Wewe noma umenichekesha sana bana, Mwenzie wa Mwanza!
hapo pagumu. mimba maana yake ni pekupeku hiyo, sasa sijui.....Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi?