Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Kama ulitumia bioline ikasoma positive unatakiwa ukavonfirm na unigold tena ikisoma positive tena .muone daktari.
 
sijapenda the way alivyo na mapuuza.mi alinisikitisha mwanzo ila aliposema ukwel wake nilitamani kumchapa.kwann sasa hiyo tabia ya uzinzi kiholela please Fanya ya kale.kwa sasa tulia na mpenzi mmoja mwaminifu angalia ndoto zako kwani unahitaji kuwa na watoto na kuwalea pia hivyo vyoye vinakuhitaji ukiwa na afya njema.we love you
 
Mkuu pole sana kwa maswahibu yaliyo kukuta. Ngoja nikufafanulie kwa ufupi
Vipimo vya HIV for standard diagnosis vipo vikuu viwili. Kuna kinachoitwa(1)SD Bioline hiki hupima HIV ambapo huchukua dakika 5 mpaka 15 kutoa majibu.
( 2) kuna kipimo kingine kinaitwa UNI GOLD hiki pia hufanya kazi kama ya bioline lakin tofauti kubwa ya vipimo hivi ni kwamba bioline it is very sensitive more than unigold. But UNIGOLD IS BEST because
uzuri wa unigold its is very specific. Yaani maana yangu ni kwamba " once unigold ikionyesha positive basi hakuna haja ya kurudia kupima tena maaana majibu yatakuwa the same"

tukija kwenye hoja yako ya kutokea kwa mistar 3 baada ya kupima. Jibu ni kwamba because SD Bioline" is not more specific wataalam tunashauri ujaribu kupima kwa kutumia Unigold ili kuthibitisha majibu ya awali.!!

Tahadhari jitahidi zoez hili lifanywe na mtaalam wa afya.!!
 
Asante mkuu. From now on, I have stopped all that fool. Blesses
 
Asante sana,

Japo umekuja kuiamsha tena presha yangu.

Kwan hujaelezea kuwa mistar mitatu ikitokea b@daa ya masaa zaid ya 3-4 + inakuwaje hapo,,

Thanks pia.
 
sijapenda the way alivyo na mapuuza.mi alinisikitisha mwanzo ila aliposema ukwel wake nilitamani kumchapa.kwann sasa hiyo tabia ya uzinzi kiholela please Fanya ya kale.kwa sasa tulia na mpenzi mmoja mwaminifu angalia ndoto zako kwani unahitaji kuwa na watoto na kuwalea pia hivyo vyoye vinakuhitaji ukiwa na afya njema.we love you
Mkuu sory, apa jf huwa nakiachia sana ili nipate cancelation mbalimbal
 
Wakuu niseme ukweli.

MARA KWA MARA NIMEKUWA NIKIZINI NA WATU WALIONIZIDI, AGE

PIA,

KATI YAO BAADAE NASKIA NI WATHIRIKA NA WATUMIAJ WA DAWA MDA MREEFU TU.

MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA JANA MWEZ WA 7,

NILISEX NA DADA MMOJA,ANANIZIMIA HATARI,

SASA, SIKU NIKAMWAMBIA TUPIME, ALINIAMBIA ANATATZO, LA HIV,

NILISHASEX NAE HD MAR TATU NA MPAKA UNLUCKY SIKU MOJA ALIKUWA PERIOD NA BOO YANG ILIGUSA DAMU NUNG TUU,

NILIENDELEA KUMLA LICHA YA POSITIVE YAKE.

YEYE ALIJUA ETI NAMMI NI +KWA KUWA ALISIKIA NILITEMBEA NA MAMA MWINGNE AMNAYE PIA INASEMEKANA NI POSTV,

TULVOPIMA ALJIONEA.

ALIZID KUNPENDA KWANZA TU KWA KUMFARJ NA KUSEX NAE.

TOKA MWEZ WA 8 2016

NIMEPIMA C CHINI YA MARA 12, NIKO SAFI,

MWEZ WA 8 AU WA9 MWANZONI, NEJICHNGANYA KWA MMAMA MWINGNE YAN ATA UKIMWANGALIA HAVUITII KIVILE ,NI HUKO KIJJN KINGNE,

NISHA MSEX, KAMA TWO TIMES,

KUNA MTU ANAHUSIKA NA WAATHIRIKA KATIK HYO KATA ANASEMA

HUYO MAMA NI + mtumiaji Wa dawa KWA KARB MIAKA 4-5

Yesuuuu, ndo nimeanza kupima,

Yan presure nlo nayo mmeitulza walau hapa jf, ila cdhan kama awamu hii ntapona.

NB:JAMAN SIJUI NINAPEPO GANI MNIOMBEE WANA JAMVI.

YAN TOKA 2011 Mim nikula waathirika tuu.

Washafika karibi 6)

Na huwa nafanya juu chini kuthibitisha kuwa ni kwel, nahua napata uhaika.

Mniombee jmn.
Hiyo ishawah kunitokea ila mi haikua kwa walionizd age

Nikawa naishi nikijijua tayar ni muathirika yan ucare ukapungua nikawa kila mwanamke naweka tu bila kujali maneno ya vijiweni inshort kila rafiki yang alkua anajua mm ni muathirika ilifika hatua had rafiki zangu wakitaka kutembea na msichana ni lazma waniulize kama nimepta au bado

Kiukweli nilikua naumia sana tena zaid ya sana pale nilpowaona rafiki zangu wametulia na wanagonga wanawake with care ila mm sikua na chakucare coz nilishajijua

Mungu si athuman siku moja nilijifungia gheto nikiwa nimelewa zen nikajipima yan huwezi amini kwa majib niliyoyakuta pombe zote zilikata sikuamini kwamba mm ni mzma, asubuh saa 12 nilitoka hom mpaka mnazi mmoja pale angaza kwenda kuhakikisha kama nilichokiona ni sahihi au ni mauzauza

Nesi akanambia mm ni mzima

Jaman nilitoka pale sikujielewa nimefikaje police baracks nilienda kupiga bia za buku jero utafikiri nazipima ubora nililewa hatari

Tangu siku ile kila mtu duniani nikawa namuona ni muathirika hiyo imenijenga mpaka leo naonekana boya kwa madem coz wanajileta ila mi nawapotezea nikikumbuka nilivoishi kwa stress hamu yote inakata

Ni bora wakuone boya wakat ukijijua mwenyew kuwa unajiepusha na matatizo

Pimeni vijana na ukishapima fanya maamuzi
 
Ase kaka kama nakuona enz hzo pole sana.
 
Kila mmoja anayake mashaka duh mimi nikikumbuka yaan balaaaaa. Hivi niulize

vipimo vya determine test vikoje?
 
Back
Top Bottom