Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Sio rahisi kupata ukimwi hata kama umetembea na mwathirika,
unaweza kutembea na mwathirika hata mara 100 na ukapima uko salama,

tungekuwa tushaisha zamani mno,
walioubuni huo ugonjwa hapo ndo walibugi step,
kuna facts kuhusu ukimwi hazijawa exposed,
ndo unaweza ukaona mtu anajiuza mtaani kwako nayuko poa tu miaka nenda rudi na anazaa watoto na wanafika hadi university
 
Wakuu niseme ukweli.


MARA KWA MARA NIMEKUWA NIKIZINI NA WATU WALIONIZIDI, AGE

PIA,

KATI YAO BAADAE NASKIA NI WATHIRIKA NA WATUMIAJ WA DAWA MDA MREEFU TU.


MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA JANA MWEZ WA 7,

NILISEX NA DADA MMOJA,ANANIZIMIA HATARI,


SASA, SIKU NIKAMWAMBIA TUPIME, ALINIAMBIA ANATATZO, LA HIV,

NILISHASEX NAE HD MAR TATU NA MPAKA UNLUCKY SIKU MOJA ALIKUWA PERIOD NA BOO YANG ILIGUSA DAMU NUNG TUU,

NILIENDELEA KUMLA LICHA YA POSITIVE YAKE.

YEYE ALIJUA ETI NAMMI NI +KWA KUWA ALISIKIA NILITEMBEA NA MAMA MWINGNE AMNAYE PIA INASEMEKANA NI POSTV,

TULVOPIMA ALJIONEA.

ALIZID KUNPENDA KWANZA TU KWA KUMFARJ NA KUSEX NAE.

TOKA MWEZ WA 8 2016

NIMEPIMA C CHINI YA MARA 12, NIKO SAFI,

MWEZ WA 8 AU WA9 MWANZONI, NEJICHNGANYA KWA MMAMA MWINGNE YAN ATA UKIMWANGALIA HAVUITII KIVILE ,NI HUKO KIJJN KINGNE,

NISHA MSEX, KAMA TWO TIMES,

KUNA MTU ANAHUSIKA NA WAATHIRIKA KATIK HYO KATA ANASEMA

HUYO MAMA NI + mtumiaji Wa dawa KWA KARB MIAKA 4-5

Yesuuuu, ndo nimeanza kupima,

Yan presure nlo nayo mmeitulza walau hapa jf, ila cdhan kama awamu hii ntapona.

NB:JAMAN SIJUI NINAPEPO GANI MNIOMBEE WANA JAMVI.

YAN TOKA 2011 Mim nikula waathirika tuu.

Washafika karibi 6)

Na huwa nafanya juu chini kuthibitisha kuwa ni kwel, nahua napata uhaika.

Mniombee jmn.
Aiseee yan unajua waathirika halaf unawakula tu
 
Kama toka 2011 unajipigia tu waathirika na hujapata basi jua hiyo ni kalama toka kwa Mungu ili uendelee kuwahudumia waathirika maana nao ni watu sio tunahubili tusiwanyanyapae wakati hatutaki kusex nao sijui ndio tunafanya nini mkuu komaa nao tu baba sie tuko nyuma yako tunakuombea.
Ahahahahhhhh
 
Sio rahisi kupata ukimwi hata kama umetembea na mwathirika,
unaweza kutembea na mwathirika hata mara 100 na ukapima uko salama,

tungekuwa tushaisha zamani mno,
walioubuni huo ugonjwa hapo ndo walibugi step,
kuna facts kuhusu ukimwi hazijawa exposed,
ndo unaweza ukaona mtu anajiuza mtaani kwako nayuko poa tu miaka nenda rudi na anazaa watoto na wanafika hadi university
Hapa ndo tujiulze,

Mim situmii kondom toka kuumbwa kwang,,

Mbona watu wanatumia makondom et wanaofgopa bado.

Anyway, huwa sina uwezo wa kutumia kondom,

Sishawish ppl wasitumie.
 
Aiseee yan unajua waathirika halaf unawakula tu
Kwakwel mapepo watu tupo,

Na licha ya hvyo,

B@dh yao ukiwaona na mimi ni tofaut huez amin,

Anyway,,

Namshukuru mung, naomba aninyooshe nisiwe mdhinif tena wakujiatarisha.

All in all, yamepita.
 
Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Tuambie kwanza uliweka drops ngap za damu NA ulichanganya NA nn ...
 
Sasa kama positive tukusaidie nn tena mtoa mada ....ina maana hujui maana ya positive kwnye mambo ya ukimwi ??!!......

Kula vizuri Fanya mazoezi na pumzisha mwili wako..
Haaaaaaa!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh!
 
Aiseee yan unajua waathirika halaf unawakula tu
Ana moyo sana nilivyo na moyo mwepesi kitendo cha kujua nimedate na muathirika tu ningelazwa, huu ugonjwa Mungu atusaidie sana.
 
Kama toka 2011 unajipigia tu waathirika na hujapata basi jua hiyo ni kalama toka kwa Mungu ili uendelee kuwahudumia waathirika maana nao ni watu sio tunahubili tusiwanyanyapae wakati hatutaki kusex nao sijui ndio tunafanya nini mkuu komaa nao tu baba sie tuko nyuma yako tunakuombea.
Teh teh teh teh
 
Sio rahisi kupata ukimwi hata kama umetembea na mwathirika,
unaweza kutembea na mwathirika hata mara 100 na ukapima uko salama,

tungekuwa tushaisha zamani mno,
walioubuni huo ugonjwa hapo ndo walibugi step,
kuna facts kuhusu ukimwi hazijawa exposed,
ndo unaweza ukaona mtu anajiuza mtaani kwako nayuko poa tu miaka nenda rudi na anazaa watoto na wanafika hadi university
Fact.
 
HA HA HA HUU UGONJWA NI KICHEKESHO MTU ANAJIPIMA HALAFU ANAOGOPA KSOMA MATOKEO! SASA KAMA UMESHAONA NI POSITIVE SHIDA NI NINI
 
Back
Top Bottom