Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Walipiga simu ndio, jumamosi nadhaniUlipigiwa simu lini
Walipiga simu ndio, jumamosi nadhaniUlipigiwa simu lini
Vipi Kada zingine Kama Unajua Mkuu..Walipiga simu ndio, jumamosi nadhani
Vipi Kada zingine Kama Unajua Mkuu..Walipiga simu ndio, jumamosi nadhani
NILIPOONA AVATOR YAKO TUU NIKAJUA NI UTANIWatu wapo kazini huu mwezi wa pili sasa
Nimeitwa kesho naenda interview. Pale shule ya msingi bunge posterVipi wa dar wameitwa? Na wale wa udereva kwa upande wa dar
Post gani?Nimeitwa kesho naenda interview. Pale shule ya msingi bunge poster
kama kuna aliye omba Business aplication officer tujuzaneVipi Kada zingine Kama Unajua Mkuu..
Oya mwenyewe nmromba pale but cjaona upadate yeyote ukpata taarfa tufahishaneKuna alieomba post ya civil technician mtera?? Na vp wameshaita??
Haya ni maneno ya mtu mwenye shibe ambaye ana uhakika wa mshahara kila mwezi. Ungekuwa kitaa jua kali, usingeongea hivi...Hapa ndo huwa nashangaa sana nyie Vijana mnatafuta kazi halafu mnasikiliza stori za kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi niko Tanesco Mwanza Acheni stori za vijiweni vijana.
Ni kweli kabisa mkuu mimi ninao mshahara; Ila sijaongea hivyo kwa sababu ya mshahara ninao, ni kwamba Vijana wa siku izi hatuna kitu inaitwa patient/uvumilivu;Haya ni maneno ya mtu mwenye shibe ambaye ana uhakika wa mshahara kila mwezi. Ungekuwa kitaa jua kali, usingeongea hivi...
Mkuu internship vipi kwa mtu wa Diploma Umeme?Ni kweli kabisa mkuu mimi ninao mshahara; Ila sijaongea hivyo kwa sababu ya mshahara ninao, ni kwamba Vijana wa siku izi hatuna kitu inaitwa patient/uvumilivu;
Huwa hatutaki kuruhusu mchakato upite kwenye lolote lile, Mfano: Mtu umepata kazi, anawaza mambo kibao namna ya kupiga hela, hataki process ya kuhakikisha anatoa muda ili afanye savings afikie malengo.
Alkadhalika kwenye kutafuta kazi ni hivyo hivyo, kuna kipindi cha kusubiri kuanzia ulipoomba kazi had kuitwa interview hadi kuitwa kazini, sasa mtu hata deadline bado anauliza?
Uko mkoa gani ndugu yangu? Kama kanda ya ziwa i can easily direct you Powerstations and Substation vyeti feki waliondoloewa pia, so hata intership sasa ivi wanawapa kidogo, sio kama zamani.Mkuu internship vipi kwa mtu wa Diploma Umeme?