Naomba updates za Interview ya TANESCO

Y

yusuphfrancis

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2016
Messages
423
Points
500
Y

yusuphfrancis

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2016
423 500
hivi wale waliopiga oral pale ubungo post ya generation engineer washaitwa kazini? maana ilifanyika tokea 24 july mpaka leo kimya.
Zikipita Siku 50 kuanzia tarehe 08/08/2017 ndipo kikao kitakaa kupitisha washindi, please you have to be patient a little while longer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benny EM

Benny EM

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
494
Points
500
Benny EM

Benny EM

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2011
494 500
Aseee tanesco ruvuma ndio tayri watu wameanza kazi au.. Dahh hii
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,448
Points
2,000
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,448 2,000
AJIRA ZA TANESCO NI UBABAISHAJI
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,448
Points
2,000
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,448 2,000
Kapyungu A INA MAANA MIKOANI BADO? SI NASIKIA USAILI ULIFANYIKA MIEZI MIWILI ILIYOPITA.
 
S

strategist

Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
42
Points
125
S

strategist

Member
Joined Oct 27, 2014
42 125
Tanesco mambo yao kimya ndo mana interviewee wanakata tamaa kwanini wasifanye kama utumishi majina yawekwe hadharani! watu washike hamsini zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,792
Top