Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

hapo pagumu. mimba maana yake ni pekupeku hiyo, sasa sijui.....
Au akija Dar hana pakufikia, anatafuta sehemu ambayo atakula bure na atalala bure na ku-save pesa ya kulala gesti. Style hii ilitumiwa na wamama wa mkoa fulani waliokuwa wanaenda kufanya biashara Uganda, ku-save kwao hela ya ya kula na ya kulala gesti kukasababisha wakarudi na UKIMWI.
Kuwa makini.
Inawezekana kabisa usemacho kwanza huyo jamaa amethibitisha vipi kuwa ni mke wa mtu, pili hana mtoto na mumewe hana uwezo wa kumzalisha wakati wamekutana kwenye basi. Kuna wanaosema UKIMWI hawakuununua dukani haoni shida kumwambukiza mwingine
 
kabla ya yote hebu jiulize maswali haya
-ana hakika gani kuwa wewe una uwezo wa kumpa mimba?
-uko tayari kushiriki ngono bila kinga manake ndo hapo kunapatikana mimba ati!
-unahitaji huyo mtoto wako alelewe na mtu mwingine?
-dhamirI yako inalingana na dhamirA yake?
Ukishamaliza kujiuliza haya kisha fanya maamuzi!
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi?

Sasa kama mume wake ndiyo ana matatizo itakuwaje ukimpa mimba??? Ni wazi atajua tu kuwa mkewe kachakachuliwa na hivyo possibility ya kumufkuza ni kubwa. Unadhani akifukuzwa ataenda wapi kama siyo hapo kwako wewe uliyempa hiyo mimba na mkumsababishia msala????

Mwisho, kesha waambia wangapi maneno kama hayo???? Changamka, chukua hatua achana na hilo kulumbembe.
 
kuna watu hata ukiambiwa kunya kwenye sufuria utakuja kuuliza JF.....sasa wewe umepewa mzigo hapa JF unauliza nn piga propera acha ujinga...ushaur pima kwanza kabla ya kupiga mzigo maana hiyo ni rough road...angalia taili kama zina upepo
 
kuna watu hata ukiambiwa kunya kwenye sufuria utakuja kuuliza JF.....sasa wewe umepewa mzigo hapa JF unauliza nn piga propera acha ujinga...ushaur pima kwanza kabla ya kupiga mzigo maana hiyo ni rough road...angalia taili kama zina upepo

Hata kama ungekuwa ni wewe mkuu ktk suala kama hili lazima ungebabaika.
 
wee chapa tuu, mimba matokeo, ngoma bahati mbaya, 0713 ushujaa....
 
wee chapa tuu, mimba matokeo, ngoma bahati mbaya, 0713 ushujaa....
Kwahyo hata kama tukioenda pima unashauri nitimize matakwa yake? Kuhusu 0713 haitakuwa rahisi kama unavyo fikiria labda ndumba.
 
Kwahyo hata kama tukioenda pima unashauri nitimize matakwa yake? Kuhusu 0713 haitakuwa rahisi kama unavyo fikiria labda ndumba.

we inaelekea unataka wewe ,hapa tunapigia mbuzi gitaa!
 
Nashukuru kwa ushauri wenu, ntarudi tena hapa alhamisi kuleta feedback pamoja na picha za huyo mdada,
my intake: Kiukweli sikotayari kufanya kitu kama hicho kwani nahisi kumkosea mungu na badala yake kugeuzwa kwa rungu hili kwangu, nitajitahidi kumshauri jinsi yeyote hile ili anielewe, kitakacho fuata ni kuiweka namba yake kwenye black namba, ahsanteni tuonane tena alhamisi
 
stor ya ku2nga! Kama mumewe ndo anatatzo akpata mimba c itajulikana kuwa co ya mumewe!
 
Acha kujishaua unataka ushauri gani wakati tayari ushamuita Dar? do your worst
 
You buy her an Underwear and
another Guy Removes it....That is
separation of power.
 
fanya kama unatoa msaada ivi kikubwa anashida sana na mtoto kama unaweza mpe tena ki roho safi
 
Back
Top Bottom