Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

Kisekibaha

Member
Joined
Aug 13, 2025
Posts
47
Reaction score
103
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+

Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe.

Na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu hatutegemei chochote kutoka ktk mali zilizoachwa na mzee, na baadhi tunafanya biasharea ktk nyumba hiyo na zaidi tunampa mama kodi km wapangaji ili aweze kupata mahitaji yake pasipo kututegemea sisi.

Na tuliamua hivyo ili aishi kwa utulivu sababu umri wake ni mkubwa sana hana uwezo wa kufanya biashara yoyote tena.

Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati wakati baba anaumwa

Ilikuwa bank alimshikia rafiki yake mdhamana kwa kesi ya mauaji na alishinda kesi mama mdogo akachukua hati akaichukulia mkopo nyumba ikauzwa na bank ila baadae ilirudishwa baada ya kushtakiana na mama yetu.

Sasa mama mdogo amerudi anamshawishi mama auze wafanye biashara ilhali mama hana uwezo huo.

Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahakamani? Na tutafanyaje tupate haki? Maana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
 
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo babva aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishse, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu ila biashara tunafanya kwenye frame za nyumbani. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati akachuku mkopo nyumba ikauzwa na bank sasa amerudi anamshawishi auze waganye biashara. Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
sajo
 
Nie watoto inaonekana hamna maelewano na mama. Hata hivo, acha kutegemea mali ya urithi, huwa inaleta migogoro, laana na vifo visivotarajiwa. Mwacheni mama afanye anavotaka, tofauti na hapo tegemea ugonvi na mama
 
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo babva aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishse, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu ila biashara tunafanya kwenye frame za nyumbani. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati akachuku mkopo nyumba ikauzwa na bank sasa amerudi anamshawishi auze waganye biashara. Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
Hapo mama yenu akishauza nyumba baada ya muda ataishiwa arudi kwenu asaidiwe. Msipomsaidia atasema ametelekezwa
 
Mimi sijata
Yaani umeolewa unataka mali ya mama yako alioachiwa na mme wake na akawalea yeye kiwa single mother hadi mkaolewa na wewe uza nyumba ya mmeo dadeki kitoto vya Kinondoni kijinga sana

USSR
Ka mali wala sijawah kuenda mahakamani nimeitwa zaidi ya mara 3 sikuona sbb ya kwenda, kilichonifanya niombe msada ni hali ya mama ya afya ya akili na mwili, na ni baada ya kutaka kuuza nyumba ya zaid ya mil 250 kwa mil 80, na umri wake ni mkubwa hawezi kufanya biashara wala chcht nyumba hy ndio msaada kwake, na mshauri wake mkuu ni mdogo wake wa kike ambaye alishawah kufoji signatir akachukua mkopo wa nyumba hy hy ikaja kuuzwa na bank. Lengo sio kumdhulumu wala kugombea msli ila ni kuhakikishs hakuna utapeli unafanyika dhidi yake na familia kwa ujumla mana mirathi yeye ni msimamizi na mmiliki pia.
 
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo babva aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishse, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu ila biashara tunafanya kwenye frame za nyumbani. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati akachuku mkopo nyumba ikauzwa na bank sasa amerudi anamshawishi auze waganye biashara. Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.

Kwanza kabla ya kuzuia kuuza nyumba mnapaswa mumuulize vitu 3 muhimu sn.
-kwann anauza nyumba.
- mgao wenu kama watoto amepangaje.
-baada ya kuuza na kuwapa mgao wenu kama watoto je yeye ana mipango gn na pesa zilizobaki.

Kama hana majibu yanayoeleweka nendeni mahakamani mkapinge kuuzwa Kwa nyumba..
Kama nyumba ilinunuliwa na baba yenu na maandishi yapo maana yake nyumba ni ya family hawezi akauza bila kuwashirikisha,au kuwapa mgao wenu kama watoto.
 
Hapo mama yenu akishauza nyumba baada ya muda ataishiwa arudi kwenu asaidiwe. Msipomsaidia

Kwanza kabla ya kuzuia kuuza nyumba mnapaswa mumuulize vitu 3 muhuni sn.
-kwann anauza nyumba.
- mgao wenu kama watoto amepangaje.
-baada ya kuuza na kuwapa mgao wenu kama watoto je yeye ana mipango gn na pesa zilizobaki.

Kama hana majibu yanayoeleweka nendeni mahakamani mkapinge kuuzwa Kwa nyumba..
Kama nyumba ilinunuliwa na baba yenu na maandishi yapo maana yake nyumba ni ya family hawezi akauza bila kuwashirikisha,au kuwapa mgao wenu kama watoto.
Asante kwa msada wako. Nyumba ni ya baba na kwenye mirathi iliandikwa ila baada ya mama kutaka kuiuza tukamgomea amekuja na hoja ya kusema nahoja nakala za mirathi alizopewa zimepotea akaemda mahakamani na hakimu ni rafiki yake sana wakashauriana wameme na file mahakamani limepotea ambalo baba aliandika mali zote ni za watoto msimamizi ni yeye. Sasa kupotea kwa mafile ndiko kunamfanya hakimu atake kumpa ushindi ili nyumba mana ana mgao wake. Ndio mana nikaomba msaada. Hoja yangu sio kugombea mali za familia hoja yangu ni kwanini wanafanya uhuni kuuza nyumba ambayo hakuna sababu za kuiuza na ikatetetea. Inaumiza sana
 
Mimi sijata

Ka mali wala sijawah kuenda mahakamani nimeitwa zaidi ya mara 3 sikuona sbb ya kwenda, kilichonifanya niombe msada ni hali ya mama ya afya ya akili na mwili, na ni baada ya kutaka kuuza nyumba ya zaid ya mil 250 kwa mil 80, na umri wake ni mkubwa hawezi kufanya biashara wala chcht nyumba hy ndio msaada kwake, na mshauri wake mkuu ni mdogo wake wa kike ambaye alishawah kufoji signatir akachukua mkopo wa nyumba hy hy ikaja kuuzwa na bank. Lengo sio kumdhulumu wala kugombea msli ila ni kuhakikishs hakuna utapeli unafanyika dhidi yake na familia kwa ujumla mana mirathi yeye ni msimamizi na mmiliki pia.
Mkuu, kama Mali ni ya baba, Je nani alimteua mama kuwa msimamizi wa mirathi?
Kama hakuna aliyemteua basi mama haruhusiwi kuuza hiyo nyumba, mpaka kikao cha ndugu kitakapompitisha yeye na mirathi hiyo kusajiliwa mahakamani.
Kama hati ya nyumba inamtaja yeye kama ndo mwenye kiwanja basi kuzuia mauzo ya hiyo nyumba utahitajika kuithibitishia mahakama kuwa mama Hana sound mind hivo maamuzi yake sio sahihi
 
Mir

Mirathi iliandikwa na baba na alimteua mama kuwa msimamizi wa mirathi ila mali zote ikiwemo na nyumba hiyo ziliandikwa ni mali ya watoto wote bila kubagua jinsia na baba aliandika kuwa nyumba hiyo isiuzwe bali ibaki kuwa msaada kwa familia. Mama ni msimamizi wa mirathi tuu na katika hili kuna fomu ilipatikana ikithibitisha kuna mirathi no9 ya mwaka 89, na msimamizi inamtaja mama. Sasa kilichopotezwa ni mafike yote yanayotaja mali. Tufanyaje
 
Nyumba ina jina la mama na ilinunuliwa mwaka 85 baba alikuwa na kesi mbaya sana ya uhujumu uchumi hivyo kwa maelezo ya mama mwenyewe siku za nyuma kabla hajabadilika alisema baba alimpa hela akanunua kwa jina lake ili asifilisiwe na serikali. Ila kwenye mirathi ya baba imetajwa hiyo nyumba ila mirathi ndio imefichwa
 
Mir

Mirathi iliandikwa na baba na alimteua mama kuwa msimamizi wa mirathi ila mali zote ikiwemo na nyumba hiyo ziliandikwa ni mali ya watoto wote bila kubagua jinsia na baba aliandika kuwa nyumba hiyo isiuzwe bali ibaki kuwa msaada kwa familia. Mama ni msimamizi wa mirathi tuu na katika hili kuna fomu ilipatikana ikithibitisha kuna mirathi no9 ya mwaka 89, na msimamizi inamtaja mama. Sasa kilichopotezwa ni mafike yote yanayotaja mali. Tufanyaje
Hilo file number 9 la mwaka 1989 ni file la mahakamani? Kama ndio basi fika masijala ya mahakama husika au fika mahakama ya juu yake kudai upewe nakala ya hiyo hukumu. Humo utakuta mali zote husika zimeandikwa.
Mimi sio mwanasheria Ila nimekushauri hivi kutokana tu na uzoefu na mambo kama haya nilivoona kwa wengine.
Suluhisho lako la mwisho wewe n ndugu zako kama mnaamini mama amepungukiwa uelewa na anataka kufanya maamuzi yasiyo sahihi basi ni kufungua kesi kuomba mahakama itoe zuio la kuuza mali maana muuzaji Hana akili timamu na kuwa ameshawishiwa/kupotoshwa.

Asante.
 
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu hatutegemei chochote kutoka ktk mali zilizoachwa na mzee, na baadhi tunafanya biasharea ktk nyumba hiyo na zaidi tunampa mama kodi km wapangaji ili aweze kupata mahitaji yake pasipo kututegemea sisi. Na tuliamua hivyo ili aishi kwa utulivu sababu umri wake ni mkubwa sana hana uwezo wa kufanya biashara yoyote tena. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati wakati baba anaumwa ilikuwa bank alimshikia rafiki yake mdhamana kwa kesi ya mauaji na alishinda kesi mama mdogo akachuku hati akaichukulia mkopo nyumba ikauzwa na bank ila baadae ilirudishwa baada ya kustakiana na mama yetu. sasa mama mdogo amerudi anamshawishi mama auze wafanye biashara ilhali mama hana uwezo huo, Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
HHAHAHAAAA MKUU HAPO MAMA ANA HAKI
BABA KAJICHANGANYAAAA VIBAYA SANAAA
HAPO KASM NA MAMA MUUZE.MGAWANE

ELSE UTAPIGWA HELA TU MHAKAMAN
 
Muacheni auze si mali yake walitafuta na mumewe..!!
Na nyie jitahidini wanaume zenu wawape urithi.
Hapana. Wosia ambao ni mirathi iliweka bayana kwamba mama ni msimamizi tu wa mirathi lakini nyumba isiuzwe kwa namna yoyote zaidi ya kufanyia biashara pekee.

Mtu akiandika mirathi/wosia akiwa na akili zake timamu basi hakuna namna mtu mwingine anaweza ku challenge.
 
Back
Top Bottom