Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,871
- 3,841
I think i know this handwriting
asante anza wew kunitambulishakaribu mgeni, taja majina yako matatu na location yako ili iwe rahisi kuku connect na nduguzako wa karibu💃
AsanteHeheheh nishakujua mpaka hapo! Kila la kheri mwaya 💃🏽
OkI think i know this handwriting
Sawauko upande ndugu mdau mpya wa Jf 🐒
ok.🐒Sawa
hebu nitonye nisije nikajichanganya uweeeh 😅😅Heheheh nishakujua mpaka hapo! Kila la kheri mwaya 💃🏽
we mgeni heshimu wenyeji basi😏 nianze mimi vipi wakati umenikuta alaahasante anza wew kunitambulisha
Gentleman,nimepata tetesi kuwa umeshiriki kwenye filamu ya The hidden Tanzania.ok.🐒
Sio huku... Tulikua tinataniana kwamba ukitembelewa na mgeni mjinga unampa chakula siku ya kwanza alafu siku ya pili mpe kazi ndogondogo za nyumbani kisha asipojielewa unampeleka shambani 😄Wanasimangwa humu?
Pokea simu.hebu nitonye nisije nikajichanganya uweeeh 😅😅
Sio vizuri kujieleza zaidiwe mgeni heshimu wenyeji basi😏 nianze mimi vipi wakati umenikuta alaah
unazingua bwana😅😅Pokea simu.
Tulia wewee😂hebu nitonye nisije nikajichanganya uweeeh 😅😅
Nyuma ya mgongo.... Ngoja nikakutafutie hela mamaa baadae😘Ohh nilijua tunawekana wazi kila kitu humu ndani, kumbe ww unataka kupita nyuma ya mgongo wangu?
unahisi ni rahisi eeeh😅😅😅Tulia wewee😂
Unagombeza wageni win, kwenu hamjafunzwa eeh🫢we mgeni heshimu wenyeji basi😏 nianze mimi vipi wakati umenikuta alaah
😏Sio vizuri kujieleza zaidi
sina maoni 🐒Gentleman,nimepata tetesi kuwa umeshiriki kwenye filamu ya The hidden Tanzania.
Vipi taarifa ni za kweli au uzushi?
namkomaza😅😅😅😅Unagombeza wageni win, kwenu hamjafunzwa eeh🫢