Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

Unaota umekufa, elezea mazingira kuna wengine wanaota wameufa wapo kaburini wamefukiwa, mwingine anaota nafsi ipo pembeni inahuzunika ikijiangalia watu wanavyoomboleza kwenye jeneza. Mwingine anaota yupo kwenye jeneza anasikia watu.
shukrani sana kwa mchango wako,mala zote naotaga watu wanalia na kuomboleza huku mi nikiwa nipo kwenye jeneza au mala nyingne kitandani .
 
Hauwezi kuota umekufa. Hata katika kukimbizwa huwezi kukamata utahisi miguu mizito ila hukamatwi ikitokea kukamatwa hapo hapo unaamka.

Katika ndoto wewe unakuwa star wa movie
mkuu kwenye aina ya ndoto yangu hii nakuwa nipo kwenye jeneza na kunakuwa na watu wanaomboleza na kulia hii imetokea mala tano.
 
Ndugu unajua kutafsiri ndoto sio kila mtu anaweza na pia ni mojawapo ya karama kubwa sana, na hata kuota tu yenyewe. Jambo mfano unaloota mtu anaweza kudhania linaweza kua na mana ya Moja kwa Moja kumbe sivyo ni ujumbe mwingine unawasilishwa. Ningekufafanulia ila sio hadharani hapa. Na pia usipende kusema ndoto zako ovyo ovyo kama hivi kwenye mitandao. Ukijitambua zaidi utakuja kufahamu sababu kwanini NIMEKUAMBIA hivyo.
shukran!Mkuu kwa mchango wako.
 
Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
Gentleman,
omba na kukemea kwa bidii sana na bila kuchoka hiyo ni roho ya mauti inazengea nafsini mwako na kwenye maisha yako. Ongeza umakini katika kila unalofanya mathalani kusafiri na vyombo vya moto n.k

hata hivyo,
roho hiyo ya mauti inaweza ikawa haikulengi wewe mwenyewe moja kwa moja, bali ndugu yako wa damu katika famili yako. In fact ndoto ni alert muhimu sana ya kinachoweza kukutokea mbeleni

kemea sana,
usifanye mzaha :1Head:
 
Fafanua vzr,
1.umeota umekufa ghafra bila kuumwa?
2.Uneota umekufa then ukafufuka?
3.umeota umekufa ukiwa uchi
4.Umeota umekufa na watu wanaomboleza?
 
[QUOTE="baunsamuoga, post: 57028290, member: 706279
Lkn sehemu ya pili imejikita kwenye usahaulifu, yaan ukiota ndoto mara kadhaa au mara moja na ndani ya maisha ya ndoto hiyo ukapata hisia za uchungu yaan ukahis moyo na hisia vimekosa Amani kisha uliposhtuka ukasahau baadhi ya matukio ya ndoto yako ujue huo ulikuwa ni ujumbe mzito kiroho! Sasa kama ni mwanaume hakikisha wiki 2/4 usishiriki ngono vivyo hivyo kwa mwanamke, na kwa mwanaume usikae jiran wala kushea lolote na mwanamke aliye ktk siku zake,, ndoto hiyo inamaana ya kuishi umri mrefu hivyo hakikisha unakumbuka ndugu waliotangulia ktk haki, nenda kasafishe makaburini kwakuwa roho zao zinakuombea kheri na kukumbusha maisha endelevu na mwisho, ndiomana umeota kifo badala ya kufa ukaamka na kutafakari ndoto!
[/QUOTE]shukrani Sana mkuu kwa maoni yako kuna kitu nimejifunza!
 
Back
Top Bottom