Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,273
- 34,253
Mpaka mtu ufikishe 4000 hours alafu mtu aje adukue account kizembe kabisa, pole mdau.Habari wana Jamvi,
Ngoja Niende moja kwa moja
Naomba msaada Nimepambania Jambo Langu kwa muda Wa mwaka na nusu sasa Leo Asubuhi Naamka Nakuta Ujumbe Tena Umetumwa kwa Namba Ya Mtu wa Tanzania Kabisa "You're Google Account wa reset"
Baada ya Account yangu ya youtube Kuwa Monetized Juzi Imedukuliwa usiku wa kuamkia Leo licha Ya Kuwepo kwa Two factor Authentication. Kila Kitu kimebadilishwa backup email, Back up security code, Namba ya Simu.
Nimejaribu Kuipigia Hiyo namba Iliyonipigia haipatikani
Naomba Msaada Kw IT wa Kurecover
View attachment 2768126