Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

"Takwimu zina onesha watu walio kwenye ndoa ndio wanaongoza kwa maambukizi ya vvu"

"vijana kati ya umri wa miaka 20-35 wako kwenye hatari ya maambukizi ya v v u"

"siri ngumu kuficha ni ya kutembea na mke wa mtu"

"mwenzio akinyolewa zako tia maji"

"usione vya elea vimeundwa"
 
ndoa zina siri nyingi.pengine amekubaliana na mume wake.au anafanya hivyo kumsitiri mume wake.ukikubali utakuja juta kwa sababu utamkumbuka tu huyo miaka ya baadae.muachie mwenyewe na maisha yake
 
Kimbia mbali nae huyo mtoto atampa mume na wewe labda ndio huyo akatokea kuwa wako pekee. Yaani ukioa hutapata mtoto, so mtakimbizana tu.

Pia labda mumewe katoa sadaka kwenye uchawi

Pia labda mwanamke akilala nawe bahati yako wanaichukua

Ogopa wewe bado mdogo, hushangai y wewe? Y asifate man aliye umri mkubwa as mbegu hazina age?
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi?

we jinga kweli.
 
Nimechelewa hadi uneshafanya maamuzi, dah. Hongera. Sasa akija kuxhukua mimba jumatano ukamnyima, itakuwaje? Asije akalia mtoto wa watu.
Kusema ukweli kawa kuna mtu anamhitaji nimpe namba zake kwan siko tayari kabsa
 
Madude yenyewe anayoyahitaji kupata hiyo mimba kila siku unayamwaga bafuni!! Mpe bana mtanganyika mwenzako, khaaa!
 
we unashauriwa unajifanya unataka umpe mtu namba
kwani wewe alikupa mtu namba zake au mlikutana tu wenyewe?
 
we unashauriwa unajifanya unataka umpe mtu namba
kwani wewe alikupa mtu namba zake au mlikutana tu wenyewe?
Nadhan wako watu ambao wanaweza fanya kitu kama hiko
 
Habari zenu wakuu,huyu dada
tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu
sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja
sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia
ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika
hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio
anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na
Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri
aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama
kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba
tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri
vipi?

Mme pima? Au mnaenda kukwanyuana tu kavukavu! Kama unataka kumsaidia huku na wewe ukijinoma kiaina pimeni ngoma kwanza mkiwa poa, msaidie.
 
Kusema ukweli kawa kuna mtu anamhitaji nimpe namba zake kwan siko tayari kabsa

nipe mi nimtimizie haja ya moyo wake. Ninafanya biashara ya kuzalisha mtoto mmoja kwa mwanamke m1. Ikitosha timu ya mpira nawakusanya.
 
just don't do that hutapungukiwa kitu zaidi utakuwa umeepuka kadhia...jaribu tu kufikiri wewe ndio mume hauna uwezo wa kuzalisha halafu mkeo anarudi home na mimba.
kaka hilo ni jumba bovu...
 
mwambie kwamba h.i.v test is your motto! vingnevyo wafanyabiashara they have alot in their heads, usikute ndo njia yake ya kutongozea mwanaume anayemtaman si kwenye basi, gulion, hotelin, baan etc.! value your life coz u can loss 4 an event of just 2 minutes.
 
Kwani wewe nani amekwambia una uwezo wa kuzalisha, unaweza ukala tunda na bado usitengeneze mimba halafu ikiwa ni ngono mtindo mmoja mpaka utakapofumaniwa.
 
Back
Top Bottom