- Thread starter
- #41
haya lakini..
lakini nini?
usijali ndugu, huwezi kupenda kila kitu duniani
haya lakini..
wewe mwanamke au mwanaume?
Usiwe na haraka mradi umeshafunguka utazichoka PMmwanamke
Usiwe na haraka mradi umeshafunguka utazichoka PM
mwanamke
dogo nasikia harufu humu ndani ni ya nini??
hata siielewi elewi yaani, hebu nisaidie dada yangu kuijua ni harufu ya nini hii
mmh labda angepita shemeji yako hapa angejua harufu ya nini me mwenyewe bado sijaielewa.
itabidi aje atusaidie, isije ikawa bomu tukalipuka sie
itabidi aje atusaidie, isije ikawa bomu tukalipuka sie
Mwanangu usijali mi ntakulinda
mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....
mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh
thank you mummy, tulishaanza kuogopa wanao
Mimi ni jinsia ya (me) kwa harakaharaka ungetaka niwe nani ako? Jichagulie
Am here for u my daughter.....jitahidi sana kuambatana na dada yako
Am here for u my daughter.....jitahidi sana kuambatana na dada yako
aaah itabidi niombe ushauri kwa mama, mi nna heshima ati
eti mummy First Born ni nani yangu?
eti mummy First Born ni nani yangu?
Mmhh mbona machale yanancheza? Subiri ntakujibu