Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Labda fanya marekebisho kwenye registration form kwasababu nimeandika user name Jasusi mweusi ikaniambia maneno mengi sana nika force nika submit tena ikakubali kama inataka kuwapingia users majina gani watume.
 
Wabongo tunafeli pakubwa sana huyu jamaa ana access sawa na Beforward na SBT tatizo utamaduni wa kudhamini wageni pia unatuponza hawa wapakistani Be forward na SBT wameteka soko la Tanzania na nchi jirani hivi kweli mpakistani anaweza kunisaidia chochote hadi nimuungishe hii kitu inafikirisha sana.
 
Waswahili tuache unafiki na rohombaya hii website ni mzuri inashare mzuri nimeshare kwa ndugu na jamaa ila Jonson sio kwamba na kuchafulia ungekua mzungu hivi watu wangekuwa wanakesha kwenye website yako arafu mtu anakuambia Ramani usimpe mtu Ramani kakuungisha nini nendeni ubarozi pale upanga kaombe visa na rohomba zenu.
 
Labda fanya marekebisho kwenye registration form kwasababu nimeandika user name Jasusi mweusi ikaniambia maneno mengi sana nika force nika submit tena ikakubali kama inataka kuwapingia users majina gani watume.
Asante nitapaboresha
 
Wabongo tunafeli pakubwa sana huyu jamaa ana access sawa na Beforward na SBT tatizo utamaduni wa kudhamini wageni pia unatuponza hawa wapakistani Be forward na SBT wameteka soko la Tanzania na nchi jirani hivi kweli mpakistani anaweza kunisaidia chochote hadi nimuungishe hii kitu inafikirisha sana.
Umesaga kunguni sio?
 
Ukweli ni mchungu I see.
 
Umenikumbusha nilikutafuta sana i see namba yako nilipoteza please namoba namba yako nikai save kwenye dayal.
 
pakia mizigo kwenye kontena tunakuja kuuzia hukuhuku. mbinu nyingine chukua hii. ukija bongo tafuta mbia mmoja mgeni "mweupe" wapo wafilipino wapo wazungu njaa. watz wanakuamini sana wakiona mgeni wa nje ktk jambo lako.
mm zamani nilikua na mfilipino jamaa alfanya nifanye biashara kiwepesi sana.
wateja walimuamini sana akiongea imo.
maana watz wana prefer quantity over quality..
Hili Lina ukweli kabisa, hizo changamoto hata mimi nilizipitia sana kwenye biashara yangu ya kwanza. Sasa nikaja na biashara ya kuuza vitu vinavyohusiana na swimming lakini lugha hapo ni English tu, yaani chat zote za DM ni English basi bwana trust kama yote kwa wageni mpaka wenyeji. Yaani Sisi wa Tanzania kutuwin hutakiwi kuwa serious sana. Kikubwa waambie ukweli wateja wako kuwa mzigo utachelewa.
 
Sikuwepo nasipendi kukumbuka kilichotokea na siwezi kufunga mzigo na kutuma hapo bila kuona pesa kwenye account.
Sasa hiyo trust ya mtu kukutumia pesa nyingi na mtu haupo Tanzania halafu ndo unaanza yaani kaka si kitu rahisi, imagine unauza goggles kwa sh. 25,000 mtu anagoma kabisa kutuma advance just half of the price, ndo ikaje million haki trust kwenye business ni changamoto.
 
Back
Top Bottom