chambilecho
Member
- Sep 23, 2012
- 27
- 3
unajifanya dume la mbegu kwa magubegube, ngoja aje akulambishe midawa ya usingizi akuibie hadi cost.
In short,yeye ni mfanyabiashara wa nguo huwa anachukua huku Dar na kupeleka mkoani sasa anasema akija anataka tukamilishe na hilo
mbona kama we ndo umemtongoa?inakuaje anakuja kukuambia siri zake za ndani buila wewe kumtongoza?utakufa kijana mke wa mtu ni sumu!hukusikia kule kenya yaliomkuta kijana mwenzio?ole wako ukute ametoka tanga au sumbawanga
Kusema ukweli kawa kuna mtu anamhitaji nimpe namba zake kwan siko tayari kabsa
Hao wanaochiti sababu ya kutafuta watoto ni w kuogopa kama ukoma...
Maana atatembea na huyu siku mbili akiona hakuna mimba anatafuta mwingine...
Na mume wake ukute ana vimada 10 nae anajaribu kuona kama ana kizazi au la.
Kwa kuwa wanataka mtoto ni mwendo wa kavu kavu...
Niliwahi simuliwa story ya wanandoa waliokufa kwa HIV kwa sababu ya kutafuta mtoto...tena mume alikuwa doctor lakini alikuwa anatafuta mtoto kila kona...mtoto hakumpata akaishia kupata maradhi
Thanks,Je upo tayari kutengeneza complexity katika maisha yako ya siku zijazo? Kutengeneza mtoto ni lifetime attachment kati ya wewe na mke wa mtu pamoja na mtoto....utakuwa na mawasiliano yasiyokwisha...sijui kama uta-ignore mtoto ulienaye huko nje wakati ukiwa na familia yako??? Najua kama simba kila swala anaepita unataka kumkimbiza ni asili ya simba...lakini kuwa makini kidogo....kama waweza kula bila kuacha footprint...sio mbaya ni mojawapo ya one-off assignment! Kula with care...consequence are around the corner
ungemuuliza kama mumewe anajua tatizo liko kwake sasa akipata mimba atamwambia kashukiwa na roho mtakatifu?In short,yeye ni mfanyabiashara wa nguo huwa anachukua huku Dar na kupeleka mkoani sasa anasema akija anataka tukamilishe na hilo
ungemuuliza kama mumewe anajua tatizo liko kwake sasa akipata mimba atamwambia kashukiwa na roho mtakatifu?
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kub huyo mwanamke ukweli wake umemponza,si angekutaka tu kikawaida! Mke wa mtu mkosi kaka,itakuumiza sana maishan mwako na hutakaa uwe na iman na mtu anye chuchumaa kukojoa ukitekeleza hilo