Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

Toka tunakutana alikua open sana kuongea masuala ya ajira ajira, japo hasemi direct mpaka nikawa nishamsoma shida ni nini na nikawa nafanya tu kumpa moyo na kubadilisha mada ili asiwe na mawazo.

Kuna muda alikua ndio mood ina change namuambia haupo sawa leo anajibu ndio, namuelewesha pia apunguze kuwaza japo sio rahisi as wanaume ndo mnakuwaga na stress mara 100 zaidi kuliko sisi wanawake.

Saivi ndo naona mood off kabisa.
Hili ndio tatizo la watoto wa kike siku hizi. Wanaume wasio na malengo na ninyi mnahangaika nao..... Ila ambao wana malengo na ninyi mnawaona kero au hawana hadhi ya kuwa na nyinyi.

Sishangai kwann idadi ya Ma'single mother inaongezeka ni kwasababu watoto wa kike the more mnapewa uhuru wa kufanya maamuzi binafsi na kuelimishwa ndio mnazidi kuwa vilaza wa kufiriki na kutumia hekima.

Wewe hapo nikikuuliza unachosubiria muujiza gani utokee utanambia?!

Hapo unasubiri akupe ujauzito halafu akupe makavu live kuwa hakuwa na time na wewe bali ulimlazimisha kuwa na wewe, halafu uanze kulaumu kuwa wanaume hawana mapenzi ya kweli..... NO.... Ni wewe hautumii akili....

Toka hapo kwa huyo jamaa achana nae.... Vijana wanaotafuta wasichana wa kufanya nao maisha wapo kibao.... Mwanamke hauna jukumu la kuchagua mwanaume bali mwanaume ndie anachagua mwanamke. Ikitokea umebahatika aliyekuchagua na wewe umempenda then u are lucky....

Ikitokea unaevutiwa nae hajavutiwa na wewe bali anakutumia then usipoteze muda shuka kituo kinachofuatia usubiri basi lingine.

Hapo unapoteza muda.... Miaka 27 unaleta habari za it might be you....?! Acha uzembe wewe dada..... Nenda katafute mwanaume achana na mtu ambaye ameshakuonyesha fungu lako ni la kukosa..... Wewe bado unatoa toa macho kama nyumbu anasubiria mamba amrukie ziwani wakati wa kunywa maji.

Achana na huyo mtu.... Tuliza kichwa tafuta mwingine..... Achana na huyo mtu.... Achana na huyo mtu.... Umri umekwenda, miaka 27 ni mwanamke mkubwa sio binti mtoto....
 
Pole sana dia,iyo hali ilishawahi nitokea,nlikuwa na boyfriend alikuwa ananihudumia sana yaani nliishi kwa kudekezwa sana mpaka rafiki zangu wakawa wanasema sabbu sio type yangu ndio maana ananipenda sana na haikuwa kweli nlimpenda sana,ila baadae akapata shida biashara yake ikapata hasara kubwa na hakuwahi kuniambia,nlikuwa namuona jamaa usiku mara yupo macho usiku mnene,anapungua taratibu ikiwa napika vinzuri tu,na hata Ada ya mdogo angu akalipa kumbe amekopa sehemu,tukaenda kidogo nkasafiri kwenda zanzibar kufata mzigo wa urembo,hapo tulikuwa tumekwazana kawaida tu na nlipata chance maana alikuwa hataki nifanye chochote(mtaji nlikuwa najichanga anazonipa)nikiwa narudi sasa najisemea moyoni kuwa,nikifika ntakubali jamaa aende home maana alitaka aje nlimzuia kuwa sina ishu ya kufanya home watanielewa,acha nitafute ajira,Jamani nafika mkoani kwetu,siku inayofuata rafiki yake ananiambia ameuza kila kitu kakimbilia nje kidogo na Tz(nchi za Jirani)nliumia na nkapewa picha nzima kuwa alifulia ila bado alikuwa hataki nijue na aliingia madeni ili niishi alivotaka,NGOja nifupisheeee(nlifanikiwa kumrudisha Tz ila daah ikawa kama ndio namuumiza zaidi,alikuwa mnyongeee,hataki kula,kujilalamisha,yaani alikonda nkawa nalia tu,hapo tumeenda kuishi kwa rafiki yake,naenda kupika kule ndio narudi home,ikaendaa akasema hataki kukaa kwa rafiki yake Bora arudi kwao,na mimi nlikuwa nampenda na namiss zile bata na kudekezwa,najisemea atarudi upya,ntaondoka nani atanifanyia hivi?nkaenda nae kwa mama yangu,nkatoa taa ya geto,kukawa giza mda wote,nmeishi nae kwa mama week nzima,wakitoka asubuhi ndio anajiachia,saa 2 anarudi geto,akachoka akaomba aende kwao,toka hapo ndio mapenzi yakaanza kuisha,alivofika huko,nampigia hapokei,hajibu sms,nampigia mama yake ananiambia anashida amelala,nliangaika mnoo kila nikikimbuka wema wake,Ndio ivo bana,Mwanaume akifulia huwa anakosa nguvu hata ya kuendesha uhusiano,anajishtukia sana.Binafsi mpaka Leo namwambia aondoke kwa rafiki yake,ajitegemee tuanze upya,bado ajiamini na Mimi nshasimama japo sio sana lakn bado mnyonge,Niwatuma wakubwa wakamuambie nampenda yeye sio anayowaza.Yaani huku nje nakutana na watoto wa Farao wasumbufuu,Mungu mpe wepesi wa kutambua kila kitu kinapita na hakuna jipya,Anayopitia wakipitia wengii na mimi ndio mwanamke wa kumvusha.Namuombea sana na sadaka uwa natoa kuwa asije nifuta kabsa,aniangalie mimi sio vitu vya Duniani.
Huyu jamaa ana tatizo kubwa
 
we ndugu umejua kunichekesha nasubiri muujiza wa mwamposa.
 
Hii situation naipitia hata mimi kwa sasa, imefikia hatua nmemuacha mpenzi wangu na still bado nampenda naona kama si fit kwenye maisha yake! Better nikiwa alone tu
 
Hapana dia,Wewe kuwa nae na muonyeshe ujasiri wa kuwa mtavuka pamoja.Hakuna hali ya kudumu na hakuna geni,unayopitia wengi tumepitia,Muache yeye ndio aamue.
 
Wanawake wa namna hii mnapatikana wapi?
Wengine tunakutana na wanawake wanaomba pesa kama dose ya aspirini...asubuhi mchana na jioni
Habari zenu wote, naombeni ushauri kwa hili

Mimi ni mdada wa miaka 27 ni mjasiriamali tu , nipo kwenye mahusiano na mwanaume miezi 3 sasa.

Mpenzi wangu ni miongoni mwa watanzania wanaopambana na kutafuta namna ya kutoboa kwenye suala zima la ajira, kwahiyo kutokana na hilo amekuwa ni mtu wa mawazo sana kiasi kwamba naona sasa ina athiri hata mahusiano yetu.

Mwanzoni alikuwa sawa tu alikuwa muwazi kunishirikisha harakati zake nami nilikua nampa moyo kwamba apambane tu atafanikiwa, kuna mizunguko alikuwa anahitajika kufanya ili kufuatilia mambo yake na nilikua najiongeza tu kwamba mwenzangu amefulia na atahitaji nauli nafanya kumtumia namwambia ikusaidie kwenye mizunguko yako, anashukuru.

Tatizo limeanza hivi karibuni ameanza kuwa mtu wa majibu mafupi mafupi tu, mawasiliano yetu sio kama mwanzo tena japo wote tupo mkoa mmoja.
Tukisha juliana hali asubuhi imetoka hiyo mpaka usiku na hapo nitaulizwa za asubuhi, nitajibu salama za wewe? atajibu tu salama nisipoendeleza conversation ndo kimya tutakaa mpaka usiku usiku mwema.

Huwa najaribu kumuuliza vipi mbona inakuwa hivi unakuwa kama huna interest, atanijibu kwani ikoje mbona kawaida au kuna kitu unataka kaniambia niambie, nikiona hivo basi naona nikae kimya maana ni mtu ambaye huwa anashutumu sana wanawake tunapenda kukuza vitu kwahiyo nanyamaza.

Jana pia nikaona nimuulize tena akanijibu ni kwasababu wewe unasemaga upo bize, kiukweli nilishangaa nikamuuliza kuwa mimi bize inakuwaje uwe hivo kwani kuna siku umehitaji tuwe wote nikakataa mbona huwa naacha kazi tunakuwa wote? na nikikwambia nipo bize nakuwa na order ya mteja natakiwa kukamilisha siku hiyo hivyo nakuambia tu ukweli, akanijibu kwani mimi nimesema huwa huna muda na mimi, au kuna kitu unataka kaniambia niambie, kiukweli nilichukia nikamjibu tu sina.

Kwakifupi naelewa situation anayopitia katika kufikia harakati zake, na ni kitu kina muathiri kifikra na kimwili, sometimes inaweza kufanya hata aka loose interest kwenye mahusiano yetu as anaona vitu haviendi, hamna msaada anapata, akiona na mimi nimemuambia nimebanana ndo kabisaa anaona nazingua pia, najua ndio nakuwaga busy lakini nami najaribu kupambana na hali yangu maana naelewa maisha yangu mwenyewe nayopitia maana kesho na keshokutwa sina hela sina pa kuomba maana najitegemea mwenyewe, ila najitahidi mda mwingine niahirishe kazi ili tuwe wote. Sasa kwa hili linaloendelea nashindwa kuelewa niende naye vipi yani maana mawasiliano yanaenda kufa mwisho wa siku mapenzi yanaenda kufa.

Najaribu tu kuwaza labda nimpe space labda namkwaza hata sielewi.
 
Achana nae huyo n maskin jeuri,huyo hamtakaa muwe poa kamwe,endeleza mishe zako tu,usilifikirie limtu la hvyo
 
Huyo sio mwanaume,bado ni mvulana,mwanaume hatakiwi kulia lia,kususa,kuzila hata kama vyuma vimekaza mpaka kutu,kukosa pesa ni jambo la kawaida tu,mambo yakibana mwanaume anategemewa awe ndio kimbilio,atoe "crying shoulder"awe ndio nguzo,sasa huyu anataka abembelezwe?!!!anakupa hard time umuelewe!?hizo ni Swaga za kike,just tell him "he better shape up or ship out'"huyo lazima kazaliwa baada ya 90s
 
Pole sana dia,iyo hali ilishawahi nitokea,nlikuwa na boyfriend alikuwa ananihudumia sana yaani nliishi kwa kudekezwa sana mpaka rafiki zangu wakawa wanasema sabbu sio type yangu ndio maana ananipenda sana na haikuwa kweli nlimpenda sana,ila baadae akapata shida biashara yake ikapata hasara kubwa na hakuwahi kuniambia,nlikuwa namuona jamaa usiku mara yupo macho usiku mnene,anapungua taratibu ikiwa napika vinzuri tu,na hata Ada ya mdogo angu akalipa kumbe amekopa sehemu,tukaenda kidogo nkasafiri kwenda zanzibar kufata mzigo wa urembo,hapo tulikuwa tumekwazana kawaida tu na nlipata chance maana alikuwa hataki nifanye chochote(mtaji nlikuwa najichanga anazonipa)nikiwa narudi sasa najisemea moyoni kuwa,nikifika ntakubali jamaa aende home maana alitaka aje nlimzuia kuwa sina ishu ya kufanya home watanielewa,acha nitafute ajira,Jamani nafika mkoani kwetu,siku inayofuata rafiki yake ananiambia ameuza kila kitu kakimbilia nje kidogo na Tz(nchi za Jirani)nliumia na nkapewa picha nzima kuwa alifulia ila bado alikuwa hataki nijue na aliingia madeni ili niishi alivotaka,NGOja nifupisheeee(nlifanikiwa kumrudisha Tz ila daah ikawa kama ndio namuumiza zaidi,alikuwa mnyongeee,hataki kula,kujilalamisha,yaani alikonda nkawa nalia tu,hapo tumeenda kuishi kwa rafiki yake,naenda kupika kule ndio narudi home,ikaendaa akasema hataki kukaa kwa rafiki yake Bora arudi kwao,na mimi nlikuwa nampenda na namiss zile bata na kudekezwa,najisemea atarudi upya,ntaondoka nani atanifanyia hivi?nkaenda nae kwa mama yangu,nkatoa taa ya geto,kukawa giza mda wote,nmeishi nae kwa mama week nzima,wakitoka asubuhi ndio anajiachia,saa 2 anarudi geto,akachoka akaomba aende kwao,toka hapo ndio mapenzi yakaanza kuisha,alivofika huko,nampigia hapokei,hajibu sms,nampigia mama yake ananiambia anashida amelala,nliangaika mnoo kila nikikimbuka wema wake,Ndio ivo bana,Mwanaume akifulia huwa anakosa nguvu hata ya kuendesha uhusiano,anajishtukia sana.Binafsi mpaka Leo namwambia aondoke kwa rafiki yake,ajitegemee tuanze upya,bado ajiamini na Mimi nshasimama japo sio sana lakn bado mnyonge,Niwatuma wakubwa wakamuambie nampenda yeye sio anayowaza.Yaani huku nje nakutana na watoto wa Farao wasumbufuu,Mungu mpe wepesi wa kutambua kila kitu kinapita na hakuna jipya,Anayopitia wakipitia wengii na mimi ndio mwanamke wa kumvusha.Namuombea sana na sadaka uwa natoa kuwa asije nifuta kabsa,aniangalie mimi sio vitu vya Duniani.
Mpo wachache, mnatafutwa kwa tochi hakyanani. Hongera sana kidawise!!
 
Duuuh

Story yako imeniliza japo una uandishi wa la nne B ( joke)

On a serious note, kuna kitu umenifungua sana, kumbe ndo maana wanaume hawapendi kuona mke akifanya kazi

Nimejua sababu kutokana na hii sharing story yako

Thanks mkuu
 
Hili ndio tatizo la watoto wa kike siku hizi. Wanaume wasio na malengo na ninyi mnahangaika nao..... Ila ambao wana malengo na ninyi mnawaona kero au hawana hadhi ya kuwa na nyinyi.

Sishangai kwann idadi ya Ma'single mother inaongezeka ni kwasababu watoto wa kike the more mnapewa uhuru wa kufanya maamuzi binafsi na kuelimishwa ndio mnazidi kuwa vilaza wa kufiriki na kutumia hekima.

Wewe hapo nikikuuliza unachosubiria muujiza gani utokee utanambia?!

Hapo unasubiri akupe ujauzito halafu akupe makavu live kuwa hakuwa na time na wewe bali ulimlazimisha kuwa na wewe, halafu uanze kulaumu kuwa wanaume hawana mapenzi ya kweli..... NO.... Ni wewe hautumii akili....

Toka hapo kwa huyo jamaa achana nae.... Vijana wanaotafuta wasichana wa kufanya nao maisha wapo kibao.... Mwanamke hauna jukumu la kuchagua mwanaume bali mwanaume ndie anachagua mwanamke. Ikitokea umebahatika aliyekuchagua na wewe umempenda then u are lucky....

Ikitokea unaevutiwa nae hajavutiwa na wewe bali anakutumia then usipoteze muda shuka kituo kinachofuatia usubiri basi lingine.

Hapo unapoteza muda.... Miaka 27 unaleta habari za it might be you....?! Acha uzembe wewe dada..... Nenda katafute mwanaume achana na mtu ambaye ameshakuonyesha fungu lako ni la kukosa..... Wewe bado unatoa toa macho kama nyumbu anasubiria mamba amrukie ziwani wakati wa kunywa maji.

Achana na huyo mtu.... Tuliza kichwa tafuta mwingine..... Achana na huyo mtu.... Achana na huyo mtu.... Umri umekwenda, miaka 27 ni mwanamke mkubwa sio binti mtoto....
Duuuh

Haya ni makavu live
 
Back
Top Bottom