Naomba updates za Interview ya TANESCO

Naomba updates za Interview ya TANESCO

Hapa ndo huwa nashangaa sana nyie Vijana mnatafuta kazi halafu mnasikiliza stori za kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi niko Tanesco Mwanza hayo matangazo 2 ya Tanesco moja Deadline ni tareh 8 na lingine deadline ni tarehe 13, Sasa wewe leo tarehe 6 unaanza kuzungumzia habari za kuitwa??, kisha unaendelea na kusema kuna baadhi ya watu wameshaitwa kwa baadhi ya wilaya/mikoa, wilaya ipi hiyo? Hakuna kitu kama hicho ndugu hapo ndio huwa mnafeli hata interview unajibu kulingana na stori zenu za mitaani sio kulingana na Swali linataka nini! Vijana jifunzeni kuwa patient/ toeni muda wa mambo yenu kushughulikiwa, na isiwe kwenye kazi tu hata kwenye maisha muwe mnatoa muda/nafasi ya processing hapo mtaona matunda siku zote. Mfano Mwanza kama main Zonal office na viunga vyake bado. Acheni stori za vijiweni vijana.
MTWARA WAMEITA, MIMI NAISHI NA DOGO FLANI HIVI KAPIGIWA SIMU LEO MAJIRA YA SAA 5 ASUBUHI KAAMBIWA AFIKE KWENYE WRITTEN INTERVIEW TAREHE NANE YAANI ALHAMISI. POST. "ELECTRICAL TECHNICIAN"
SOUTHERN ZONE.
 
sasa hivi kimenuka kaka...vyeti feki vimeleta mambo sn...hivyo nafasi zipo wazi inabidi zijazwe haraka maana kazi haziendi kabisa
 
Mtwara wahasibu tumefanya usaili j4 iliyopita,tunasubiri majibu baada ya wiki 3
 
hao jamaa wana shida sana,hawana specific time ya kuita watu kwa interview wala mda sahihi wa kuitwa kazini unaweza fanya interview zao then wakakukarisha nyumbani zaidi ya miezi 6 au nafasi zenyewe wakazifuta in short HR na planning departments zimeoza
Kbsaa taasisi zote huwa hazisubiri mpk deadline ndio waite..na ndio mana hawaweki majina au kutangaza majina ya walioitwa ktk interview.
 
f45382b56e7c1e3fa909d8d3938f26b8.jpg
 
Mtwara technician tayari tarehe 8 & 9 walifanya interview
Tabora nao upande wa technician tarehe hizo nao walifanya interview
Ubungo upande wa engineer trainees tayari wamefanya interview
Tabora Niliomba Upande wa Uhasibu kumbe tayari?
 
Back
Top Bottom