VENKO
Member
- Mar 3, 2025
- 90
- 179
Habari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru mwenyezi M_NGU kwa mwezi nikifunga hesabu sikosi hata 700,000/=.
Sasa nilikaa na kamati yangu ya ubongo tukakubaliana atleast kwa mwezi nitoe 10% kununua baadhi ya vitu kanisani japokuwa mimi huwa sihudhuriii.
Tatizo linapokuja hapa; Mwezi wa kwanza nilipeleka vifaa fulani pia mwezi ulioisha nimepeleka mahitaji fulani ya ujenzi kutokana na hali duni na ubovu wa kanisa, ila sasa waamini wa kanisa wamefanya umepelelezi na kujua kwamba ni mimi ninaetoa hizi mali japo mimi sikutaka wajue kabisa.
Kilichofuata ni kwamba muda wote wanapishana ofisini kwangu wanakuja kushukuru sana yaani mpaka sio poa, akina mama na akina baba wote wanakuja. Mimi naona kabisa nimezingua kufahamika kabisaaaa.
Sasa wakubwa naombeni ushauri nitoe sadaka au shukrani kwa namna gani? Kumshukuru MWENYE DUNIA YAKE HII?
maswali nayowaza;
1. Ningejua ningeacha vitu nje ya kanisa alafu nasali alafu nakimbia ili wasinijue.
2. Nibadilishe namna ya majitoleo tu.
3. Nianze kuwakwepa hawa waamini.