badi ni vyema ukaangalia namna ya kuwapa watu wenye uhitaji kama wazee wasio na msaada, na hata wajane ,...kuna watu wanahitaji msaada mkuu,...huku kwenye nyumba za ibada ni kuchezea pesa kinafiki huku tukishindwa kusaidia watu wenye kutuhitaji kweli,...Huku hamna mpaka mjini kiongozi.
Kwa sababu hakutaka apate thawabu kwa wanadamuHivi ni kwanini Jesus alipokuwa akitenda alikataza watu & wanafunzi wasimwambie yeyote?
Dogo laki saba tu inakuzuzua,ungekuwa na mabillion kama ya Chivayo si ungezimia kila dakika.Habari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru mwenyezi M_NGU kwa mwezi nikifunga hesabu sikosi hata 700,000/=.
Sasa nilikaa na kamati yangu ya ubongo tukakubaliana atleast kwa mwezi nitoe 10% kununua baadhi ya vitu kanisani japokuwa mimi huwa sihudhuriii.
Tatizo linapokuja hapa; Mwezi wa kwanza nilipeleka vifaa fulani pia mwezi ulioisha nimepeleka mahitaji fulani ya ujenzi kutokana na hali duni na ubovu wa kanisa, ila sasa waamini wa kanisa wamefanya umepelelezi na kujua kwamba ni mimi ninaetoa hizi mali japo mimi sikutaka wajue kabisa.
Kilichofuata ni kwamba muda wote wanapishana ofisini kwangu wanakuja kushukuru sana yaani mpaka sio poa, akina mama na akina baba wote wanakuja. Mimi naona kabisa nimezingua kufahamika kabisaaaa.
Sasa wakubwa naombeni ushauri nitoe sadaka au shukrani kwa namna gani? Kumshukuru MWENYE DUNIA YAKE HII?
maswali nayowaza;
1. Ningejua ningeacha vitu nje ya kanisa alafu nasali alafu nakimbia ili wasinijue.
2. Nibadilishe namna ya majitoleo tu.
3. Nianze kuwakwepa hawa waamini.
Kaongee na mchungaji wako kuhusu aina ya utoaji unaohitaji bila kufahamika na waumini wengine. Unaweza kufanya kupitia akaunti ya benki ya dhehebu lako ama kufanya muamala kwa njia ya simu.Habari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru mwenyezi M_NGU kwa mwezi nikifunga hesabu sikosi hata 700,000/=.
Sasa nilikaa na kamati yangu ya ubongo tukakubaliana atleast kwa mwezi nitoe 10% kununua baadhi ya vitu kanisani japokuwa mimi huwa sihudhuriii.
Tatizo linapokuja hapa; Mwezi wa kwanza nilipeleka vifaa fulani pia mwezi ulioisha nimepeleka mahitaji fulani ya ujenzi kutokana na hali duni na ubovu wa kanisa, ila sasa waamini wa kanisa wamefanya umepelelezi na kujua kwamba ni mimi ninaetoa hizi mali japo mimi sikutaka wajue kabisa.
Kilichofuata ni kwamba muda wote wanapishana ofisini kwangu wanakuja kushukuru sana yaani mpaka sio poa, akina mama na akina baba wote wanakuja. Mimi naona kabisa nimezingua kufahamika kabisaaaa.
Sasa wakubwa naombeni ushauri nitoe sadaka au shukrani kwa namna gani? Kumshukuru MWENYE DUNIA YAKE HII?
maswali nayowaza;
1. Ningejua ningeacha vitu nje ya kanisa alafu nasali alafu nakimbia ili wasinijue.
2. Nibadilishe namna ya majitoleo tu.
3. Nianze kuwakwepa hawa waamini.
Sahihi labda kusomesha yatimabadi ni vyema ukaangalia namna ya kuwapa watu wenye uhitaji kama wazee wasio na msaada, na hata wajane ,...kuna watu wanahitaji msaada mkuu,...huku kwenye nyumba za ibada ni kuchezea pesa kinafiki huku tukishindwa kusaidia watu wenye kutuhitaji kweli,...
Kua mpole basi 😁Dogo laki saba tu inakuzuzua,ungekuwa na mabillion kama ya Chivayo si ungezia kila dakika.
Huko kijijini hakuna walemavu,masikini kapuku mafukara.Mbona unataka tukuone hamnazo.Hao ndio wahitaji mungu yupo ndani yako sio msikitini wala kanisani acha upumbavu, amka kutoka kwenye huo usingizi mzito.
huwezi toa fungu la kumi kwenye kanisa la kilokole usifahamike tena kwa style ya kutoa vitu vinavyoonekana, utahubiriwa kama mfano na pastorHabari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru mwenyezi M_NGU kwa mwezi nikifunga hesabu sikosi hata 700,000/=.
Sasa nilikaa na kamati yangu ya ubongo tukakubaliana atleast kwa mwezi nitoe 10% kununua baadhi ya vitu kanisani japokuwa mimi huwa sihudhuriii.
Tatizo linapokuja hapa; Mwezi wa kwanza nilipeleka vifaa fulani pia mwezi ulioisha nimepeleka mahitaji fulani ya ujenzi kutokana na hali duni na ubovu wa kanisa, ila sasa waamini wa kanisa wamefanya umepelelezi na kujua kwamba ni mimi ninaetoa hizi mali japo mimi sikutaka wajue kabisa.
Kilichofuata ni kwamba muda wote wanapishana ofisini kwangu wanakuja kushukuru sana yaani mpaka sio poa, akina mama na akina baba wote wanakuja. Mimi naona kabisa nimezingua kufahamika kabisaaaa.
Sasa wakubwa naombeni ushauri nitoe sadaka au shukrani kwa namna gani? Kumshukuru MWENYE DUNIA YAKE HII?
maswali nayowaza;
1. Ningejua ningeacha vitu nje ya kanisa alafu nasali alafu nakimbia ili wasinijue.
2. Nibadilishe namna ya majitoleo tu.
3. Nianze kuwakwepa hawa waamini.
zinapatikanajeBaraka za mwenyezi Mungu hazipatikani kwa kutoa sadaka wala zaka
gratuitouslyzinapatikanaje
Lugha yangu huwa ni hii kila ninapojadili mambo VITAL katika mustakabali wa FUTURE YA KIJANA MPAMBANAJI.Kua mpole basi 😁
Asante sana, mwanazengo naona kuna mengi ya kujifunza kwakoLugha yangu huwa ni hii kila ninapojadili mambo VITAL katika mustakabali wa FUTURE YA KIJANA MPAMBANAJI.
MUDA NI MCHACHE SANA, KUANZA KUWEKA NAKSHINAKSHI KWENYE UJUMBE WENYE MAUMIVU KWA VIJANA ROJOROJO.
JUMBE ZANGU HUWA ZINAPASUA BONGO NA MACHO BILA KUJALI HISIA ZAKO ZITAJERUHIWA KIASI GANI, BALI NAJALI MANTIKI NA UHALISIA!
UKIONA MAUDHUI YANGU YANAKUIRRITATE UJUE BADO HUJAAMUA KUBADILIKA.NA UPO HAPA KUTAKA SUPPORT YA KUJUSTIFY APPROVAL UNAYOITAFUTA KWA STRANGERS HAPO KIJIJINI KWENU.
Soma Malaki3:10'....