Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Vipi umefanikiwa kuongea naye?Kaka mbona unanitisha? Hebu fungua simu tuongee kidogo tafadhali
Jr![]()
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Vipi umefanikiwa kuongea naye?Kaka mbona unanitisha? Hebu fungua simu tuongee kidogo tafadhali
Jr![]()
Mnyaa utakuja kumsababishia vidonda kooni japo ni mzuri kwa sababu unawasha.
Embu pita kwa Mange kidogo![]()
Mhola sana bhabha eng'washiGinehe nkoi! Anataka atumie kwa njia ipi huyo mdau?
Kamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieTojo unaendeleaje..?
Tumia chochote utakachoambiwa..Kusikia nafuu ndio safari ya kupona.Kamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu si Mzungwa huuKamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app


Shukrani sana mkuu wangu napambana mno kila nachoambiwa natumia,mda si mrefu nataka nikajivukizeTumia chochote utakachoambiwa..Kusikia nafuu ndio safari ya kupona.
I command you not to Die,Be strong and obey this order.
Hakikisha unafika December
Wenda ana maradhi mengine ambayo ndio hofu yake ipo huko.Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga hii dawa imenisogezea siku nilikuwa niache dunia hii pendwaKamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshapiga mkuu Ila ni chungu balaa Ila naona reaction yake iko fasta
Sisi kwetu ni dawa nzuri Sana hii
Mhola sana bhabha eng'washi
Eti anawaambia wachome minyaa kwenye jiko la mkaa watafune watibu kikohozi.
Ile kweli ni dawa ila uls muwasho wake ni hatari na ukiutumia mara nyingi unasababisha kikohozi kiwe chronic
Mkuu umekuwa muwazi katika hili la kutisha.Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app