Naomba msaada kuna mtu anakatisha ndoto

Habari wana Jamvi,
Ngoja Niende moja kwa moja
Naomba msaada Nimepambania Jambo Langu kwa muda Wa mwaka na nusu sasa Leo Asubuhi Naamka Nakuta Ujumbe Tena Umetumwa kwa Namba Ya Mtu wa Tanzania Kabisa "You're Google Account wa reset"

Baada ya Account yangu ya youtube Kuwa Monetized Juzi Imedukuliwa usiku wa kuamkia Leo licha Ya Kuwepo kwa Two factor Authentication. Kila Kitu kimebadilishwa backup email, Back up security code, Namba ya Simu.

Nimejaribu Kuipigia Hiyo namba Iliyonipigia haipatikani
Naomba Msaada Kw IT wa Kurecover
View attachment 2768126
Mpaka mtu ufikishe 4000 hours alafu mtu aje adukue account kizembe kabisa, pole mdau.
 
Nilielewa maana Ya Message Yake Ni Kunijulisha Tu Kuwa Ameshabadilisha password Tayari.
kwani Baada Ya Kuitafuta Hiyo Namba sana Mwishoni Aliniandikia Txt kuwa Ameshahack Account Yangu sina La Kufanya mm msenge tu.
Nikajarbu Kuconnect dots Labda Nina Ugomvi na Mtu lakini sikupata Majibu
Email yako una access? Hio issue ni ndogo sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka mtu ufikishe 4000 hours alafu mtu aje adukue account kizembe kabisa, pole mdau.
Asante Mdau
Nimehaingikia Account kwa Muda wa Mwaka Na Miezi Mitatu Mpaka Ikawa Monetized,Aisee Imeniuma sana Ingali kwa Macho ya Kawaida Unaweza Ona Kitu Kidogo Ila Youtubers Wanaelewa Hustle la Youtube mpaka Uanze Kulipwa
1k subs,4K watch hours Bado Copyright strikes Hujapigwa,Bado Umetimiza Vigezo Unaapply Unakataliwa Unajipanga Tena Muda wa Siku 30 Au Unaappeal.
 
Kivipi mtu mwingine ameweza kufanya 2FA?

Kama kweli limefanyika hilo, basi upekuzi umefanyika toka kwenye simu yako by physical access au kwa wewe kufuata links zinazotumwa kwenye emails na WhatsApp group

Ni ngumu au tu haiwezwkani tena kurudisha control kwako kama recovery email and phone number zimebadilishwa
Hata Mimi Nashangaa Na Infact Hata Kusave password kwenye Browser Huwa Sisevu,Password Ya Simu Yangu Hakuna Anayejua Wala Hakuna Mtu anayeshika Simu zangu zaidi Yangu.
Mbali na Hapo Niko Makini Kidogo mpaka Nikajifunza Ethical Hacking kidogo Kufanya Social Engineering Na baadhi Ya Vitu
Ila Nahisi Kuna sehemu tu Nimefeli au Kuna Mtu Alikuwa Na Access Na Email Yangu Tangu zamani mimi sikujua.
Nilibadilisha Engine Ya Simu Yangu Ile ya Zamani Nikawaachia Mafundi wa Kariakoo miezi 6 iliyopita
Nilipoteza Laptop Yangu Pia Miezi sita Iliyopita ilikuwa Email Yangu Iko logged in kwenye hiyo Laptop
Mbali na Hivo Nilibadilisha Password Baada Ya Hayo Matukio
Hata mimi Nashindwa Kuelewa Nimefeli wapi
 
Njia pekee ya kukusadia; Hire a hacker.​

Yaani inabidi uibe kitu chako Tena😭
Tafuta hacker, hasa nenda dark web kule kuna hackers na ni waaminifu walipe tu nusu ya pesa wapige kazi yako kisha ikikamilika malizia pesa yake. Vingenevyo hamna namna yakukusaidia maana si mali yako hiyo tena.
Napingana na wewe, Account ya google ikienda imeenda hio.

Hao hackers hata wawe wa dark web ni matapeli wengi tu ukiwapa hela wanakimbia nayo, ndio hao hao tu wanadanganyaga kuhack meseji za mke au dem wako, wengi ni watoto tu wa miaka 14 wanatafuta pesa za kununulia magemu.

huko dark web wapo pia wazee wa sure bets, wamejipiga promo kali lakini ni hawa hawa tu unaowaona fb, watu wanakula za vichwa.

Huko dark web kunakuzwa sana, nje ya kununua madawa ya kulevya, porn za watoto na silaha , vitu vingi vilivyobaki havina utofauti na net ya kawaida

Ikienda imeenda, njia pekee ni kutumia recovery option unazoziona, kama huziwezi kubali imeenda.
 
Sema hujui na hujawahi kukutana na hacker ndio maana unaamini kwenye utapeli
 
Napingana na wewe, Account ya google ikienda imeenda hio.

Hao hackers hata wawe wa dark web ni matapeli wengi tu ukiwapa hela wanakimbia nayo, ndio hao hao tu wanadanganyaga kuhack meseji za mke au dem wako, wengi ni watoto tu wa miaka 14 wanatafuta pesa za kununulia magemu.

huko dark web wapo pia wazee wa sure bets, wamejipiga promo kali lakini ni hawa hawa tu unaowaona fb, watu wanakula za vichwa.

Huko dark web kunakuzwa sana, nje ya kununua madawa ya kulevya, porn za watoto na silaha , vitu vingi vilivyobaki havina utofauti na net ya kawaida

Ikienda imeenda, njia pekee ni kutumia recovery option unazoziona, kama huziwezi kubali imeenda.

Huenda Hujui sana Kuhusu Internet,Kuna Hacker Hawafanyi social Engineering tu Wanahack Mpaka Mifumo Ya magari Ya Umeme,Computer za Magari,Ndege,Meli wanahack Rockets n.k Kuna Kijana Wa Miaka 19 alihack Tesla,Kuna Mwingine pia Alishahack mifumo ya Ticket za Mabus huko USA,Mwaka 2019 kama Sikosei computer za Hospital zilidukuliwa huko Ughaibuni Huwezi Fanya Chochote kwenye computer mpaka Ulipe kiasi Kadhaa cha Fedha kwenye Address fulani kisha Baada ya Hapo Ukitafuta Hiyo address Haipatikani,Hospitali zililipia Haraka Ili Kuokoa Maisha Ya Wagonjwa,Kama Ni Mfatilia wa BBC,DW au Vyombo vikubwa vya habari Itakuwa labda Ulisikia.
Kama Hacking ingekuwa kama unavosema wewe Makampuni makubwa Kwa nini Yanatafuta Cybers kwa Hali na Mali.

Kama ingekuwa Ndo Hivo unavosema Basi Ufikia wa Dark web Ungekuwa Rahisi Lakini sitashangaa Hata Wewe Huenda Hujawahi ingia Dark web zaidi ya Kuisoma.Pia kuna Watu Wanaingia Dark web Lakin Kuna sehemu Hawajawahi Kuifikia Humo humo kwenye dark web.
 
Jua tu ya kwamba kuhack acfount ya google uliyosahau password ni ngumu sana ndio maana watu tunapenda kutumia email zao sababu ya ulinzi huu.

Kuhack account ya google labda uwe na contacts za aliyeiba umtumie link ya kumtega aingize pasword ama kuiba cookies zake, au uwe na access ya simu yake.

Ingekuwa facebook sawa, lakini google habari nyingine, darkweb nako kuna matapeli wengi tu wanadai wanaweza kubadili mesej za simu yoyote duniani kwa kuwapa namba, lipa upate tuition ya bure 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom