Pumpkin girl
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 148
- 394
- Thread starter
- #61
Asante sanaMimi nitampa kitumbua na chai ya rangi kwa kumkaribisha vizuri!
Asante sanaMimi nitampa kitumbua na chai ya rangi kwa kumkaribisha vizuri!
Sitomaliza hizo chapati tatu, mwisho wangu ni chapati moja na nusuMwongezee na Chapati Tatu
SijakuelewaMbona kama multiple ID?
Asante sana, kwahiyo nitawapata vipi ili mnipe hizo helaPumpkin girl kwa niaba ya wana Gen -z yua welikamu. Ukipat changamoto yoyot ya hela usisite kunitafut🙂
Sawa ni mawazo yako pia, hayawezi kupingwaHakunaga kitu kama sijui nilikuwa nasomaga offline miaka 6 nikaona nijiunge🚮
Vizuri sanaMimi machale yamenicheza hili ni dume linakuja na mambo ya kike, tulpe mda litajichanganya tu. Kulingana na ulivyojieleza na kuomba ukaribisho am doubting kitu behind the scene
Thanks 🙏ur are welcome Jf.
Dah waja!🙌🏾Mimi machale yamenicheza hili ni dume linakuja na mambo ya kike, tulpe mda litajichanganya tu. Kulingana na ulivyojieleza na kuomba ukaribisho am doubting kitu behind the scene
Asante mwikeKaribu sana
Wanasimangwa humu?Wiki ikiisha msimange 🤣🤣🤣
Asante sana sikio la muaziniKaribu wangu agh et wangu samahani nina mawazo sana Pumpkin girl
OkParod la kutafuta wahaini wa 7/7 hili
Dah waja!
Naruhusiwa lakini usiseme moja kwa moja hiviKwani wewe hutaki kumuonja mgeni?
Ohh nilijua tunawekana wazi kila kitu humu ndani, kumbe ww unataka kupita nyuma ya mgongo wangu?Naruhusiwa lakini usiseme moja kwa moja hivi
uko upande ndugu mdau mpya wa Jf 🐒Nyumbani ni wapi
Heheheh nishakujua mpaka hapo! Kila la kheri mwaya 💃🏽Sawa ni mawazo yako pia, hayawezi kupingwa