Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?
 
huna mayai? Nataka chipsi yai
huna mbegu? Nina shamba la mfano.

note: kimbia fasta, mkenge huo
 
kwan weye status yako ikoje? Single ,with sm1, single and ready 2mingle, etc
 
ok then mpotezee usijipe chance ya kuruin future yako, listen 2ur heart if wasema no then jibu ni no. Simple like that!!
 
kwan weye status yako ikoje? Single ,with sm1, single and ready 2mingle, etc

ha!ha!ha mkuu umpe mimba mke wa mtu!hivi wewe inakuingia akilini kweli?naungana na mkuu hapo juu aliehoji if una mayai mengi lol!
Kwa kifupi kimbia wala usigeuke,miaka 26 we bado mdogo so jiheshimu,jipende,jitunze,jithamini na angalia maisha yako acha kuzoa magundu njiani bana aah!
Afu kuna post umesema una mchumba sua huoni aibu?jitahidi kumwepuka huyo mke wa mtu,wenyewe walikubaliana kuvumiliana ktk shida na raha,ndo shida zenyewe we usihusike
 
kwani wewe unaonaje? kama vipi kula kuku na mayai yake. ni mtazamo tu lakini
 
kha mie naona ingekuwa kumegwa tuu kweli lakini mambo ya mtoto tena achana nae huyo...
 
Kusema ukweli kawa kuna mtu anamhitaji nimpe namba zake kwan siko tayari kabsa

sasa kama hauko tayari unashndwa nini kukataa?huruma chanzo cha maovu mkuu khaa!fuata maoni ya wadau hapo juu'kata mawasiliano nae kabisa
 
Back
Top Bottom