Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.

Tayari umeshaanza ' kulikung'uta ' vizuri sana ' Gitaa ' la ' Dally Kimoko ' Mkuu.
 
Kila mmoja anayake mashaka duh mimi nikikumbuka yaan balaaaaa. Hivi niulize

vipimo vya determine test vikoje?
Ni dezain ya vikaratas, vingne ni kama made of plastics sjuk nimekujb,

Em tupe io stor ya streas hehhe
 
Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Usirudie tena kujipima. Na mm yalinikuta kama yako haya. Nilimpima mtoto wa watu nikashindwa kumpa majibu. Lakini ilibidi nimshawishi akapime hospitali. Akapima zaidi ya mara 1 kwa hospitali tofauti na akakuta hana maambukizi.
- Waliokujibu vizur ni wale waliokuambia nenda ukapime kwa usahihi na uishi kwa amani . Sure utakua upo vizuri tu...usiogope nenda kapime hospital. Sababu ni kwamba itakua umekosea kwenye process za kupima. Ukiharaka na ukichelewa kusoma ni errors tu.
- Kwa uelewa wangu hivo vipimo havitumiki kutolea majibu ya HIV , ukishapima ukakuta Positive ,inabidi uchukue kipimo kingine kinaitwa UN-GOLD ukipatikana ikawa positive kwenye UN-GOLD ndipo unapewa majibu yako.
 
Kama toka 2011 unajipigia tu waathirika na hujapata basi jua hiyo ni kalama toka kwa Mungu ili uendelee kuwahudumia waathirika maana nao ni watu sio tunahubili tusiwanyanyapae wakati hatutaki kusex nao sijui ndio tunafanya nini mkuu komaa nao tu baba sie tuko nyuma yako tunakuombea.
Au anataniaa au Ugonjwa unamwendea kasii sijapata ona
 
Usirudie tena kujipima. Na mm yalinikuta kama yako haya. Nilimpima mtoto wa watu nikashindwa kumpa majibu. Lakini ilibidi nimshawishi akapime hospitali. Akapima zaidi ya mara 1 kwa hospitali tofauti na akakuta hana maambukizi.
- Waliokujibu vizur ni wale waliokuambia nenda ukapime kwa usahihi na uishi kwa amani . Sure utakua upo vizuri tu...usiogope nenda kapime hospital. Sababu ni kwamba itakua umekosea kwenye process za kupima. Ukiharaka na ukichelewa kusoma ni errors tu.
- Kwa uelewa wangu hivo vipimo havitumiki kutolea majibu ya HIV , ukishapima ukakuta Positive ,inabidi uchukue kipimo kingine kinaitwa UN-GOLD ukipatikana ikawa positive kwenye UN-GOLD ndipo unapewa majibu yako.
Asante Mkuu nimekuelewa. Hivyo vpmo baada ya lisaa na nusu hivi vinaleta mistar mingne miwili kuacha ule wa C inakuaje?

Naskia ata vya maleria vinaio shida.

Nilichukua nikakpima tena nikakikodolea macho, yalpo pota masaa karb mawil, kilichora mistar mitatu ka ma awali.

All in ll, nitafanya kama ulvyonishaur mkuu.
 
Back
Top Bottom