Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Na ni muda gan vinasoma kwa majib sahh,
Je, utata ndo mistar 3,

Au ni kwamba nnavirus bado havijaingia sawa sawa?

Je ni halal visome mpaka asubuh kupta jib

Je nin mara nyng hutokea unapokiacha kipimo kwa masaa zaidi ya sita?
Utakufa na presha ndugu nenda tu hospital kwa vipimo na ushauri zaidi wala usiogope maana kama upo upoo tu hata ukijificha au uogope kupima au ukakimbia majibu ukimwi upo tu.
 
d50c6c87acb1190074f7d3b741055e8b.jpg

Ni hivyo
 
Naomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?
Umeuliza maswali mengi ila ngoja nikujib moja moja

Kwa mtu ambaye anatumia Arv kwa usahihi mara nyingi anakuwa anapunguza uwezekano wa kutoa maambukizi kwa mtu mwingine

Hilo la pili jibu ni simple hata ikitokea umemwagiwa ndoo nzima ya damu ya muathirika halafu ukawa hauna mchubuko hapo huwezi kupata maambukizi

Ikitokea umedondokewa na punje ndogo ya damu kwenye sehem yenye mchubuko hapo braza hesabia umeukwaa na unatakiwa kuwahi hospital ili upewe dawa kwaajili ya kuzuia maambukizi ndani ya masaa 72

I hope umenielewa
 
Kwanza ni kosa kisheria,kwa maana siyo mtaalamu halafu unakimbilia mambo usiyoyajua,hicho kipimo kina dk zake za kusoma, na hicho siyo mwisho labda utujuze kinaitwaje hicho kipimo
Huyu ameshakujibu ipasavyo
 
Umeuliza maswali mengi ila ngoja nikujib moja moja

Kwa mtu ambaye anatumia Arv kwa usahihi mara nyingi anakuwa anapunguza uwezekano wa kutoa maambukizi kwa mtu mwingine

Hilo la pili jibu ni simple hata ikitokea umemwagiwa ndoo nzima ya damu ya muathirika halafu ukawa hauna mchubuko hapo huwezi kupata maambukizi

Ikitokea umedondokewa na punje ndogo ya damu kwenye sehem yenye mchubuko hapo braza hesabia umeukwaa na unatakiwa kuwahi hospital ili upewe dawa kwaajili ya kuzuia maambukizi ndani ya masaa 72

I hope umenielewa
Nimekuelewa ila ngoja niweke swali langu moja vizuri endapo damu ya muathirika imedondokea kwenye mdomo wa muathirika na yule aliyedondokewa damu akaimeza je atapata ukimwi?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Na ni muda gan vinasoma kwa majib sahh,
Je, utata ndo mistar 3,

Au ni kwamba nnavirus bado havijaingia sawa sawa?

Je ni halal visome mpaka asubuh kupta jib

Je nin mara nyng hutokea unapokiacha kipimo kwa masaa zaidi ya sita?
Nashindwa kukujibu kwasababu sijui wewe ulijipimaje
Ulitumia solution gani kuweka kwenye damu ili ianza kutembea?

Halaf usijihukumu kwa kipimo kimoja unatakiwa ubadilishe kipimo coz ni ngumu jibu tata kutokea katika vipimo viwil ambavyo ni aina tofaut
 
Nimekuelewa ila ngoja niweke swali langu moja vizuri endapo damu ya muathirika imedondokea kwenye mdomo wa muathirika na yule aliyedondokewa damu akaimeza je atapata ukimwi?

Yeah kuwa makini kugusa damu, damu imegawanyika sehemu mbali mbali kuna plasma, serum pamoja whole blood, kaa mbali sana na Serum hupenya kwenye unbroken skin,
 
Acha Daktari aitwe daktari na nesi awe nesi.Alieanzisha utaratibu wa kutoa ushauri nasaha kabla na baada ya kupima sio mjinga.Aljua kuna watu kama nyinyi msioweza kukabiliana na stress.Ila hongera mkuu umeonesha ujasiri kidogo mwingine saivi angekua ashajinyonga.
DONT TRY THAT AT HOME AGAIN ESPECIALLY WHEN YOU ARE ALONE.

Nenda Hospital kapime acha ujuaji.
 
Nimekuelewa ila ngoja niweke swali langu moja vizuri endapo damu ya muathirika imedondokea kwenye mdomo wa muathirika na yule aliyedondokewa damu akaimeza je atapata ukimwi?
Hapo ni vigumu kupata jibu kwasababu hatujui huyo alikula nini ambacho kingeweza kumletea mchubuko ama yawezekana ana vidonda vya tumbo

Kwaiyo ukishafikiria hayo naona utakua umepata jibu kwamba inategemea na hali yako ya kimwili
 
Okay mkuu nimekuelewa
 
Nashindwa kukujibu kwasababu sijui wewe ulijipimaje
Ulitumia solution gani kuweka kwenye damu ili ianza kutembea?

Halaf usijihukumu kwa kipimo kimoja unatakiwa ubadilishe kipimo coz ni ngumu jibu tata kutokea katika vipimo viwil ambavyo ni aina tofaut
Niliweka bafa water (maji maalum,, drops 3/4 hv
 
Acha Daktari aitwe daktari na nesi awe nesi.Alieanzisha utaratibu wa kutoa ushauri nasaha kabla na baada ya kupima sio mjinga.Aljua kuna watu kama nyinyi msioweza kukabiliana na stress.Ila hongera mkuu umeonesha ujasiri kidogo mwingine saivi angekua ashajinyonga.
DONT TRY THAT AT HOME AGAIN ESPECIALLY WHEN YOU ARE ALONE.

Nenda Hospital kapime acha ujuaji.
Asante mkuu, vipimo ka ulivyoviona.
 
Nimekuelewa mkuu sasa je endapo nimedondokewa na damu ya muathirika wa ukimwi mdomoni na nikaimeza je nitapata ukimwi?
Naam!
Swali la kizushi kwa nini udondokewe na damu mdomoni na mtu aliye athirika?

Isiwe kesi baadhi ya sheria za upimaji wa ukimwi uwe unapima au uwe unapimwa, kwanza kabisa uwe umevaa protective gears(mfano gloves za mkononi, nguo nyeupe ndefu/koti, viatu vya kufunga, kwa nini vitu hivi huhitajika katika pindi la uchunguzi wa damu? Kwanza tunavya viatu vya kufunga ili kuepuka endapo baati mbaya vitu vya ncha kali (sindano kukudondokea mguuni), kuvaa gloves mkononi ili kuepusha kugusana na damu ya mtolewaji haihalishi atakuwa muathirika au laha, tunavaa gloves mkononi maana kuna aina tofauti za damn kama vile Plasma, serum, sasa hapa kwenye Serum ni mbaya sana endapo kwa sababu hupenya kwenye ngozi,

Swali lako vipi ukimeza toni la damu la mtu muathirika?
Kaa mbali sana damu yenye virusi vya ukimwi, kaa karibu sana na mtu aliye athirika maana ubaguzi hauruhusiwi katika jamii kwa wote walio athirika na HIV/AIDS
 
Kudondokewa na damu kupo kwa namna nyingi mkuu hata wakati wa kuokoa majeruhi wa ajali unaweza Kudondokewa na damu pia
 
Back
Top Bottom