Naomba msaada au ushauri kwa haya yanayonisibu

Kuna vitu maishani ni zaidi ya hivyo ulivyotaja, naimani unachapa kazi na afya unayo, sasa shida nini?

Mungu anakawaida ya kukufungulia milango na kukuletea watu wataokufikisha kwenye mafanikio.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Yess.. Afya ninayo na hio ni Mungu pekee ndio ananipatia pamoja na kwamba natumia uwezo wangu wa kiuchumi pia kuhakiki kuwa sisahau kulinda afya yangu sababu lazima nifanye sehemu yangu.

Lakini hakuna sababu ya watu kuweka maombi mbele sana hata Biblia inasema Mungu anajua mahitaji yetu tusiwe tunaomba sana. Sasa watu wanaomba mchana na usiku kupata utajiri wakati KAMWE hauji kupitia maombi.

Watu waombe Mungu akupe afya nzuri.. ila ni juu yako kuhakiki unachapa kazi na pia unafanya Maamuzi sahihi katika maisha (Good Planning)
 
I wish DocJaygroup angeelewa nini umemaanisha.
Hilo ni tatizo la Africa. Watu ni wengi wenye fikira kama zako za kuweka maombi mbele Kwenye mambo ya maendeleo, badala ya kuweka kazi mbele na plans nzuri mbele. Huyu mleta mada, anahitaji kuchapa kazi, na kuwa na mipango mizuri ili atoboe kimaisha. Na hata kama ni maombi, katika kufanikiwa kimaendelea, ni kosa kuona maombi na ibada ni kila kitu.

Matokeo yake ni umaskini kila kona katika hili bara letu. Very sad
 
Mkuu wangu, ulimwengu wa leo financial wellness ni muhimu sana. Mfano, jinsi jamii na ndugu wanavyonisumbua niwape misaada ya kiuchumi yani unafahamu kuwa na hali mbaya ya uchumi ni jipu kubwa sana leo. Kwa hio usidharau kuhusu mafanikip ya kiuchumi mkuu wangu. Mungu ametuumba sote, na sote ni watoto wake, na anataka tufanye kazi tufanikiwe, lakini dini hizo hizo zimeweka mawazo kwa watu kwamba maombi sana ndio yanafanya utoboe kimaisha wakati huo sio ukweli kabisa.

Wapi nimesema asifanye kazi? Mbona mtoa mada mwenyewe anakwambia anafanya kazi? Bro haya mambo yaaache km yalivyo shukuru Mungu kiupande wako upo sawa hakuna upumbavu wwt uliofanya kazi kwenye maisha yako basi, sio kwa uelewa au nguvu zako ila ni baraka tu.. kuna watu wwnapambana kukuzidi na wana strategic nzuri kuzidi zako one hundred times ila hawafikii malengo mpk unabaki unawaonea huruma, palipo na Mungu na shetani pia yupo.
 
Rihanna mbona bado mdogo..., Janet Jackson alizaa mtoto wake wa kiume at 50.

Na Millen Magese gave birth to her first child at 38 tena ni mwanamke.

So jamaa asikate tamaa kabisa and asijilinganishe na watu wengine.Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi.

Cha muhimu sali sana mkuu, then usidharau kazi yeyote wewe jitume tu.
Dada angu suzie _barbie

mbarikie Basi mtoa mada ata mtoto mmoja , nami angalau nijiskie fahari ya kuitwa anko[emoji4]

Au unajisahaulisha kua mlitumwa kuja kuijaza Dunia[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi nimesema asifanye kazi? Mbona mtoa mada mwenyewe anakwambia anafanya kazi? Bro haya mambo yaaache km yalivyo shukuru Mungu kiupande wako upo sawa hakuna upumbavu wwt uliofanya kazi kwenye maisha yako basi, sio kwa uelewa au nguvu zako ila ni baraka tu.. kuna watu wwnapambana kukuzidi na wana strategic nzuri kuzidi zako one hundred times ila hawafikii malengo mpk unabaki unawaonea huruma, palipo na Mungu na shetani pia yupo.
Toa mfano wa hao watu.. Twende na mifano hai ya watu wenye strategies nzuri zaidi yangu na hawakutoboa. Tatizo mtu mfano ameweka ndugu kusimamia, ndugu wakamwibia au mali zikaibiwa.. hapo kosa ni kuweka ndugu na sio nguvu za giza. Ukishaanza kumlaumu Shetani kwa failurea zako badala ya kukaa chini na kuangalia ulipokosea, KAMWE HAUTAONA KOSA LA KUREKEBISHA na badala ya kulirekebisha, utabakia kumlaumu tu shetani ba kuomba tu. ACHENI MAMBO YA AJABU PLEASE. Africa hatutafika kwa fikara hizo.
 
Umezaliwa Tarehe ngapi kwanza. Neno langu linahitaji taarifa hizo hili ni seme kitu.
 
Wapi nimesema asifanye kazi? Mbona mtoa mada mwenyewe anakwambia anafanya kazi? Bro haya mambo yaaache km yalivyo shukuru Mungu kiupande wako upo sawa hakuna upumbavu wwt uliofanya kazi kwenye maisha yako basi, sio kwa uelewa au nguvu zako ila ni baraka tu.. kuna watu wwnapambana kukuzidi na wana strategic nzuri kuzidi zako one hundred times ila hawafikii malengo mpk unabaki unawaonea huruma, palipo na Mungu na shetani pia yupo.
Amesema anafanya kazi haziendi lakini la zaidi Amesema sana kuhusu suala la ndoa. Tatizo lake ni BAD PLANNING. Kufanya kazi tu, huku hauna mipango mizuri NI KAZI BURE. Yeye kosa lake ni kuhangaika kutafuta mwenzi wa maisha wakati mambo yake hayajakaa sawa. Huo muda anaohangaikia mapenzi, angehangaika kujiendeleza kiuchumi. Kwa hio sio kufanta kazi tu, lazima ufanye maamuzi sahihi ya maisha kila siku
 
Hilo ni tatizo la Africa. Watu ni wengi wenye fikira kama zako za kuweka maombi mbele Kwenye mambo ya maendeleo, badala ya kuweka kazi mbele na plans nzuri mbele. Huyu mleta mada, anahitaji kuchapa kazi, na kuwa na mipango mizuri ili atoboe kimaisha. Na hata kama ni maombi, katika kufanikiwa kimaendelea, ni kosa kuona maombi na ibada ni kila kitu.

Matokeo yake ni umaskini kila kona katika hili bara letu. Very sad

I know what kind of mentality u think am having while am too far from that, niko exposed kuliko unavyofikiria...Africa hatutaendelea kirahisi km tutaendekeza uvivu na uchawi..Donald trump mwenyewe alisema Africa ni bara ambalo halitaendelea sababu ya kuendekeza uchawi...uchawi upo na unafanya kazi kwa namna ya ajabu sanaa...njia pekee ya kuyaovercome ni kusimama na Mungu wako ndio mengine yanyooke hiyo sijui good planning km umeshaingiliwa na wapuuz utashangaa hakuna kitu kinafanyika...well hutaweza nielewa ila as days go utakuja kuamini hata kupitia kwa watu baki.
 
Kukosa mipango ni pamoja na kuwahi kuoa. Unakuta mtu amewahi kuoa, na hilo sasa linaua ndoto zake nyingi za kufanikiwa sana kiuchumi. Hapo ni kuwa na mpango mbaya. Ukishakuwa na familia, ni ngumu kukimbiza ndoto zako za utajiri. Hela ambayo ungeiwekeza, sasa unaiweka kwa familia. Na muda ambao ungeutumia kusimamia na kupambania miradi ya uchumi ifanikiwe, sasa unauweka kwa familia. Halafu mtu anasema nguvu za ziada wakati ni mipango mibaya tu.
Well said
 
I know what kind of mentality u think am having while am too far from that, niko exposed kuliko unavyofikiria...Africa hatutaendelea kirahisi km tutaendekeza uvivu na uchawi..Donald trump mwenyewe alisema Africa ni bara ambalo halitaendelea sababu ya kuendekeza uchawi...uchawi upo na unafanya kazi kwa namna ya ajabu sanaa...njia pekee ya kuyaovercome ni kusimama na Mungu wako ndio mengine yanyooke hiyo sijui good planning km umeshaingiliwa na wapuuz utashangaa hakuna kitu kinafanyika...well hutaweza nielewa ila as days go utakuja kuamini hata kupitia kwa watu baki.
Umekuwa exposed kiasi gani mkuu wangu? Binafsi nimeishi sana America (bado hata sasa ivi nina makazi huko) na HATA SIKU MOJA hutasikia Mmarekani anasema Uchawi unamrudisha nyuma. Hilo ni tatizo la Africa mkuu wangu. Unahitaji exposure zaidi basi. Hapo ndio ujiulize ni kwa nini Matajiri wengi zaidi wako USA? Ni sababu hawalaumu uchawi wala nguvu za giza kabisa. Na mtu akifeli, anajua amekosea mahali anaparekebisha, na mwisho wa siku anatoboa.
 
Toa mfano wa hao watu.. Twende na mifano hai ya watu wenye strategies nzuri zaidi yangu na hawakutoboa. Tatizo mtu mfano ameweka ndugu kusimamia, ndugu wakamwibia au mali zikaibiwa.. hapo kosa ni kuweka ndugu na sio nguvu za giza. Ukishaanza kumlaumu Shetani kwa failurea zako badala ya kukaa chini na kuangalia ulipokosea, KAMWE HAUTAONA KOSA LA KUREKEBISHA na badala ya kulirekebisha, utabakia kumlaumu tu shetani ba kuomba tu. ACHENI MAMBO YA AJABU PLEASE. Africa hatutafika kwa fikara hizo.

[emoji28][emoji28]waafrica wache mambo ya ajabu wakati ndio umezungukwa nao?? Hujawajua watu vizuri...mi sitapenda tuendeleze huu mjadala maana hatutaweza fika mwisho ila weka akilini kua pmoja na hizo strategies zako zoote shukuru Mungu anakulinda...full stop, kuweka sijui watu strategies zao zilifeli sijui nini haitasaidia maana wengine hata huwafahamu.

All the best mkuu.
 
Umekuwa exposed kiasi gani mkuu wangu? Binafsi nimeishi sana America (bado hata sasa ivi nina makazi huko) na HATA SIKU MOJA hutasikia Mmarekani anasema Uchawi unamrudisha nyuma. Hilo ni tatizo la Africa mkuu wangu. Unahitaji exposure zaidi basi. Hapo ndio ujiulize ni kwa nini Matajiri wengi zaidi wako USA? Ni sababu hawalaumu uchawi wala nguvu za giza kabisa. Na mtu akifeli, anajua amekosea mahali anaparekebisha, na mwisho wa siku anatoboa.

Marekani hakuna mtu ataesumbuka kukurudisha nyuma wewe hata siku moja sababu they are brave enough to deal with their things and to be developed...sio hawa huku wa kwetu amabo kutwa mtu anahaha jinsi ya kumshusha mtu badala ya kuwaza jinsi ya kuendelea yeye.

Mmarekani hawez kulaumu uchawi wala nguvu za giza sababu hakuna wachawi, that is the land of the brave usilinganishe na huku bro! Hata kwa tz mtu anaeishi sehemu ambazo hazina mambo ya ajabu na hakubahatika kuface vitu hivyo toka kwa ndugu na majirani anaendelea vizuri tu, kosa ni kukutana na hao washirikina...uchawi upo na unafanya kazi usibishe narudia tena acha kubisha.
 
Well said. Hapo tatizo mkuu wangu sio uchawi wala shetani. Tatizo ni ndugu na watu pamoja na majirani. Au hata mke, anaweza kukurudisha nyuma. Pia na kanisa, kuna makanisa yanaibia sana member wao fedha na muda . Ukishagundua hayo, unatafuta namna ya kuyatatua. Kwa majirani, unaishi nao kwa akili. Binafsi, nyumba zangu zote ninazoishi, nimejenga maukuta ya uhakika. Kabla ya hapo, majirani walikuwa kero sana. Sasa ivi mimi ndio naamua ni nani nimruhusu kwa maisha yangu, ama sivyo, siruhusu mtu nakaa tu ndani ya ukuta nafanya kazi zangu bila bughudhi ya mtu yeyote.

Ndugu, nimewakata wengi sana. Kabla sijatoboa, waliniona mimi sio kitu. Nilivyotoboa wakaja kwa wingi na kutafuta njia za kuniangusha. Ndugu zangu sasa hivi ni wafanya kazi wangu. Uncles sijui nani na nani, mimi ndio naamua kama nataka kuwasaidia nk. Ila siruhusu wao wanivuruge kabisa.

Ndio nilisema kwa Africa Mtu kutoboa vizuri inahitaji kufanya maamuzi mengi MAGUMU na sahihi. Na mimi binafsi, kuachana na ndugu, kuishi na majirani kwa akili, kuangalia sana mambo ya mapenzi yasiniharibie plans, na kutoruhusu kanisa kuniharibia plans zangu yamenifanya nikafanikiwa sana.

Asante kwa kujadiliana nami. Kuna kazi naenda kuifanya mkuu wangu. Mungu akubariki utimize ndoto zako zote.
 
Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa aahsante kiongozi.
 
It's always seems impossible until it has done .. pull up your socks don't give up utafika unapo pataka Hayo mapito uliyo nayo ysikufanye shindwe kuiona thamani ya Utu wako uliyonayo hiyo Ni hali tu , ukipambana vyema na kushinda changamoto maisha yko yanaweza kubadilika wakati wowote na kuwa Bora
 
Well said. Hapo tatizo mkuu wangu sio uchawi wala shetani. Tatizo ni ndugu na watu pamoja na majirani. Au hata mke, anaweza kukurudisha nyuma. Pia na kanisa, kuna makanisa yanaibia sana member wao fedha na muda . Ukishagundua hayo, unatafuta namna ya kuyatatua. Kwa majirani, unaishi nao kwa akili. Binafsi, nyumba zangu zote ninazoishi, nimejenga maukuta ya uhakika. Kabla ya hapo, majirani walikuwa kero sana. Sasa ivi mimi ndio naamua ni nani nimruhusu kwa maisha yangu, ama sivyo, siruhusu mtu nakaa tu ndani ya ukuta nafanya kazi zangu bila bughudhi ya mtu yeyote.

Ndugu, nimewakata wengi sana. Kabla sijatoboa, waliniona mimi sio kitu. Nilivyotoboa wakaja kwa wingi na kutafuta njia za kuniangusha. Ndugu zangu sasa hivi ni wafanya kazi wangu. Uncles sijui nani na nani, mimi ndio naamua kama nataka kuwasaidia nk. Ila siruhusu wao wanivuruge kabisa.

Ndio nilisema kwa Africa Mtu kutoboa vizuri inahitaji kufanya maamuzi mengi MAGUMU na sahihi. Na mimi binafsi, kuachana na ndugu, kuishi na majirani kwa akili, kuangalia sana mambo ya mapenzi yasiniharibie plans, na kutoruhusu kanisa kuniharibia plans zangu yamenifanya nikafanikiwa sana.

Asante kwa kujadiliana nami. Kuna kazi naenda kuifanya mkuu wangu. Mungu akubariki utimize ndoto zako zote.

Now we talk the same sentence, personally naonekanaga km mtu weird sababu sipendi undugulization,majirani wasio na faida pamoja na marafiki...mapenzi ndio kitu nilikataa kisinisumbue akili kabisa sababu kinaweza kufanya ukapata anguko kuu, siwi pressurized with what people talking and what people think about me as long as sivunji sheria ya nchi na simvunjii mtu heshima...nilivyosema kuamini Mungu sikumaanisha kwenda kanisani sababu mimi hayo makanisa siyaamini kabisa most of them ni biashara ila I pray on my own na naweza maliza hata miaka3 sijafika kanisani ila ni ngumu kumaliza siku3 bila kutulia na kuomba Mungu.

Maisha unayoishi ndio ninayoyaishi na ninayotaka kuendelea kuyaishi miaka ijayo..well, am still at my mid 20's so I have a long way to go...nimefikia maamuzi ya kutotaka kuolewa na muafrica kuepuka mambo madogo km hayo sababu ww unaweza kua unawaza hili ila partner wako akawa ana uafrica mwingi ndani yake hvy mkapishana itikadi ukizingatia Africa mwanamke hana maamuzi linapokuja swala la ndoa...so ukaonekana km una roho mbaya, better getting a whiteman for myself atleast tutakua na mentality moja katika hilo...whitemen wana shids zao nyingi ila swala la uchapakazi, being straight, family oriented na kuwaza maendeleo I salute them...better join with them for that.

Otherwise, asante kwa muda wako uliojitolea kuelewesha wengi na I got all your points and I have been living in all of them..all the best too.
 
Back
Top Bottom