Meshack Warioba!Ni kweli kabisa mkuu mimi ninao mshahara; Ila sijaongea hivyo kwa sababu ya mshahara ninao, ni kwamba Vijana wa siku izi hatuna kitu inaitwa patient/uvumilivu;
Huwa hatutaki kuruhusu mchakato upite kwenye lolote lile, Mfano: Mtu umepata kazi, anawaza mambo kibao namna ya kupiga hela, hataki process ya kuhakikisha anatoa muda ili afanye savings afikie malengo.
Alkadhalika kwenye kutafuta kazi ni hivyo hivyo, kuna kipindi cha kusubiri kuanzia ulipoomba kazi had kuitwa interview hadi kuitwa kazini, sasa mtu hata deadline bado anauliza?
Naomba nikuulize unafanya kazi Tanesco Mwanza au unafanya kazi MSD?? Maana kuna uzi ulikua unatembea humu ndani,watu walikua wanauliza kuhusu feedback za usaili wa nafasi mbalimbali!
Na uliwaambia watu kwamba ushapata mail ya kuitwa kazini MSD na ukasema kwamba una fanya handling za mwisho kwenda kuanza maisha mapya ya huko MSD!
Sasa naomba kufahamu unafanya kazi Tanesco Mwanza au uko MSD??