Msaada wa kujuzwa uendeshaji wa saloon za kike

ven1965

Member
May 11, 2018
74
143
Habari zenu wadau,

Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike.

Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
 
Habari zenu wadau,

Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike.

Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
Nyingi ni vijiwe vya kudangia tu, Kwa sasa ukimpata mtaalam wa make up ndio angalau unaweza kuiona biashara inayofanyika na kupamba maharusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom