Naomba ushauri, naenda UK

Naomba ushauri, naenda UK

Hahaha jembe vipi tena...yale makabrasha uliyojaza yalikuwa kwa lugha gani?
Watu8 mwanawane si mambo ya wakalimani tu!!!kwani mimi itakua wa kwanza kwenda ulaya bila kujua kiingereza?
 
Last edited by a moderator:
- Kwa usalama zaidi uliza askari waliopo airport.

- usikubali kumpa mtu tiketi au passport yako (isipokuwa maofisa wa uhamiaji waliopo)

- ukiingia kwenye ndege omba ubadilishane siti na abiria aliyekaa na dereva.

- KLM wana makande halafu kwa kuwa inatokea huku kwetu utakuwa hostess wanaojua kimatumbi. Hata kama hakuna mbongo wakenya kibao wapo huko kwenye mandege hayo.

- socialize na hostess mmoja mkiwa kwa ndege uhakikishe anakupa theory ya kutosha kuhusu hilo liuwanja....linatisha sana...kubwa na so busy. Akutafsirie tiketi yako...utasubiri muda gani...nk nk.. ask as much.

- sijui utakuwepo wakati tutakuja kucheza na nyie huko....chelsea lazima tuwatungueeeeee.

- Slim5 mmatumbi Mourinho atawafundisha mpira hiyo siku.

hivi unapata wapi mda wa kuandilka Liwaya ya kipuuzi namna hii?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ishawahi niyokea kwenye qatar airways nimepewa vijikopo vingivingi nikaanza kufungua kimoja baada ya kingine na kubugia nikajikuta nimebugia blueband

Shukuru Mungu hukuanza kururdisha chenji au kuendesha.
 
jembe afrika kama ni mara yako ya kwanza kwenda mataifa yaliyoendelea nakushauri rely kwenye kuuliza, ukitegemea eti utafuata maelekezo unayopewa humu wallahi utapotea au utaachwa na ndege. Ujue nchi za wenzetu ni tofauti sana na zetu, so cha kwanza utapigwa bumbuwazi na kujiona uko sijui dunia ya wapi vile, kila kitu kitakuwa kigeni kwako, so ni rahisi kuchanganyikiwa ikiwa utaamua kujiendea mwenyewe.

Ushauri wangu: uliza uliza uliza uliza uliza uliza hii ndo kauli mbiu nayokupa
 
Last edited by a moderator:
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika

Ngoja nikwambie ukweli Mchungu Ulaya watu hawapendi kuulizwa ulizwa so achana na kuuliza

Fanya haya na Utafika

Ukifika Uholanzi hakikisha umepanda basi la transit-yaani wanaoendelea kama mnachukuliwa na Mabasi toka kwenye tenge kupelekwa dawati la transit. Angalia usipande basi la ARRIVAL yaani wanaoishia Amstaerdam

Kama hakuna mabasi tembea mpaka ndani ya uwanja angalia tkt yako unaunganisha na kupitia gate namba gani! Fuata mshale tu huwezi potea kuna mishale kila baada ya hatua kumi labda

Angalia mda gani ndege yako inaboard usije ukashangaa mpaka ukachwa.

Kama unahitanji msaada bora uulize wahudumu wenye uniform kuliko kuparamia mtu, halafu angalia pia utakaaa na mtu gani kwenye siti moja anaweza akawa rafiki mpaka ukashangaa.
Mara ya mwisho nimesafiri nikakutana na Mzungu tukawa marafiki mpaka naniachia mabegi yake anaenda kujisadia ajabu kweli mara nyingi mizungu hainaga stori na mtu.....ukiona hivyo headphone zako kula bongo fleva mpaka manchester
 
Asante mkuu
 
Wazo Zuri sana!
 
Schophil {Amsterdam} sio airport complicated sana wewe angalia boarding pass yako inakwambia utaunganisha na ndege gani .so ukishuka na sehemu ya kukagulia kuna ratiba ya ndge juu screen yenye maandishi yanayobadirika kuonyesha jina la ndege na muda wa kutua na kuondoka hapo unaweza pia kuomba msaada kwa kuonyesha ticket yako au passing board yako utaelekezwa lango namba ngapi then utasonga mpaka hilo lango utakuta checking in nyingine utakabidhi tena utakuwa umemaliza
Kuna airport nyingine kama seattle, ya seattle,dulles ya new York hizi ziko very complicated kwa mgeni

Amsterdam Airport Schiphol
 
Ni wiki ijayo,naondoka na KLM,

Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?

Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?

Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu sijui majina.

Msaada jamani.

Jembe la afrika

Hata wakiidungua angani shikilia kiti tu utasalimika,wanaokufa ni wale wanaocha kushikilia viti na kuanza kupiga kelele za mamaaaa mamaaaa lakini ni endapo unafikiri ndege ni sawa na mabasi ya ALL'S.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom