Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 415
- Thread starter
- #121
MweeeehIkiwa hivyo jiandae kiakili, jamaa anakuacha taratibu....

Jivunie kuwa mwanamke awali ya vyote. Then unajielewa saan, hebu try kumpa mda kwanza then hebu treaty him the way yeye anavyo kutreat ww. Kama akinyamaza juwa ni normal kwake na ww lipoke hilo but kama ikitokea amechukizwa na unavyo mtreat then mwambie ukweli kwamba na ww moyo wako the way unavyo feel anavyo kutreat. Upo kwenye mahusiano unapaswa kuwa protected na kupewa mda na nafasi ya kufeel kweli upo kweny mahusiano na moja ya nafasi hizo ni kuwasiliana mara kwa mara hata kams kweli mtu yupo bussy lazima kuna mda atakutafuta tu no matter what's. Hakuna ubize kweny mahusiano ndugu. Keep that in mindHabari zenu wote, naombeni ushauri kwa hili
Mimi ni mdada wa miaka 27 ni mjasiriamali tu , nipo kwenye mahusiano na mwanaume miezi 3 sasa.
Mpenzi wangu ni miongoni mwa watanzania wanaopambana na kutafuta namna ya kutoboa kwenye suala zima la ajira, kwahiyo kutokana na hilo amekuwa ni mtu wa mawazo sana kiasi kwamba naona sasa ina athiri hata mahusiano yetu.
Mwanzoni alikuwa sawa tu alikuwa muwazi kunishirikisha harakati zake nami nilikua nampa moyo kwamba apambane tu atafanikiwa, kuna mizunguko alikuwa anahitajika kufanya ili kufuatilia mambo yake na nilikua najiongeza tu kwamba mwenzangu amefulia na atahitaji nauli nafanya kumtumia namwambia ikusaidie kwenye mizunguko yako, anashukuru.
Tatizo limeanza hivi karibuni ameanza kuwa mtu wa majibu mafupi mafupi tu, mawasiliano yetu sio kama mwanzo tena japo wote tupo mkoa mmoja.
Tukisha juliana hali asubuhi imetoka hiyo mpaka usiku na hapo nitaulizwa za asubuhi, nitajibu salama za wewe? atajibu tu salama nisipoendeleza conversation ndo kimya tutakaa mpaka usiku usiku mwema.
Huwa najaribu kumuuliza vipi mbona inakuwa hivi unakuwa kama huna interest, atanijibu kwani ikoje mbona kawaida au kuna kitu unataka kaniambia niambie, nikiona hivo basi naona nikae kimya maana ni mtu ambaye huwa anashutumu sana wanawake tunapenda kukuza vitu kwahiyo nanyamaza.
Jana pia nikaona nimuulize tena akanijibu ni kwasababu wewe unasemaga upo bize, kiukweli nilishangaa nikamuuliza kuwa mimi bize inakuwaje uwe hivo kwani kuna siku umehitaji tuwe wote nikakataa mbona huwa naacha kazi tunakuwa wote? na nikikwambia nipo bize nakuwa na order ya mteja natakiwa kukamilisha siku hiyo hivyo nakuambia tu ukweli, akanijibu kwani mimi nimesema huwa huna muda na mimi, au kuna kitu unataka kaniambia niambie, kiukweli nilichukia nikamjibu tu sina.
Kwakifupi naelewa situation anayopitia katika kufikia harakati zake, na ni kitu kina muathiri kifikra na kimwili, sometimes inaweza kufanya hata aka loose interest kwenye mahusiano yetu as anaona vitu haviendi, hamna msaada anapata, akiona na mimi nimemuambia nimebanana ndo kabisaa anaona nazingua pia, najua ndio nakuwaga busy lakini nami najaribu kupambana na hali yangu maana naelewa maisha yangu mwenyewe nayopitia maana kesho na keshokutwa sina hela sina pa kuomba maana najitegemea mwenyewe, ila najitahidi mda mwingine niahirishe kazi ili tuwe wote. Sasa kwa hili linaloendelea nashindwa kuelewa niende naye vipi yani maana mawasiliano yanaenda kufa mwisho wa siku mapenzi yanaenda kufa.
Najaribu tu kuwaza labda nimpe space labda namkwaza hata sielewi.
Eh....Mweeeeh
Mawasiliano yaliyobaki sasa ni good morning na good night.Jivunie kuwa mwanamke awali ya vyote. Then unajielewa saan, hebu try kumpa mda kwanza then hebu treaty him the way yeye anavyo kutreat ww. Kama akinyamaza juwa ni normal kwake na ww lipoke hilo but kama ikitokea amechukizwa na unavyo mtreat then mwambie ukweli kwamba na ww moyo wako the way unavyo feel anavyo kutreat. Upo kwenye mahusiano unapaswa kuwa protected na kupewa mda na nafasi ya kufeel kweli upo kweny mahusiano na moja ya nafasi hizo ni kuwasiliana mara kwa mara hata kams kweli mtu yupo bussy lazima kuna mda atakutafuta tu no matter what's. Hakuna ubize kweny mahusiano ndugu. Keep that in mind
nimekupm namba yangu
vijana wa siku hi zi wanasema ukishaanza kuona wewe na mpenzi mmeanza kuandikiana sms ndefu kama barua Basi jua kwamba imeisha hiyoNdo mnaachana ivo
Aisee huyo jamaa apewe Nishani ya uvumilivu yaani miezi 3 haujampa mzigo halafu Anakuchukulia kuwa wewe ni mpenzi wake !? Kumbe Watu wa hivyo Bado wapo !?Bado
ila watuTafuta pesa bibie, haya mapenzi huwa yanakujaga yenyewe, jitahid kubalance shobo ,
SBR Mme wa ndoa ndo umpetpet
Nachoweza sema hapo ni experience is the beat teacher...acha kabisa huo wakati unakuwa na stress za kufa mtu.
Unfortunately for me demu niliekjwa nae ndio akanibwagia matusi ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
Itakuwa haumjui Evelyn Salt vizuri weweNimecheka
Lakini nikaduwaa kidogo, sikutarajia neno hilo kutokea kwako
una heshima yako eti..
You people !!
Sijiheshimu sio 😂😂😂Itakuwa haumjui Evelyn Salt vizuri wewe
Kabisa kama hajampa kweli hili ndio tatizo la Kwanza Jamaa ana muona manzi miyeyushoMiezi 3 huja mpatia kitumbua ndio tatizo lenyewe
boyfriend hapewi hela kifupi kudate na mwanaume asiye na mishe ni balaaa.Habari zenu wote, naombeni ushauri kwa hili
Mimi ni mdada wa miaka 27 ni mjasiriamali tu , nipo kwenye mahusiano na mwanaume miezi 3 sasa.
Mpenzi wangu ni miongoni mwa watanzania wanaopambana na kutafuta namna ya kutoboa kwenye suala zima la ajira, kwahiyo kutokana na hilo amekuwa ni mtu wa mawazo sana kiasi kwamba naona sasa ina athiri hata mahusiano yetu.
Mwanzoni alikuwa sawa tu alikuwa muwazi kunishirikisha harakati zake nami nilikua nampa moyo kwamba apambane tu atafanikiwa, kuna mizunguko alikuwa anahitajika kufanya ili kufuatilia mambo yake na nilikua najiongeza tu kwamba mwenzangu amefulia na atahitaji nauli nafanya kumtumia namwambia ikusaidie kwenye mizunguko yako, anashukuru.
Tatizo limeanza hivi karibuni ameanza kuwa mtu wa majibu mafupi mafupi tu, mawasiliano yetu sio kama mwanzo tena japo wote tupo mkoa mmoja.
Tukisha juliana hali asubuhi imetoka hiyo mpaka usiku na hapo nitaulizwa za asubuhi, nitajibu salama za wewe? atajibu tu salama nisipoendeleza conversation ndo kimya tutakaa mpaka usiku usiku mwema.
Huwa najaribu kumuuliza vipi mbona inakuwa hivi unakuwa kama huna interest, atanijibu kwani ikoje mbona kawaida au kuna kitu unataka kaniambia niambie, nikiona hivo basi naona nikae kimya maana ni mtu ambaye huwa anashutumu sana wanawake tunapenda kukuza vitu kwahiyo nanyamaza.
Jana pia nikaona nimuulize tena akanijibu ni kwasababu wewe unasemaga upo bize, kiukweli nilishangaa nikamuuliza kuwa mimi bize inakuwaje uwe hivo kwani kuna siku umehitaji tuwe wote nikakataa mbona huwa naacha kazi tunakuwa wote? na nikikwambia nipo bize nakuwa na order ya mteja natakiwa kukamilisha siku hiyo hivyo nakuambia tu ukweli, akanijibu kwani mimi nimesema huwa huna muda na mimi, au kuna kitu unataka kaniambia niambie, kiukweli nilichukia nikamjibu tu sina.
Kwakifupi naelewa situation anayopitia katika kufikia harakati zake, na ni kitu kina muathiri kifikra na kimwili, sometimes inaweza kufanya hata aka loose interest kwenye mahusiano yetu as anaona vitu haviendi, hamna msaada anapata, akiona na mimi nimemuambia nimebanana ndo kabisaa anaona nazingua pia, najua ndio nakuwaga busy lakini nami najaribu kupambana na hali yangu maana naelewa maisha yangu mwenyewe nayopitia maana kesho na keshokutwa sina hela sina pa kuomba maana najitegemea mwenyewe, ila najitahidi mda mwingine niahirishe kazi ili tuwe wote. Sasa kwa hili linaloendelea nashindwa kuelewa niende naye vipi yani maana mawasiliano yanaenda kufa mwisho wa siku mapenzi yanaenda kufa.
Najaribu tu kuwaza labda nimpe space labda namkwaza hata sielewi.
Huenda ikawa..Itakuwa haumjui Evelyn Salt vizuri wewe
Nooo....! Hayo siyo maswasiliano kwa wapendanao. Navyo jua mm kuna mawasiliano more than good morning and good nyt. You know s9metimes kunakupigiana simu atleast usikie tu voice ya yule unaye mpenda mostly kabla ya kulala na ikitokea hakupigii au hamuwasiliani japo hata kwa txt mara kwa mara then hapo nothing like love can exist between both of you. Better you take time thinking of theseMawasiliano yaliyobaki sasa ni good morning na good night.
Unajiheahimu but uko very clear sio mtu wa kumung'unya maneno (black and white)Sijiheshimu sio