi watakuelekeza tu. Hamtunguliwi wala nini.

Misosi ipo ya kawaida hivyo usijali. Hawaweki vitu vigeni
 
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika

Hongera kaka,nami nilikuwa na wasiwasi kama wako niliposafiri kwa mara ya kwanza kwenda ng'amb😵ndoa shaka utafika tu uendako.Nilibugia pakti ya chumvi nikidhani labda ni maziwa ya unga ,pakti full Russian,ile kucheki upande wa pili abiria mwenzangu ananicheki ikabidi nimeze hivohivo tu.
 
kumbuka kuna Racism.. so be happy mda wote utaokua huko usivunjike moyo kabisa na hawa majitu meupe
 
Siku nikipanda ndege hata vile vya watalii....lazima nizimie mlangoni kwa mshangao utakaoambatana na mshituko........unbelievable......
 
Unapofunga mkanda,safety belt,ukimuona katika abiria mtu yeyote aliyebishana na Putin,shuka. Unfasten the safety halafu toka ndani ya ndege.Lakini uliza how to survive., how to save money,how to stay alive,how to stay unsullied.
Mh.........
 
Ukifika manchester nenda kituo cha treni kinaitwa manchester picadily ulizia treni ya kwenda blackpool ndo nyumbani kwangu uje kunisalimia
 
Ukifika manchester nenda kituo cha treni kinaitwa manchester picadily ulizia treni ya kwenda blackpool ndo nyumbani kwangu uje kunisalimia

Hahahahaaaa nitakuja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom