Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Hii thread wachangiaji watakua wachache mnooo. Mazee kusoma posts za watu tu humu ni bonge la moja la ujasiri. [emoji28]
Utaua figo bila sababu mkuuSamahani mimi naomba kuuliza mfano vipimo vimeleta majibu tata na mpimwaji akaanza kutumia ARV ikiwa sio muathirika je ni athari gani kiafya atakazo zipata endapo atatumia ARV ikiwa sio muathirika?
Swali zuri sana....ilishamkuta Mpangaji wetuSamahani mimi naomba kuuliza mfano vipimo vimeleta majibu tata na mpimwaji akaanza kutumia ARV ikiwa sio muathirika je ni athari gani kiafya atakazo zipata endapo atatumia ARV ikiwa sio muathirika?
Hicho kipomo huruhusiw kusoma baada ya dakika 20 kipo very sensitive kama kilionesha mstar mmoja bas upo negativeYan ndan ya saa moja, nilivyopima vilikuwa visafiii na line moja, asubuh nimekuta io hali, 3 lines, na nlipima saa 5 asubuh ya jana.
Hospital kuna watu waliobobea katika kutoa ushauri juu ya haya mamboWATU KAMA NYINYI NI MUHIMU. HIVI WAPI
UNAWEZA PATA msaaADA WA HArAKA WA KIMAWAZO KAMA CO JF,???
ASANTE.
Hivyo vikikaa zaidi ya masaa 2 vinaliact positive, lakini usihofu baada ya hapo tafuta un gold urudie kupima ,hicho ndiyo kipimo cha uhakiki wa HIV,pekeeNi vile vimeandikwa SD STANDARD DIAGNOSIS MKUU
Ahsante sana mkuu umenipa jibu kamili ,ubarikiwe sanaNdio mkuu virus vinaingia vizuri tu, maana ukivimeza vikifika tumboni au kwenye utumbo vinafyonzwa (absorption) kuingia kwenye damu!
ndo umeshadanja hivoo.Nataka nijue kwann visome asubuji
Je, ndo nipo postive au vimesoma magonjwa mengne?
haa ha ha....wee jamaa bhna!! Sema Mungu atusaidiee tuu maana janga la wotee hili[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kisome magonjwa mengine tena wakati ni kipimo cha ukimwi??
Ni mitatu mkuuMkuu mbona kuna mstari mmoja tu ambao ni Control!
Hapo ni Negative
Sawa mkuu asanteNimeona nikujibu us
Nimeona nikujibu usije ukajinyonga bure kwanza ujue kuwa unatakiwa kusoma majibu ndani ya dakika 10 baada ya hapo kipimo kinaweza kuchora mistari mingine ikakuchanganya lakini pia ujue mistari mmoja ni negative yaani hauna miwili ni positive yaani unao japo wewe ulisema positive sijui hauelewi positive na negative sijui lakini pia hicho kipimo kinaweza kusoma positive hata ukiwa na mgonjwa ya zinaa mengine ko ili uwe sure na majibu yako kabla ya kuanza dozi lazima upimwe na kipimo kingine kinaitwa Ungold hicho ndo kinatoa majibu halisi ya ukimwi
NB. Sio daktari usije ukaniuliza mambo mengine waweza enda kituo cha afya kilicho karibu nawe nina uelewa tu wa hivyo vipimo kutokana na sehemu ninayofanyia kazi
So MKUU HII CASE INAJOTOKEZAGA??Hii ni negative iyi mingine sio mistari ni alama za mistari kwa kuwa ni sehemu inayotegemewa kuonyesha kama mtu akiwa positive
Saaa mkuu,Hicho kipomo huruhusiw kusoma baada ya dakika 20 kipo very sensitive kama kilionesha mstar mmoja bas upo negative
Inajitokezaga sana mara nyingi kama kipimo kikikaa muda mrefu usiwe na wasi mi ni mtaalam hapo ni negativeSo MKUU HII CASE INAJOTOKEZAGA??
Atumie atapata wapi??? Dawa zile sio maembe mpaka wakupime na ushauri nasaha juuHapo ndugu nenda hospital ilaa mstari mmoja ndano ya Dak tano au kumi ndio sahihi zaidi... muda ukienda sana kuna ishu ya damu kuganda sijui contamination na vitu kama vumbi na takataka zingne so pima tena ndano ya dak 5 hiv..!! Na usijeanz kutumia dawa z Ukimwi akati huumwi maana zina nguvuu sana...madhara yake yatakuwa makubwa.. na Figoo hizoo...maini yanii ni msalaa sana..!! So nenda hospital kabisa kama utashindwa...
Sawa. MkuuMimi nadhan uache presha, kapime VCT, hapo watatumia vyote na Unigold. Hapo acha kutafuta majibu huku, nadhan Unigold inakuwa accurate zaidi
Asante sana mkuu,Hapo ndugu nenda hospital ilaa mstari mmoja ndano ya Dak tano au kumi ndio sahihi zaidi... muda ukienda sana kuna ishu ya damu kuganda sijui contamination na vitu kama vumbi na takataka zingne so pima tena ndano ya dak 5 hiv..!! Na usijeanz kutumia dawa z Ukimwi akati huumwi maana zina nguvuu sana...madhara yake yatakuwa makubwa.. na Figoo hizoo...maini yanii ni msalaa sana..!! So nenda hospital kabisa kama utashindwa...