Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
Mkuu zile si nzuri...Ikibidi tupewe tu hata hizo ARVs tutumie nchi nzima
Nini mbaya mkuu? Mdudu amepita kwako? Pole aisee, ondoa hofu ujitibishe taratibu huku ukifanya mazoezi, usikubali kulala pamoja na mwili kukutuma upumzike! Hofu ni mbaya kuliko Coona yenyewe!Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka huyu Coona aondoke tutakuwa tumepata dawa za mafua kibao, hakuna atakayesumbuliwa na mafua tena! Ila mkuu nimecheka kama mazuri, yaaji kikohozi wewe unaita kikohoo? Wewe ni Msukuma? Ushauri mzuri sana huu wa kuondoa hofu!Wala usiogope mkuu mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458
Kiha na kisukuma kimeniathiri sana..Mpaka huyu Coona aondoke tutakuwa tumepata dawa za mafua kibao, hakuna atakayesumbuliwa na mafua tena! Ila mkuu nimecheka kama mazuri, yaaji kikohozi wewe unaita kikohoo? Wewe ni Msukuma? Ushauri mzuri sana huu wa kuondoa hofu!
Hapana mkuu nilikuwa natamani aje kuwa walau anatupa maendeleo.
Yet you don't tell me about it
Shida nini kwaniKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Be safe.. I need that little thing in your bellyNi kuhusu kujikinga na corona nothing much babes
Acha utoto
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda shekhee ukanjionee mwenyeweKunani jamani!?
Kuna habari sasa hivi sizitaki zinaweza kukuvurugia siku yako bila sababu ya msingi.
Ila ndio ukweli ndugu yangu
Huwezi kuipata tena.. Kama huamini jaribuMkuu,zinaonekana. Kuweka ink kunasaidia kwa sisi wa kawaida,but kwa "pro",ni dakika moja wanareveal kilichofichwa.