Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,604
- 6,796
hujui nini unataka!
Sahihi na vipi kuhusu kupeleka vitu kama vifaa vya usafi na vitambaa?Mkuu mimi kimtazamo wangu hizi dini zimekuja kukusanya mapato tu ila hakuna cha ziada
Wasaidie wajane na yatima utabarikiwa maradufu kuliko kumpa pesa mchungaji kisha yeye anaenda kuhonga
Ni kama hao kkkt wanavyokaa meza moja na wauaji na wala rushwa kila siku, nini maana yake???
Uwakataze kuja ofisini kutoa shukurani. Hiyo ni gia ya kuangalia kama kweli unatoa kulingana na ulichonacho, au kukufanya uendeelee kutoa. Au waambie mnakuja hapa mnajuaje kama ni mie? Basi naomba kwa sababu sijatoa kwa tarumbeta, msinishukuru kwa tarumbeta, maana huenda sio mimi nilietoa.Kwamba niwakataze kuja ofisini?
Hicho ndio kitu kimenifanya niwaze sana kwa maana kwamba sijapenda wanavokuja.Uwakataze kuja ofisini kutoa shukurani. Hiyo ni gia ya kuangalia kama kweli unatoa kulingana na ulichonacho, au kukufanya uendeelee kutoa. Au waambie mnakuja hapa mnajuaje kama ni mie? Basi naomba kwa sababu sijatoa kwa tarumbeta, msinishukuru kwa tarumbeta, maana huenda sio mimi nilietoa.
Labda una enjoy visits zao zinakufanya uwe na bichwa kubwa
Kikubwa mimi mwenyewe ni shuhuda wacha nishududie,Sadaka ni wizi na utapeli.
Kanisa ni kichaka cha wizi.
Dini ni utapeli.
HAKUNA MUNGU
Linda kibunda chako.
Pesa ngumu.
Sasa endelela kutoa sadaka kila upatapo pesa na mali, toa vyote kabisa peleka kanisani.Kikubwa mimi mwenyewe ni shuhuda wacha nishududie,
Nilikiwa siamini kama hivo ila nikajichanganya kukufuru mara kadhaa na kila nilipokufuru tu! Kilinilamba 😁 kwaio me ntaendelea kumuamini tu.
Kitu nimejifunza ni kwamba, kutengeneza na kuboresha mahali ambapo wanafanyia ibada na kutoa sadaka watu, ni mojawapo ya sadaka mkuu. Sijapeleka pesa cash, sabuni au ndizi.Sasa endelela kutoa sadaka kila upatapo pesa na mali, toa vyote kabisa peleka kanisani.
Na usije huku kuomba ushauri.
🙃samahani mkuu sijaelewa vizuri swali lako.unaweza kuniuliza tena.Je, nitakuwa sawa hata kidogo kabla sijaacha kupeleka ?
Wajichange wao ndio waboreshe. Sio kukutegemea wewe mtu mmoja.Kitu nimejifunza ni kwamba, kutengeneza na kuboresha mahali ambapo wanafanyia ibada na kutoa sadaka watu, ni mojawapo ya sadaka mkuu. Sijapeleka pesa cash, sabuni au ndizi.
Nimepeleka vitu vya ujenzi maana shuhuli za ujenzi zinaendelea.
Je, nitakuwa sawa hata kidogo kabla sijaacha kupeleka ?
Sir mgax
Wewe nendaHabari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru mwenyezi M_NGU kwa mwezi nikifunga hesabu sikosi hata 700,000/=.
Sasa nilikaa na kamati yangu ya ubongo tukakubaliana atleast kwa mwezi nitoe 10% kununua baadhi ya vitu kanisani japokuwa mimi huwa sihudhuriii.
Tatizo linapokuja hapa; Mwezi wa kwanza nilipeleka vifaa fulani pia mwezi ulioisha nimepeleka mahitaji fulani ya ujenzi kutokana na hali duni na ubovu wa kanisa, ila sasa waamini wa kanisa wamefanya umepelelezi na kujua kwamba ni mimi ninaetoa hizi mali japo mimi sikutaka wajue kabisa.
Kilichofuata ni kwamba muda wote wanapishana ofisini kwangu wanakuja kushukuru sana yaani mpaka sio poa, akina mama na akina baba wote wanakuja. Mimi naona kabisa nimezingua kufahamika kabisaaaa.
Sasa wakubwa naombeni ushauri nitoe sadaka au shukrani kwa namna gani? Kumshukuru MWENYE DUNIA YAKE HII?
maswali nayowaza;
1. Ningejua ningeacha vitu nje ya kanisa alafu nasali alafu nakimbia ili wasinijue.
2. Nibadilishe namna ya majitoleo tu.
3. Nianze kuwakwepa hawa waamini.
Kufahamika siyo vibaya ata Mungu pia uwa anapenda kuwatangaza watu kwa njia mbalimbaliHabari za wakati wanaJF watukufu.

Hivi ni kwanini Jesus alipokuwa akitenda alikataza watu & wanafunzi wasimwambie yeyote?Wewe nenda
Kufahamika siyo vibaya ata Mungu pia uwa anapenda kuwatangaza watu kwa njia mbalimbali
Akikisha kila jumapili unaenda kanisani kusali pamoja nao
&
Then toa sawasawa na moyo wako utakavyo kuongoza.
Be blessed.