Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,319
- 10,170
Ndio anaweza kumuambukiza mwingineNaomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?
Inachukua muda Wa miezi mitatu kugundulika
Kama mdondokewa hana mchubuko anaweza asipate. Ila kama anao uwezekano wakupata ni 99.9%