Naomba niwaage

Naomba niwaage

Utapona, Mungu baba akusimamie vyema naamini tutajumuika sote tena.
 
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.

Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.

Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.

Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.

Ngoja nipambanie hii pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona nn?
 
Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.

Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?

Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.

Fear is the darkenes
Hope is the lantern.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, this is very comforting, ulipmwa kabisa na kudhibitika??!
 
Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.

Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?

Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.

Fear is the darkenes
Hope is the lantern.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana watu hawapendi kupima pima
 
Kaka usiogope,kwani kama utaenda basi tambua hiyo ndiyo njia kuu ya peponi kama ulitenda mema,na ili upate pepo basi ni lazima ukubali,na nakutoa hofu kwani huko ni kuzuri kuliko majiji yote mazuri duniani.
Kila kitu cha huko ni kizuri mara saba ya vile vya huku,na utapata marafuki wakali kuliko huku.
company za huko ni tamu sana kaka.
Kama umebahatika kwenda,nenda tu kaka,nenda kaka.
 
Back
Top Bottom