Anaomba ushauri atatue changamoto yake ya kimahusiano

Mr Alpha

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
263
704
Habari yako Broo nilikuwa naomba unipostie changamoto yangu ile niweze kupata ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 20 mwaka huu mwezi wa 8 natimiza miaka 21 nilikuwa naomba unisaidia kupost changamoto yangu ili nipate ushauli Mimi nipo kwenye mahusiano na binti mmoja na mahusiano yetu hivi sasa ni mwaka wa 4.

Tulikuwa katika mahusiano toka tunasoma shule mpaka tulipomaliza secondari. Pia kwenye mahusiano yetu Mimi ndiye niliyetoa usichana wake huyo mwanamke, japo alikuwa akileta pingamizi kukubali kusex kwamb tusubiri mpaka tutakapo oana Lakini mm mwanaume nina hisia nikashndwa na katika kumlazmisha akalubali.

Tumekuwa tukikutana mara kwa mara lakini changamoto niliyo nayo mimi nimepata kazi mkoani na yeye yupo Dar.
Now imekuwa ni ugomvi kila siku hatuishi kugombana kwasababu anahtaji nimuoe na mimi naona kabisa mda wa kumuoa bado kwasababu ndiyo najitafuta. Shida inakuja kila siku tunapowasilia kwenye simu kuongea lazma aongelee suala ya mimi na yeye kufunga ndoa, nikimjibu kuwa mda bado anivumilie kidogo nijipange anakuwa mkali sana amabao inapelekea kugombana. Kuhusu kumpenda Nampenda sana na yeye ananinipenda .

Changamoto yangu ni hiyo yeye anahitaji tufunge ndoa lakini mimi nahitaji nijitafute kwanza nikijipata ndo nitafunga naye Ndoa hataki kuelewa anataka tufungu ndoa wakati huu. Sasa nimefikiria kuachana nae kabisa maana anashindwa kunielewa na sio kwamba sitaki kuishi nae ila sitaki huko baadae familia yangu ipate shida

NOTE: Naombeni ushaurie Je nimuache ili atafute mwanaume wa kumuoa, au nifanye nini ili haweze kunielewa?
 
1. Wakati anahitaji penzi la binti alimlazimisha, binti akakubali akampatia alichotaka.
2. Kwa sasa dogo amepata kazi, na Yuko mbali na binti. Binti anahitaji kuwa karibu na dogo, dogo ataki kuoa.
Mwambie dogo atimize ahadi yake. Watajitafuta wote wakiishi pamoja.
 
Nilichogunduka maisha yana roho mbaya sana, kipindi ambacho ujui nini maana ya kitu fulani wala uthamani inakupa vitu vingi vya thamani kama Pesa, Kazi, Mpenzi, Mchumba wa dhati nk kihasarahasara tu baadae sana akili yako ikikaa sawa nakuelewa ABC na umri uneenda hivi vyote kuvipata inakuwa mtiti.

Mimi ningerudi miaka kadhaa nyuma na kuwa kama wewe ningeoa chapu tu bila kujiuliza mara mbili.....Mzee kitu kinaitwa kijitafuta, kujipanga ni uwongo hakipo kiuharisia kwenye real life ni illusion utafika Floor ya 3 upo hivyohivyo na huko Floor ya tatu kupata mwanamke wa dhati mziki wake kilo 350KG.

Huku Floor ya tatu kila wa umri wako utayesema huyu unakuta Single mother, hana hisia tena, akili inachoka. Ukisema uangalie dogodogo zinapasua kichwa zina date for fun na wewe unataka settlement yaani unaweza piga mtu mingumi 😡😡
 
Habari yako Broo nilikuwa naomba unipostie changamoto yangu ile niweze kupata ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 20 mwaka huu mwezi wa 8 natimiza miaka 21 nilikuwa naomba unisaidia kupost changamoto yangu ili nipate ushauli Mimi nipo kwenye mahusiano na binti mmoja na mahusiano yetu hivi sasa ni mwaka wa 4.

Tulikuwa katika mahusiano toka tunasoma shule mpaka tulipomaliza secondari. Pia kwenye mahusiano yetu Mimi ndiye niliyetoa usichana wake huyo mwanamke, japo alikuwa akileta pingamizi kukubali kusex kwamb tusubiri mpaka tutakapo oana Lakini mm mwanaume nina hisia nikashndwa na katika kumlazmisha akalubali.

Tumekuwa tukikutana mara kwa mara lakini changamoto niliyo nayo mimi nimepata kazi mkoani na yeye yupo Dar.
Now imekuwa ni ugomvi kila siku hatuishi kugombana kwasababu anahtaji nimuoe na mimi naona kabisa mda wa kumuoa bado kwasababu ndiyo najitafuta. Shida inakuja kila siku tunapowasilia kwenye simu kuongea lazma aongelee suala ya mimi na yeye kufunga ndoa, nikimjibu kuwa mda bado anivumilie kidogo nijipange anakuwa mkali sana amabao inapelekea kugombana. Kuhusu kumpenda Nampenda sana na yeye ananinipenda .

Changamoto yangu ni hiyo yeye anahitaji tufunge ndoa lakini mimi nahitaji nijitafute kwanza nikijipata ndo nitafunga naye Ndoa hataki kuelewa anataka tufungu ndoa wakati huu. Sasa nimefikiria kuachana nae kabisa maana anashindwa kunielewa na sio kwamba sitaki kuishi nae ila sitaki huko baadae familia yangu ipate shida

NOTE: Naombeni ushaurie Je nimuache ili atafute mwanaume wa kumuoa, au nifanye nini ili haweze kunielewa?
Mwambie dogo aache uoga wa maisha weka ndani mama hiyo jenga nayo maisha..

Sometimes ndoa inakuja na baraka zake au inaweza kukunyoosha ukajuta kuzaliwa ...
 
Ogopa sana mwanamke anayekushinikiza umuoe.

Kumbuka wewe ndiye mwamuzi wa mwisho unayejua kuwa huu muda wa kuoa au kutooa.

Usikubali mwanamke akuamulie kwenye hilo

All in all una miaka 20 pambana kwanza kujijenga kimaisha
 
20 yrs pambania kesho yako, hayo mapenzi yenu ya mbali alie katika hatari ya kupoteza ni mwanaume.

Huyo binti akijanjaruka kidogo ni maumivu. Hatosikia wala kujali chochote.
 
Ogopa sana mwanamke anayekushinikiza umuoe.

Kumbuka wewe ndiye mwamuzi wa mwisho unayejua kuwa huu muda wa kuoa au kutooa.

Usikubali mwanamke akuamulie kwenye hilo

All in all una miaka 20 pambana kwanza kujijenga kimaisha
Wewe jamaa omb mwanamke akushunikize yeye kumuoa na sio kumshinikiza yeye kumuoa atakuja kukushurubu kwasababu kumua ataoana umekufanyia fair.

By the way mwanamke age goo huko 27+ ndio inabidi uogope akikushinikiza maana wengi wanatafuta security ya ndoa baada ya giza kuingia ila huyu ndio kwanza Ana 21 anasoko bado so kushinikiza kwake nakuona kwa dhati na yupo kwenye misingi
 
Nilichogunduka maisha yana roho mbaya sana, kipindi ambacho ujui nini maana ya kitu fulani wala uthamani inakupa vitu vingi vya thamani kama Pesa, Kazi, Mpenzi, Mchumba wa dhati nk kihasarahasara tu baadae sana akili yako ikikaa sawa nakuelewa ABC na umri uneenda hivi vyote kuvipata inakuwa mtiti.

Mimi ningerudi miaka kadhaa nyuma na kuwa kama wewe ningeoa chapu tu bila kujiuliza mara mbili.....Mzee kitu kinaitwa kijitafuta, kujipanga ni uwongo hakipo kiuharisia kwenye real life ni illusion utafika Floor ya 3 upo hivyohivyo na huko Floor ya tatu kupata mwanamke wa dhati mziki wake kilo 350KG.

Huku Floor ya tatu kila wa umri wako utayesema huyu unakuta Single mother, hana hisia tena, akili inachoka. Ukisema uangalie dogodogo zinapasua kichwa zina date for fun na wewe unataka settlement yaani unaweza piga mtu mingumi 😡😡
upo sahihi
 
Back
Top Bottom