Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Wakuu.

JE, VIRUSI AMBAVYO HAVJA KOMAA KISAWASAWA KWENYE DAMU.

VINAWEZA KUHITAJ MUDA WA ZAID YA DAKIKA 5 10 15 20 30, KUONEKANA KWENYE TEST?

NAJIULIZA NISIJE NIKAWA VIPO ILA BADO BICHACHE SO KIPIMO LINAITAJ MUDA ZAID KUSOMA
 
Yan ndan ya saa moja, nilivyopima vilikuwa visafiii na line moja, asubuh nimekuta io hali, 3 lines, na nlipima saa 5 asubuh ya jana.
Ondoa shaka we ni mzima wa afya kabs ila kumbuka kutumia kinga kwa ukimwi upo hii kutokana na tamaa ya pombe zimekuzidi ukatembea na baamedi baada ya masaa kadhaa utoa matokeo tofauti inategemea group ya damu we uko salama
 
Asante mkuu kuni encourage
 
Ondoa shaka we ni mzima wa afya kabs ila kumbuka kutumia kinga kwa ukimwi upo hii kutokana na tamaa ya pombe zimekuzidi ukatembea na baamedi baada ya masaa kadhaa utoa matokeo tofauti inategemea group ya damu we uko salama
Group ya damu kivipi mkuu? Hebu nifafanulie hapo maana kuna jamaa yangu aliwahi kujinasibu eti yeye ni group "o" hivyo hawezi kupata ukimwi kirahisi kuna ukweli hapo?
 
Samahani mimi naomba kuuliza mfano vipimo vimeleta majibu tata na mpimwaji akaanza kutumia ARV ikiwa sio muathirika je ni athari gani kiafya atakazo zipata endapo atatumia ARV ikiwa sio muathirika?
Ni kama unatumia dozi ya malaria (mseto) wakati huumwi.... Madhara yake upo uwezekano wa kuua ini na hupelekea kifo
 
Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Utakuwa umetumia Kipimo kiitwacho SD BIOLINE FOR HIV1/2.

Na Ndani y Dakik 10 kikatoa MSTARI MMOJA (Na hapo tunaita NEGATIVE).

Sasa hiki Kipimo kimetengenezwa kusomwe/Kitoe Majibu ndani ya Dakika 10, yaan majibu zaidi ya Dakika 10 hayatambuliki (FALSE RESULT).

Sasa ulivyokiacha hadi asubuhi, Ina maanisha ulivuka ule muda wake, Hayo majibu sio...Majibu yanayotambulika ni yale "Within 10 Minutes.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kisome magonjwa mengine tena wakati ni kipimo cha ukimwi??
Weweee wewwwww.Toka mwaka huu uanze Na unakaribia kuisha sijacheka hivi Mpaka machoziiii.Ninyi Watu Wa JF you know you can make someone hang himself????
What!!!!!! Nashukuru umeniongezea siku za kuishi Duniani
 
d50c6c87acb1190074f7d3b741055e8b.jpg

Ni hivyo
Hii ni NEGATIVE, hiyo mistari mingine midogo/kama imefifia hivi ni Matokeo ya kukiacha kwa muda mrefu. Wakati sheria yake ni kukisoma Dakika zisizozidi 10.
 
Wakuu niseme ukweli.

MARA KWA MARA NIMEKUWA NIKIZINI NA WATU WALIONIZIDI, AGE

PIA,

KATI YAO BAADAE NASKIA NI WATHIRIKA NA WATUMIAJ WA DAWA MDA MREEFU TU.

MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA JANA MWEZ WA 7,

NILISEX NA DADA MMOJA,ANANIZIMIA HATARI,

SASA, SIKU NIKAMWAMBIA TUPIME, ALINIAMBIA ANATATZO, LA HIV,

NILISHASEX NAE HD MAR TATU NA MPAKA UNLUCKY SIKU MOJA ALIKUWA PERIOD NA BOO YANG ILIGUSA DAMU NUNG TUU,

NILIENDELEA KUMLA LICHA YA POSITIVE YAKE.

YEYE ALIJUA ETI NAMMI NI +KWA KUWA ALISIKIA NILITEMBEA NA MAMA MWINGNE AMNAYE PIA INASEMEKANA NI POSTV,

TULVOPIMA ALJIONEA.

ALIZID KUNPENDA KWANZA TU KWA KUMFARJ NA KUSEX NAE.

TOKA MWEZ WA 8 2016

NIMEPIMA C CHINI YA MARA 12, NIKO SAFI,

MWEZ WA 8 AU WA9 MWANZONI, NEJICHNGANYA KWA MMAMA MWINGNE YAN ATA UKIMWANGALIA HAVUITII KIVILE ,NI HUKO KIJJN KINGNE,

NISHA MSEX, KAMA TWO TIMES,

KUNA MTU ANAHUSIKA NA WAATHIRIKA KATIK HYO KATA ANASEMA

HUYO MAMA NI + mtumiaji Wa dawa KWA KARB MIAKA 4-5

Yesuuuu, ndo nimeanza kupima,

Yan presure nlo nayo mmeitulza walau hapa jf, ila cdhan kama awamu hii ntapona.

NB:JAMAN SIJUI NINAPEPO GANI MNIOMBEE WANA JAMVI.

YAN TOKA 2011 Mim nikula waathirika tuu.

Washafika karibi 6)

Na huwa nafanya juu chini kuthibitisha kuwa ni kwel, nahua napata uhaika.

Mniombee jmn.
 
Kutokutumia komdom katka maisha yang kunanipa presha,kwakwel
 
Kama toka 2011 unajipigia tu waathirika na hujapata basi jua hiyo ni kalama toka kwa Mungu ili uendelee kuwahudumia waathirika maana nao ni watu sio tunahubili tusiwanyanyapae wakati hatutaki kusex nao sijui ndio tunafanya nini mkuu komaa nao tu baba sie tuko nyuma yako tunakuombea.
 
Utakuwa umetumia Kipimo kiitwacho SD BIOLINE FOR HIV1/2.

Na Ndani y Dakik 10 kikatoa MSTARI MMOJA (Na hapo tunaita NEGATIVE).

Sasa hiki Kipimo kimetengenezwa kusomwe/Kitoe Majibu ndani ya Dakika 10, yaan majibu zaidi ya Dakika 10 hayatambuliki (FALSE RESULT).

Sasa ulivyokiacha hadi asubuhi, Ina maanisha ulivuka ule muda wake, Hayo majibu sio...Majibu yanayotambulika ni yale "Within 10 Minutes.
Asante mkuu wang
 
Kama toka 2011 unajipigia tu waathirika na hujapata basi jua hiyo ni kalama toka kwa Mungu ili uendelee kuwahudumia waathirika maana nao ni watu sio tunahubili tusiwanyanyapae wakati hatutaki kusex nao sijui ndio tunafanya nini mkuu komaa nao tu baba sie tuko nyuma yako tunakuombea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom