Pumpkin girl
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 148
- 394
- Thread starter
- #301
Uliji register kwa I’d ipi kama haikua mpya.mimi case yangu ni ya tofauti.
sikuji register kama wewe kwa Id mpya.
swali la kizushi
kwanini umefungua Id mpya, hauoni kwamba upo uwezekano wa kuchanganya mafaili ya Id yako mpya na Id yako ya zamani.
imi
Unauhakika gani kama hii ni I’d ya pili unaweza kuthibitisha. Acha ujuaji hii ni platform inayo fuatiliwa na watu wengi na hauwezi kumpangia mtu muda na wakati wa kuji register ili awe na uwezo wa kupost au ku reply kwenye mada