Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

mumewe ana mtatizo ya uzazi sasa mimba atakuwa ameitoa wapi. Hauoni kuwa utakuwa umesababisha matatizo kuanzia kwa huyo mwanamke, wewe hadi huyo mtoto ambaye hana hatia maana huyo baba hatakubali kuishi na damu isiyo yake Harafu rafiki yangu sikuhizi wanstaili moja mtaingia chumbani then jamaa anaingia kukusamehe mpaka apige tigo huku na kamera zimetanda ukitoka humo hutasimulia hata ham ya kuishi itakuwa imepungua sana. so kuwa makini sana
 
Tatizo la huyu bwana sio mkweli!! Inakuwaje ukatane na mtu kwenye basi only once na atake mtoto kutoka kwako?? Alijuaje msimamo wako kwamba upo cheap kiasi hicho?? Jipange uweke ukweli utapewa ushauri. Tatizo ni kwamba umedhani members wote humu wana akili sawa na wewe!! Most members are GT. Wanapenda kureason kabla ya kuamua.

My take:
Fanya kazi kwa bidii kama unataka maisha mazuri yasiyokuwa na bugudha na mtu. Ila kama unataka HIV/AIDS, unaweza kuendelea na maamuzi yako. Hakuna atakekupa go ahead humu.
 
mpotezee dogo, halafu ujue kuna ngoma ile kishenzi siku hizi especialy kwa married people, manake inavyoonekana hata hamjapima ngoma halafu mnataka kutafuta mtoto, upigwa shoti wewe, halafu arv za siku hizi feki, tutakusahau fasta.
 
Usimtekelezee, msijekugomea mtoto na mwenye mke bure. MwambievNdoa si watoto bali watoto ni matokeo ya ndoa
 
Kasema lengo lake mimba unajua mta du mara ngapi mpaka isome!Vp kama ni tasa ndo utaoa kabisa (yaani unakamua kila siku) na bado mimba haitasoma!Then mnaachana vp wakati mmekubaliana kupeana mimba?
 
Tatizo la huyu bwana sio mkweli!! Inakuwaje ukatane na mtu kwenye basi only once na atake mtoto kutoka kwako?? Alijuaje msimamo wako kwamba upo cheap kiasi hicho?? Jipange uweke ukweli utapewa ushauri. Tatizo ni kwamba umedhani members wote humu wana akili sawa na wewe!! Most members are GT. Wanapenda kureason kabla ya kuamua.

My take:
Fanya kazi kwa bidii kama unataka maisha mazuri yasiyokuwa na bugudha na mtu. Ila kama unataka HIV/AIDS, unaweza kuendelea na maamuzi yako. Hakuna atakekupa go ahead humu.
Inshort, tuna miezi kama minne tangu tulipokutana kwenye basi,na tulianza kumzungumza mpaka sasa ndio akaniambia hayo yote,Kuhusu kuwa sawa kiakili hata kimawazo tunatofautiani so ndio mana leo naomba msaada wa mawazo.
 
Back
Top Bottom