Naomba niwaage

Naomba niwaage

Yaani huu ugonjwa unatia hofu sana,ya taka moyo ,kikubwa tunapaswa kujiandaa huku tukichukua tahadhari za kila aina na kumuomba Mungu atusaidie

Kabla ya ujio wa ARVs watu walikuwa wanatumia sana mlonge ili kupandisha kinga za miwili zao katika kuweza kupambambana na virusi vya Ukimwi,hebu tuendelelee kutumia huu mlonge wapendwa no matter una khali gani

Unapokuwa vitani na adui anaonekana kukutisha sana wewe tumia siraha yoyote ilimradi umshinde

Pole sana ndugu @ushmen,Amini utapona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
 
Ikibidi tupewe tu hata hizo ARVs tutumie nchi nzima

Wakati wa self isolation nimezurura sana JF, nafikiri imekua sehem ya kunipunguzia mawazo na kunipa burudani.

Ushimen endapo tatizo ni huu ugonjwa kukata tamaa ni kosa kubwa sana mkuu. Kwanza sio kila anaeupata anaondoka, kuna kundi la watu wengi tu wanapona tena wengine bila hata msaada wa hospital, hatari ipo lakini sio kubwa kiasi hichi mkuu.
Embu pita kwa Mange kidogo
 
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
Hii ni vita inahitaji tupambane kwa kutumia Silaha ya aina yeyote ile...tatizo kubwa la huu ugonjwa uambukizaji wake ni rahisi sana...na hiyo lockdown ndio ngumu zaidi
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
Kama uko dar nenda posta mpya...karibu na ofisi za bima...wanauza unga wa mlonge na chia seeds...nilisumbuliwa na homa..na mafua...nikanunua hizo...nikachanganya na tangawizi na limao...kidogo hali imetulia...maendeleo hayana chama...tupambaneni.
 
Back
Top Bottom