Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

Truth be told..

Mwanaume ukiwa huna hela au michongo haitiki hakika feeling zake huwa ni strong kuliko mapenzi... Hasa ndio demu awe na kipato kukuzidi ndio kabisaaaa yaani unaona hapa nachukuliwa poa...

Huyo mwamba yupo kwenye hio hali so jitahidi mpe nafasi,, watu kama hao mda mwingi wanapenda stori za success kuliko hadithi za mapenzi so kama unaongea nae balance hilo.

Infact hakuna formula wewe pambana unavoweza... Mapenzi ni uFalla sana sometimes
 
Ujue umeongea point kubwa tu

Mimi binafsi nikiwa sina hela halafu ukaniletea habari za sijui baby nakupenda, mara nataka sex uwii huwa nasikia tu kichefuchefu, na ntakuchukia balaa

Na hapo mi ni mwanamke je mwanaume??
 
Ukiwa huna hela hakyanani ni bora kuweka mahusiano pembeni manake unaweza kuwa kero kwa mwenzako, walau ya kubadilisha mboga tu iwepo.
 
Ha ha ha ha

Mnapeenda wenyewe wanawake dizain ya mleta uzi
Maisha yamekuwa tight sana aisee, kwa sasa twende kwa kusaidiana tu, hatutaki kufa na tai shingoni kama wazee wetu, binafsi nataka nigonge 85, nikijifanya nabeba kila kitu hata 60 itakuwa mbinde
 
Ushauri wangu haupo mbali na ule uliopewa na Jamaa anaitwa Litro, hiyo sentence ya "Kuna kitu unataka kunambia, nambie tu" inaonesha 100% Kuna break-up Anataka either kwa kukosa kwake confidence kwasababu Hana hela au ameshapata kazi na maisha yake yameanza kubadilika nayye ameona atafute mwingine (Amekuchoka) hapo Kuna hizo options Mbili tu. Chunguza ukigundua Hana confidence muombe muonane mueleze how much you love and need him.
 
Ukiwa huna hela hakyanani ni bora kuweka mahusiano pembeni manake unaweza kuwa kero kwa mwenzako, walau ya kubadilisha mboga tu iwepo.
Kabisa yaan

Muda huo nawaza/ nahitaji successful stories kama alivyosema huyo jamaa hapo juu, halafu mtu ananiletea storee za kumbatona lazima nikuone mwehu tu
 
Kama hiyo picha kwenye profile yako ni wewe,basi uyakuwa wife material, jamaa anachezea sarafu chooni.
 
Miezi 3 ni muda mfupi Sana. Hisia za hormones zimeanza kuisha na upendo ndo unatafuta kuchipua.

Kwa upande wako uko serious na relationship ila kwake bado masuala ya serious relationship sio priority na akili yake kubwa ni kupata mchongo wa maisha yaani kazi.

Hapa Kuna changamoto na Kama unamkubali msela tia moyo konde andelea ku push the odds until kitakapoeleweka either mbivu au mbichi ila natumai hili haliwezi kukushinda mdada mwenye uelewa na attitude Kama yako.

Uko vizuri upstairs hongera Sana.

Nimesoma thread yako nikawa namuona demu wa ndoto zangu. Vipi una chura lakini? Coz hawa wavaa suruali wa siku hizi wanakosa steam na mambo mengi...!!! Just kidding dear don't take it serious
 
Habari zenu wote, naombeni ushauri kwa hili

Mimi ni mdada wa miaka 27 ni mjasiriamali tu , nipo kwenye mahusiano na mwanaume miezi 3 sasa.

Mpenzi wangu ni miongoni mwa watanzania wanaopambana na kutafuta namna ya kutoboa kwenye suala zima la ajira, kwahiyo kutokana na hilo amekuwa ni mtu wa mawazo sana kiasi kwamba naona sasa ina athiri hata mahusiano yetu.

Mwanzoni alikuwa sawa tu alikuwa muwazi kunishirikisha harakati zake nami nilikua nampa moyo kwamba apambane tu atafanikiwa, kuna mizunguko alikuwa anahitajika kufanya ili kufuatilia mambo yake na nilikua najiongeza tu kwamba mwenzangu amefulia na atahitaji nauli nafanya kumtumia namwambia ikusaidie kwenye mizunguko yako, anashukuru.

Tatizo limeanza hivi karibuni ameanza kuwa mtu wa majibu mafupi mafupi tu, mawasiliano yetu sio kama mwanzo tena japo wote tupo mkoa mmoja.
Tukisha juliana hali asubuhi imetoka hiyo mpaka usiku na hapo nitaulizwa za asubuhi, nitajibu salama za wewe? atajibu tu salama nisipoendeleza conversation ndo kimya tutakaa mpaka usiku usiku mwema.

Huwa najaribu kumuuliza vipi mbona inakuwa hivi unakuwa kama huna interest, atanijibu kwani ikoje mbona kawaida au kuna kitu unataka kaniambia niambie, nikiona hivo basi naona nikae kimya maana ni mtu ambaye huwa anashutumu sana wanawake tunapenda kukuza vitu kwahiyo nanyamaza.

Jana pia nikaona nimuulize tena akanijibu ni kwasababu wewe unasemaga upo bize, kiukweli nilishangaa nikamuuliza kuwa mimi bize inakuwaje uwe hivo kwani kuna siku umehitaji tuwe wote nikakataa mbona huwa naacha kazi tunakuwa wote? na nikikwambia nipo bize nakuwa na order ya mteja natakiwa kukamilisha siku hiyo hivyo nakuambia tu ukweli, akanijibu kwani mimi nimesema huwa huna muda na mimi, au kuna kitu unataka kaniambia niambie, kiukweli nilichukia nikamjibu tu sina.

Kwakifupi naelewa situation anayopitia katika kufikia harakati zake, na ni kitu kina muathiri kifikra na kimwili, sometimes inaweza kufanya hata aka loose interest kwenye mahusiano yetu as anaona vitu haviendi, hamna msaada anapata, akiona na mimi nimemuambia nimebanana ndo kabisaa anaona nazingua pia, najua ndio nakuwaga busy lakini nami najaribu kupambana na hali yangu maana naelewa maisha yangu mwenyewe nayopitia maana kesho na keshokutwa sina hela sina pa kuomba maana najitegemea mwenyewe, ila najitahidi mda mwingine niahirishe kazi ili tuwe wote. Sasa kwa hili linaloendelea nashindwa kuelewa niende naye vipi yani maana mawasiliano yanaenda kufa mwisho wa siku mapenzi yanaenda kufa.

Najaribu tu kuwaza labda nimpe space labda namkwaza hata sielewi.
Pole Sana hii Hali ipo wengi tuna pitia Kuna Lakin kitu muhimi Sana ni faraja Ina hitajka Sana kwa uyo bwana

Naamin Ata kaa Sawa na kwa faraja yako itamtia nguvu mpya na moyo wa kupamabana..

Mfariji..
Mtie moyo...
Mpemsaada...
Muoneshe kama mpo pamoja wakati huu mgumu

Ata kama Ata kengeuka Lakin hatokuja kukusaau ad kufa
 
Ujue umeongea point kubwa tu

Mimi binafsi nikiwa sina hela halafu ukaniletea habari za sijui baby nakupenda, mara nataka sex uwii huwa nasikia tu kichefuchefu, na ntakuchukia balaa

Na hapo mi ni mwanamke je mwanaume??

Thanks..

Maisha ya asaiv watu wengi wako focused sana na hela....

Yaani ukiwa broken heart lakini una hela... Huwa pesa zinaziba lile gape haraka sana...
 
Habari zenu wote, naombeni ushauri kwa hili

Mimi ni mdada wa miaka 27 ni mjasiriamali tu , nipo kwenye mahusiano na mwanaume miezi 3 sasa.

Mpenzi wangu ni miongoni mwa watanzania wanaopambana na kutafuta namna ya kutoboa kwenye suala zima la ajira, kwahiyo kutokana na hilo amekuwa ni mtu wa mawazo sana kiasi kwamba naona sasa ina athiri hata mahusiano yetu.

Mwanzoni alikuwa sawa tu alikuwa muwazi kunishirikisha harakati zake nami nilikua nampa moyo kwamba apambane tu atafanikiwa, kuna mizunguko alikuwa anahitajika kufanya ili kufuatilia mambo yake na nilikua najiongeza tu kwamba mwenzangu amefulia na atahitaji nauli nafanya kumtumia namwambia ikusaidie kwenye mizunguko yako, anashukuru.

Tatizo limeanza hivi karibuni ameanza kuwa mtu wa majibu mafupi mafupi tu, mawasiliano yetu sio kama mwanzo tena japo wote tupo mkoa mmoja.
Tukisha juliana hali asubuhi imetoka hiyo mpaka usiku na hapo nitaulizwa za asubuhi, nitajibu salama za wewe? atajibu tu salama nisipoendeleza conversation ndo kimya tutakaa mpaka usiku usiku mwema.

Huwa najaribu kumuuliza vipi mbona inakuwa hivi unakuwa kama huna interest, atanijibu kwani ikoje mbona kawaida au kuna kitu unataka kaniambia niambie, nikiona hivo basi naona nikae kimya maana ni mtu ambaye huwa anashutumu sana wanawake tunapenda kukuza vitu kwahiyo nanyamaza.

Jana pia nikaona nimuulize tena akanijibu ni kwasababu wewe unasemaga upo bize, kiukweli nilishangaa nikamuuliza kuwa mimi bize inakuwaje uwe hivo kwani kuna siku umehitaji tuwe wote nikakataa mbona huwa naacha kazi tunakuwa wote? na nikikwambia nipo bize nakuwa na order ya mteja natakiwa kukamilisha siku hiyo hivyo nakuambia tu ukweli, akanijibu kwani mimi nimesema huwa huna muda na mimi, au kuna kitu unataka kaniambia niambie, kiukweli nilichukia nikamjibu tu sina.

Kwakifupi naelewa situation anayopitia katika kufikia harakati zake, na ni kitu kina muathiri kifikra na kimwili, sometimes inaweza kufanya hata aka loose interest kwenye mahusiano yetu as anaona vitu haviendi, hamna msaada anapata, akiona na mimi nimemuambia nimebanana ndo kabisaa anaona nazingua pia, najua ndio nakuwaga busy lakini nami najaribu kupambana na hali yangu maana naelewa maisha yangu mwenyewe nayopitia maana kesho na keshokutwa sina hela sina pa kuomba maana najitegemea mwenyewe, ila najitahidi mda mwingine niahirishe kazi ili tuwe wote. Sasa kwa hili linaloendelea nashindwa kuelewa niende naye vipi yani maana mawasiliano yanaenda kufa mwisho wa siku mapenzi yanaenda kufa.

Najaribu tu kuwaza labda nimpe space labda namkwaza hata sielewi.
Take it easy,Give him a hug.That all he needs for now.YOU on His Side
 
Back
Top Bottom