Pumpkin girl
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 148
- 394
Code ya niniIla jamani wakulungwa mmeona hizo rangi rangi kwenye avatar ya mgeni? Code hizoo
Kumbe nipo kwenye interview na sijuiukiniuliza mim na ndo nakufanyia interview si ntakua nimevujisha mtihani kipenz
Asante sanaKaribu sana.
Sidhani kama ni vzr kuitoa hapa kama utahitaji unajua PA kunipataCode ya nini
SijuiSidhani kama ni vzr kuitoa hapa kama utahitaji unajua PA kunipata
Click jina langu hapo, kuna Sehem umeandika send direct messageSijui
sa umejua tuendelee.Kumbe nipo kwenye interview na sijui
Nigerians wanapiga sana hela kwa hizi mambo.Sema wao kwa sasa wako levo za juu.Daah kumbe ni biashara tena maarufu tuu
Sikujua hilo prida
Nakuomba tu prida usifanye hayo you're way more wiser than that. Ila sweet potato will do
Siku nikihitaji nitafanya hivyo hamna shidaClick jina langu hapo, kuna Sehem umeandika send direct message
Usijali luv napenda matani yenye vi element vya ukweli.Ni matani tu.Thanks much ila Sijaelewa hayo maneno ya juu Una maanisha nini prida
Nimekuelewa,Usijali luv napenda matani yenye vi element vya ukweli.Ni matani tu.
Karibu sana🙏
Mm napenda kichek video za kikubw si juzi nimeliwa elf 2 taslim, haohao wanaijeria sijui wakenya unalipa kwa njia ya selcomNigerians wanapiga sana hela kwa hizi mambo.Sema wao kwa sasa wako levo za juu.
Worry out,nimeridhika na umasikini wangu siwezi fanya hivyo niko hapa kuwatia tu moyo vijana wetu majasiri😃
sijakwambia uwalazimishe nimekuuliza "utajisikiaje" au how will you feel ukipendwa.Mi siwezi kulazimisha au kuwafanya watu wanipende
Mpka nipendwe siwezi kuongelea kitu ambacho sijakiishi au kukihisisijakwambia uwalazimishe nimekuuliza "utajisikiaje" au how will you feel ukipendwa.
12. "Can her hair earn her an airtime"
Ongea hayo maneno kwa speed ya 5G na kwa sauti kubwa afu ucheke uje tuendele na interview
Uwee! Nitembee kama lizezeta sina nyota! We kuweza?acha uoga wewe
Wale wanalala na kuamkia mtandaoni.Mm napenda kichek video za kikubw si juzi nimeliwa elf 2 taslim, haohao wanaijeria sijui wakenya unalipa kwa njia ya selcom
Omg sikuchek kumbe Wali design web inafanana watasapp group, ila kuingia inatakiwa ukamilishe muamala
Ile nalipa tu, nikaona kumbe nipo browser badala ya app, ni kaishia kutabasam maana elf 2 ninge nunua smoothy tu nikanywa