Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Utakuwa umetumia Kipimo kiitwacho SD BIOLINE FOR HIV1/2.

Na Ndani y Dakik 10 kikatoa MSTARI MMOJA (Na hapo tunaita NEGATIVE).

Sasa hiki Kipimo kimetengenezwa kusomwe/Kitoe Majibu ndani ya Dakika 10, yaan majibu zaidi ya Dakika 10 hayatambuliki (FALSE RESULT).

Sasa ulivyokiacha hadi asubuhi, Ina maanisha ulivuka ule muda wake, Hayo majibu sio...Majibu yanayotambulika ni yale "Within 10 Minutes.
Mkuu sijakuelewa,
Kama ni positive kipimo kinaonesha nini?
Kama ni negative kinaonesha nini?

Mana mpk sasa sijaona mtu aliyetoa ufafanuzi jinsi ya kusoma kipimo hiki
 
d50c6c87acb1190074f7d3b741055e8b.jpg


Ni hivyo
Invalid
 
Yan ndan ya saa moja, nilivyopima vilikuwa visafiii na line moja, asubuh nimekuta io hali, 3 lines, na nlipima saa 5 asubuh ya jana.
Muda ukipita mref vinasoma tofaut kusoma baada ya kupita kuda mref vinaleta majibu ya uongo
 
SD bioline inasomwa ndani ya dk 30, baada ya hapo huwa inabadilika kama ilikua negative inakua positive na kama ilikua positive inakua invalid, majibu ya kweli ni yale ulosoma ndani ya dk 30. Nenda kapime sehemu rasmi, au tumia kitepe cha uni-gold
Upo sahihi kaka
 
Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Don't rely on results after 10-15 mins
 
Back
Top Bottom