Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Huo mkenge kaa mbali nao,Usijekumbwa na balaa maana mke wa mtu sumu hata kama amejilengesha
 
achana kabisa na kitu hiyo, we ni kijana mdogo bado una future nzuri, tengeneza maisha yako usithubutu kufanya hivyo ukifikiri unamsaidia au una mhurumia.
 
Almashauri yako ya kichwa inachokushauri ndo ufanye kumbuka mke wa mtu mtamu pia zingatia hilo
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?

Nikupe namba ya Barlow uwasiliane naye ujue kinachoweza kukutokea?
 
wewe una uwezo wa kumimba mwanamke?.......
 
In short,yeye ni mfanyabiashara wa nguo huwa anachukua huku Dar na kupeleka mkoani sasa anasema akija anataka tukamilishe na hilo

achana nae ndugu yangu mwanamke wa kukutana nae siku moja knatongozana na kukubaliana kuna namna hapo jiulize katika safari zake za biashara ameshakutana nawasafiri wa ngapi na kuwaambia hayo maneno jiulize tuko wangapi?
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?

nadhani heading yako inajieleza vizuri kabisa,na kwa kuongezea tu MKE WA MTU NI SUMU achana na huo mpango kabisa,umri wako bado mdogo sana,just have focus onto your goals.
 
Back
Top Bottom