Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,446
Why Pumpkin girl kuna maana gani behind hilo jina?
We ngoja!na umkande kweli kweli😀
Hmm inatosha sana kutokuja huko!hapana labda akubie nyota ila sio simu
Thombina!Ni wewe unanifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
1. Sio sana ila changamoto zipoMaswali kwa mgeni
1. Huko kwenu kuna changamoto ya maji, umeme, matibabu,barabara?
2. Vipi utekaji upo au unauskia tu kwenye vyombo vya habari?
3. Serikali ya sasa unaionaje ila kama huhusiki na siasa ruka hili swali ujibu ni kwa nini umesema kuwa utafanya kilichokuleta?
4. Una matusi kilo ngapi ulokuja nayo? Maana humu lazima utukanane na utukanwe ndo mambo yasonge.
5. Makebo unayo kiasi au ni namba 1 iliyochangamka i mean upo d au p
Jibu hayo kwanza uende lunch urudi tuendele coz sio siri kuna kafeelings flani unapo fungua uzi na watu wanacoment unaweza hata ukasahau kula.
Kama Kweli hujui Makebo, I attest kua Kweli ww ni mgeni.1. Sio sana ila changamoto zipo
2. Nausikia ila sijawahi kushuhudia kwa macho yangu
3.sielewi sana kuhusu siasa,, kilicho nileta Humu nimekuja kujifunza na zaidi niweze ku reply kwenye mada maana as a guest hauna uwezo wa kureply zaidi ya kusoma pekeake
4. Matusi yapo japo siwezi kuyapa kipaumbele, nitakupokea namna ulivyo kuja
5.sijaelewa Makebo ni manini
Napenda sana rangi yakeWhy Pumpkin girl kuna maana gani behind hilo jina?
Kwani makebo ni maniniKama Kweli hujui Makebo, I attest kua Kweli ww ni mgeni.
Omg, I doubt that.. Tutakujua vizuri tuu..Napenda sana rangi yake
KweliWhy Pumpkin girl kuna maana gani behind hilo jina?
Utajua tuu, na mavitu maarufu sana humu utayaona tuuKwani makebo ni manini
Sawa vizuriOmg, I doubt that.. Tutakujua vizuri tuu..
Pumpkin girl? Hili jina linakaukakasi flani hivi.. Ngoj nikae kimy..
OkUtajua tuu, na mavitu maarufu sana humu utayaona tuu
Ok karibu sana
Asante sanaOk karibu sana
hahaaa 😃😅😆, rangi ipi iyo ?Napenda sana rangi yake
Jamni Kwan haujui pumpkin ni nini?hahaaa 😃😅😆, rangi ipi iyo ?
Nitawekwa niniUtawekwa!!
Ni jina la member mmoja hapa jamvini🤣🤣..!5.sijaelewa Makebo ni manini