ISAYA ELINEEMA
Member
- Jan 5, 2015
- 47
- 19
- Thread starter
- #61
Duh mm nmengoja had nmechoka
Iringa badoLindi usahili Leo afu VP simiyu na iringa
Upo iringa kkIringa bado
Nilituma maombi iringa bdo hawajaita,naishi iringa ninarafiki anafanya kazi tanesco iringa,tutapeana updates kkUpo iringa kk
Alafu wamerudia matangazo ya kazi kama uja sajiliwa naona ningumu kuitwa wame rudia ya ubungo na temeke ,simiyuSupplies/Stores Assistant kama sio member wa Bodi ya Ugavi sahau kuitwa
Wame re-advertise mikoa yote kwa post hiyo mkuu, na kilichoongezewa ni hicho tu, must be a registered member of PSPTB. tuendelee na mambo mengine tuAlafu wamerudia matangazo ya kazi kama uja sajiliwa naona ningumu kuitwa wame rudia ya ubungo na temeke ,simiyu
Hayo matangazo yapo wapi?Wame re-advertise mikoa yote kwa post hiyo mkuu, na kilichoongezewa ni hicho tu, must be a registered member of PSPTB. tuendelee na mambo mengine tu
Alafu wamerudia matangazo ya kazi kama uja sajiliwa naona ningumu kuitwa wame rudia ya ubungo na temeke ,simiyu
Tuwekee tafadhali hayo matangazo hlf sijaelewa ivi diploma ya ugavi kuwa registered na psptb ni kuwanyima watu nafasi tu labda kwa degreeWame re-advertise mikoa yote kwa post hiyo mkuu, na kilichoongezewa ni hicho tu, must be a registered member of PSPTB. tuendelee na mambo mengine tu
Me gazeti sina ss mkuu ww litafute me mwenywe nili gongea ila degree na diploma wote wawewame sajiliwaTuwekee tafadhali hayo matangazo hlf sijaelewa ivi diploma ya ugavi kuwa registered na psptb ni kuwanyima watu nafasi tu labda kwa degree