Naomba msaada kuna mtu anakatisha ndoto

Super Charged

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
929
1,643
Habari wana Jamvi,
Ngoja Niende moja kwa moja
Naomba msaada Nimepambania Jambo Langu kwa muda Wa mwaka na nusu sasa Leo Asubuhi Naamka Nakuta Ujumbe Tena Umetumwa kwa Namba Ya Mtu wa Tanzania Kabisa "You're Google Account wa reset"

Baada ya Account yangu ya youtube Kuwa Monetized Juzi Imedukuliwa usiku wa kuamkia Leo licha Ya Kuwepo kwa Two factor Authentication. Kila Kitu kimebadilishwa backup email, Back up security code, Namba ya Simu.

Nimejaribu Kuipigia Hiyo namba Iliyonipigia haipatikani
Naomba Msaada Kw IT wa Kurecover
View attachment 2768126
 
Mzee hii sms ya kiswahili au kiingereza ,au umekosea ""You're Google Account wa reset"
Nimeandikwa Kwa kifupi Lakini Ni nimetumiwa Message Ya Google wanayotuma kama Ukibadilisha Password,Imeforwadiwa Kwangu Kwa Namba Ya Mtu
 
Be careful km una mtindo wa kutumia apps tofauti tofauti kulogin kufikia YouTube mn hizo app ni moja ya mtego wa kukusanya taarifa na hamstuki.
 
Pole sana mkuu, binafsi niliwahi kupoteza, simu na laini ikiwemo afu password nilikuwa nishaisahau, nilisearch kila mahali , nilijaribu njia nyingi sana kurecover account yangu lakini wapi, siku moja nikaamua kubuni password angalau nilizokuwa nakumbuka, nilijaribu Mara kibao ikakubli, ndio nikafungua kila kitu, ila hapo kumbuka email ilikuwa yangu.

Uzoefu wangu wa kufatilia nadhani ndio nitatumia kujibu, yaani wewe kubadilishiwa password, email na phone number inamanisha hiyo account sio yako tena na huwezi irudisha.

Hata ukitumia njia ya kurecover account yako angalau email ingekuwa bado ipo linked na account yako, au unafahamu password na kama sivyo bora hata ingekuwa bado ipo linked na namba yako ya cm

Sasa kama vyote hivyo huna yaani vimebadilishwa hakuna namna(yaani google wanahesabu hio account sio yako na hawawezi kukurudishia)

Nasikitika kukuambia kuwa haiwezekani kuipata tena account yako.

Njia pekee ya kukusadia; Hire a hacker.​

Yaani inabidi uibe kitu chako Tena😭
Tafuta hacker, hasa nenda dark web kule kuna hackers na ni waaminifu walipe tu nusu ya pesa wapige kazi yako kisha ikikamilika malizia pesa yake. Vingenevyo hamna namna yakukusaidia maana si mali yako hiyo tena.
 
Daah!Sijui Nifanyaje Mkuu Watu wanakatisha Sana Tamaa
Mkuu moja weakest link katika kutunza taarifa na kuepuka uvamizi ni Human Factor
Yani we mwenyewe lazima ujue kuficha taarifa zako na zisiwe common Sana .
Na km una Mchezo wa kutumia passed moja ktk platforms tofauti acha.
 
Huo Mtindo ninao,Ila ya Email Yangu Nimeiupdate Kutoka Kwa Ile password Nayoitumia sana
 
Pole sana mkuu, binafsi niliwahi kupoteza, simu na laini ikiwemo afu password nilikuwa nishaisahau, nilisearch kila mahali , nilijaribu njia nyingi sana kurecover account yangu lakini wapi, siku moja nikaamua kubuni password angalau nilizokuwa nakumbuka, nilijaribu Mara kibao ikakubli, ndio nikafungua kila kitu, ila hapo kumbuka email ilikuwa yangu.

Uzoefu wangu wa kufatilia nadhani ndio nitatumia kujibu, yaani wewe kubadilishiwa password, email na phone number inamanisha hiyo account sio yako tena na huwezi irudisha.

Hata ukitumia njia ya kurecover account yako angalau email ingekuwa bado ipo linked na account yako, au unafahamu password na kama sivyo bora hata ingekuwa bado ipo linked na namba yako ya cm

Sasa kama vyote hivyo huna yaani vimebadilishwa hakuna namna(yaani google wanahesabu hio account sio yako na hawawezi kukurudishia)

Nasikitika kukuambia kuwa haiwezekani kuipata tena account yako.

Njia pekee ya kukusadia; Hire a hacker.​

Yaani inabidi uibe kitu chako Tena
Tafuta hacker, hasa nenda dark web kule kuna hackers na ni waaminifu walipe tu nusu ya pesa wapige kazi yako kisha ikikamilika malizia pesa yake. Vingenevyo hamna namna yakukusaidia maana si mali yako hiyo tena.
Shukran mkuu,Natafuta Hacker pia achana nq Hao wa Darkweb Natafuta Wa karibu kumfikia
 
Yani namba ya Tanzania ikutumie meseji ya google? Washafungua ofisi nchini?

Hiyo message ina link? Ulibonyeza?
Hiyo message Sikubonyeza,Alikuwa Anajaribu Kuhack account Yangu Kwa Njia Ya Phishing(Spam link) Kashindwa sikubonyeza link Akatumia Njia Nyingine Akaweza.Alihack Ucku sana nimelala
 
Google hawatumi SMS kwa namba za simu. Hiyo sms ni sawa na tuma kwa "namba hii"
Nilielewa maana Ya Message Yake Ni Kunijulisha Tu Kuwa Ameshabadilisha password Tayari.
kwani Baada Ya Kuitafuta Hiyo Namba sana Mwishoni Aliniandikia Txt kuwa Ameshahack Account Yangu sina La Kufanya mm msenge tu.
Nikajarbu Kuconnect dots Labda Nina Ugomvi na Mtu lakini sikupata Majibu
 
Back
Top Bottom